Pajengwe Misikiti kila Stesheni ya SGR

Pajengwe Misikiti kila Stesheni ya SGR

Wale washika dini wa kweli, wala swala 5 wasio na makuu bali wanaotafuta huruma ya Mungu, huwa hawahitaji jengo. Nilikuwa na rafiki yangu mmoja muislam hasa, nilisafiri naye maeneo mengi, wala hakuhitaji msikiti kwaajili ya swala zake 5. Yeye popote aliswali. Anatandika nguo yake mfano wa shuka, anapiga swala. Na kama waislam wote wangukuwa kamanyule bwana, wengi wangefurahia uwepo wa waislam katika jamii yao. Mtu amvaye hakuwahi kuwa na chuki na yeyote, mwenye moyo wa upendo kwa kila mtu bila ya kujali imani ya mtu.
 
Kujusu RC unauhakika na unachokiongea ?
Taja kijiji ulichotoka nikwambie hicho kijiji chenu chote kama kina kanisa la Roma au laa, kama hatujakuta wilaya nzima ina kanisa moja tu la Roma
 
Hatutaki ujinga huo wa kidini, hii si nchi ya kiislam. Subirini nchi isilimishwe ndio mje na hoja ya kujengewa misikiti kila stesheni mkamuabudu mungu wenu allah ambaye kwa wengine ni upuuzi mtupu
 
Mbona uko nyuma sana, hata sasahivi fatilia ulaya ni dini gani inakua kwa kasi ndo haohao waislam usiowataka

Lucha unabeba vitu kwa mihemko, wala hujishughulishi kujua mantiki ya tamko fulani.
Kuhusu Uislam kuwa na ongezeko kubwa, ni sahihi, lakini haimaanishi kuwa waislam ni wengi Ulaya. Unakuta nchi ilikuwa na waislam 10 mwaka 1980, na mwaka huo huo wakristu walikuwa milioni 20. Leo , leo nchi hiyo hiyo ina waislam 100, na wakristo milioni 19. Ni kweli waislam wameongezeka, lakini ongezeko lao ni neglible. Wakristo wamepungua lakini bado ni wengi sana.
Kiuhalisia, hakuna wazungu wanaoslimu, ikitokea ni kwa nadra sana, na wengine hufanya hivyo kwa sababu za kiusalama ili waweze kuingia nchi za kiislam kiurahisi kwenda kufanya upelelezi. Lakini kwa ujumla, ongezeko hilo dogo la waidlam kwa Ulaya linaletwa na kuzaliana sana kwa waarabu wakiwa huko ugenini.

Soma hapa chini utaelewa vizuri zaidi:
As of 2025, the Muslim population in Europe is estimated at around 46 million, representing approximately 6% of the continent’s total population. Driven by migration and higher fertility rates (2.6 children per woman vs. 1.6 for non-Muslims), this population has grown from 4.9% in 2016.

Wakristo:
As of roughly 2020, Christians comprised about 67% of Europe's population, totaling over 500 million people, though numbers have been steadily declining alongside rising unaffiliated populations. The region remains predominantly Christian, split between Catholic, Orthodox, and Protestant denominations, despite significant secularization in Western Europe.

Kwa Marekani, China, Nepal, Iran, Indonesia, India na nchi nyingi za Afrika na Amerika Kusini, idadi ya wakristo inazidi kuongezeka:
 
Ibada ya kweli haihitajo jengo bali inahitajo moyo safi usio na dhamora ovu...

Ukishakuwa hivyo basi dua na sala zako zinasikilizwa mahali popote unapokuwa...
 
Tunashauri mamlaka zitenge bajeti ya kujenga Misikiti kila Stesheni za SGR kwa ajili ya Swala kwa abiria. Kwa sasa usumbufu ni Mkubwa Sana kufanya ibada ukiwa safarini. Na Ramadhan inakuja
Vumilieni tu kutoswali mara moja moja sio mbaya, mbona mnavumilia kufanya uzinzi na bado mnaonekana mnampenda mwenyezi mungu.
 
Mbona uko nyuma sana, hata sasahivi fatilia ulaya ni dini gani inakua kwa kasi ndo haohao waislam usiowataka
Kukua watakua.

Ila sio kuwa super power.

Super power atabaki Marekani.

Hakuna atakaye leta nywinywi.
 
Ila waislamu kuna wakati wanakua kama wamechanganyikiwa,,
 
Lucha unabeba vitu kwa mihemko, wala hujishughulishi kujua mantiki ya tamko fulani.
Kuhusu Uislam kuwa na ongezeko kubwa, ni sahihi, lakini haimaanishi kuwa waislam ni wengi Ulaya. Unakuta nchi ilikuwa na waislam 10 mwaka 1980, na mwaka huo huo wakristu walikuwa milioni 20. Leo , leo nchi hiyo hiyo ina waislam 100, na wakristo milioni 19. Ni kweli waislam wameongezeka, lakini ongezeko lao ni neglible. Wakristo wamepungua lakini bado ni wengi sana.
Kiuhalisia, hakuna wazungu wanaoslimu, ikitokea ni kwa nadra sana, na wengine hufanya hivyo kwa sababu za kiusalama ili waweze kuingia nchi za kiislam kiurahisi kwenda kufanya upelelezi. Lakini kwa ujumla, ongezeko hilo dogo la waidlam kwa Ulaya linaletwa na kuzaliana sana kwa waarabu wakiwa huko ugenini.

Soma hapa chini utaelewa vizuri zaidi:
As of 2025, the Muslim population in Europe is estimated at around 46 million, representing approximately 6% of the continent’s total population. Driven by migration and higher fertility rates (2.6 children per woman vs. 1.6 for non-Muslims), this population has grown from 4.9% in 2016.

Wakristo:
As of roughly 2020, Christians comprised about 67% of Europe's population, totaling over 500 million people, though numbers have been steadily declining alongside rising unaffiliated populations. The region remains predominantly Christian, split between Catholic, Orthodox, and Protestant denominations, despite significant secularization in Western Europe.

Kwa Marekani, China, Nepal, Iran, Indonesia, India na nchi nyingi za Afrika na Amerika Kusini, idadi ya wakristo inazidi kuongezeka:
Kobazi hawana akili ,halafu waislamu wanazaana sana ,pia wao hata mtoto mchanga wanamuhesabu ni muislamu

Kwenye Ukristo hasa uprotestant wanahesabu wale watu wazima tu waliobatizwa

Wangehesabu na watoto je ?

Ulaya hiyo wanayosema Ina waislamu wengi kwasasa ,ni 6% tu
 
Ninyi kobazi bila kudhibitiwa hii dunia tungesha silimishwa wote.

Acha Marekani🇺🇲 aendelee kutawala dunia tu.

Hebu vuta picha, Iran🇮🇷 ndio angekuwa super power wa dunia?

Watu wange silimishwa, by fire by force. 😂

Nchi yoyote ambayo ingegoma kusilimu, ingepigwa vikwazo vya kiuchumi.

Watu wangepigwa mabomu kabisa.

Sasa hivi hapa JF tungekuwa tunajadiliana kwa kiarabu.
Mungu fundi Sana kuiweka USA kuwa nchi kubwa duniani.
Bila USA dunia ingekuwa uwanja wa vita
 
Kobazi hawana akili ,halafu waislamu wanazaana sana ,pia wao hata mtoto mchanga wanamuhesabu ni muislamu

Kwenye Ukristo hasa uprotestant wanahesabu wale watu wazima tu waliobatizwa

Wangehesabu na watoto je ?

Ulaya hiyo wanayosema Ina waislamu wengi kwasasa ,ni 6% tu
Akili na kobazi ni kama maji na mafuta.

Akili na kobazi ni kama angani na ardhi.

Ni kund la watu ambao fikra zao zinaendeshwa na itikadi isio kuwa na utimamu na upumbavu wa kufikrrika.

Mbuzi anamzidi kobaz akili kama uongo tumuulize Mjusi Sharobalo
 
Back
Top Bottom