comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 6,447
- 11,505
Jengeni, sisi tutaivunja 2030 maana anaingia kichwa kibovu hata magufuli anasubir
Bora msikiti uwepo kwenye SGR,Tunashauri mamlaka zitenge bajeti ya kujenga Misikiti kila Stesheni za SGR kwa ajili ya Swala kwa abiria. Kwa sasa usumbufu ni Mkubwa Sana kufanya ibada ukiwa safarini. Na Ramadhan inakuja
Rekebisha kidogo,Tunashauri mamlaka zitenge bajeti ya kujenga Misikiti kila Stesheni za SGR kwa ajili ya Swala kwa abiria. Kwa sasa usumbufu ni Mkubwa Sana kufanya ibada ukiwa safarini. Na Ramadhan inakuja
Sasa hivi kila mtu Dar hadi Wagalatia salamu ni "Salamaleko" na kushukuru ni "Alhamdulillah"!Ninyi kobazi bila kudhibitiwa hii dunia tungesha silimishwa wote.
Acha Marekani🇺🇲 aendelee kutawala dunia tu.
Hebu vuta picha, Iran🇮🇷 ndio angekuwa super power wa dunia?
Watu wange silimishwa, by fire by force. 😂
Nchi yoyote ambayo ingegoma kusilimu, ingepigwa vikwazo vya kiuchumi.
Watu wangepigwa mabomu kabisa.
Sasa hivi hapa JF tungekuwa tunajadiliana kwa kiarabu.
Marekani siyo dini , dini gani inaitwa marekani?
Na wasabatoSambamba na makanisa for RC, anglikana, othodox, kkkt. Wakimaliza hapo watukumbuke na sisi wapagani sehemu yetu ya kuabudia miungu yetu.
Ishu ni uelekeo wa QiblaUsumbufu upi?Kwani mtu anajisalia hapo pembeni wewe inakukera nini?
kibla itamhusu huyo mwislamu,we fata yako tuIshu ni uelekeo wa Qibla
Mkuu,Hivi kama ukiswali bila kugeukia kibra sala yako haiwezi kupokelewa?Usumbufu unatoka wapi? Kama kibra unaijua popote unaswali.
Inapokelewa vizuri tuu, ila kuswali kuelekea kibra ni udhu tuu. Kibra ni mecca liliko kaburi la mtume. Jiulize kabla mtume hajafa wa hajazikwa waliswali kuelekea wapi?Mkuu,Hivi kama ukiswali bila kugeukia kibra sala yako haiwezi kupokelewa?
Duh! Kwa huyo wameanza kugeukia kibra (Mecca) baada ya mtume kufariki?!🤔🤔Inapokelewa vizuri tuu, ila kuswali kuelekea kibra ni udhu tuu. Kibra ni mecca liliko kaburi la mtume. Jiulize kabla mtume hajafa wa hajazikwa waliswali kuelekea wapi?
Ndo mana ake mkuu. Kibra ni mbwembwe, swala yapaswa kuelekezwa kwa Mungu sio kaburinoiDuh! Kwa huyo wameanza kugeukia kibra (Mecca) baada ya mtume kufariki?!🤔🤔