Joe Milla
JF-Expert Member
- Jul 28, 2014
- 1,613
- 2,882
Kobazi miyeyusho sana😅😅😅Kumbe wanaelekeza swala zao kwenye kaburi( mzimu wa Muddy).Ndo mana ake mkuu. Kibra ni mbwembwe, swala yapaswa kuelekezwa kwa Mungu sio kaburinoi
Kobazi miyeyusho sana😅😅😅Kumbe wanaelekeza swala zao kwenye kaburi( mzimu wa Muddy).Ndo mana ake mkuu. Kibra ni mbwembwe, swala yapaswa kuelekezwa kwa Mungu sio kaburinoi
Yes niliwahi kutana na jamaa natoka Dodoma-MbeyaUislamu umejitosheleza sana kwenye Uislamu kuna Sala ya msafiri hata mtu akikaa kwenye siti yake tu anaswali vizuri tu bila ya usumbufu wowote ule ilihali yupo stara na tohara
Bro,dini za watu we ziache zilivyo,we fata dini yako tuMkuu,Hivi kama ukiswali bila kugeukia kibra sala yako haiwezi kupokelewa?
Hata ukitoka Dar kuelekea Moro:Uislamu umejitosheleza sana kwenye Uislamu kuna Sala ya msafiri hata mtu akikaa kwenye siti yake tu anaswali vizuri tu bila ya usumbufu wowote ule ilihali yupo stara na tohara
Sijui nani aliruhusu ule upimbi kujenga Msikiti public area stupid kabisa wakatoliki wakitaka jenga kanisa je?Nyinyi ndo mmejenga msikiti Coco beach.
Yaani mna matatizo
Kwenye Uislamu tunafundishwa kua katika Uzuri wa Uislamu wa mtu ni kuacha yasiyomuhusuHata ukitoka Dar kuelekea Moro:
Utakuwa imeiacha Kibra kisogoni sasa
Kama hujui kaa kimya, hujaulizwa wewe.Bro,dini za watu we ziache zilivyo,we fata dini yako tu
Naomba andikoKwenye Uislamu tunafundishwa kua katika Uzuri wa Uislamu wa mtu ni kuacha yasiyomuhusu
Na AlhamdullahSambamba na makanisa for RC, anglikana, othodox, kkkt. Wakimaliza hapo watukumbuke na sisi wapagani sehemu yetu ya kuabudia miungu yetu.
Mbuyu kwenye kila kituo?Hii nchi sio ya kidini. Kufanya kutafanya kila dini itake kitu hicho. Uko tayari kuona miti ya Mibuyu kwenye kila kituo cha usafiri huo?
Hapo anazungumzia maeneo baadhi yupo sahihi ila sio kwa maeneo ya miji na majiji ni mikoani hukoKujusu RC unauhakika na unachokiongea ?
Ndio. Kuna watu wanaabudu chini ya mibuyu mpaka leo.Mbuyu kwenye kila kituo?
Mizimu sio?Ndio. Kuna watu wanaabudu chini ya mibuyu mpaka leo.
Kuabudu kibra? Ukifahamu uelekeo kwa kibra tayari unaswali?Usumbufu unatoka wapi? Kama kibra unaijua popote unaswali.
Na madereva wawe waislam, muda wa swala ukifika wanasimama tunaswali.Tunashauri mamlaka zitenge bajeti ya kujenga Misikiti kila Stesheni za SGR kwa ajili ya Swala kwa abiria. Kwa sasa usumbufu ni Mkubwa Sana kufanya ibada ukiwa safarini. Na Ramadhan inakuja
Yapi merkez wanajenga misikiti vijijini huko, wakitutumia pesa zetu. Serikali iwakataze .Kuna vimisikiti vingi vimejengwa kando ya barabara kuu za nchi hii hadi porini, mpaka unajiuliza nani anaswali huku? Kuna vijiji hata havina waislam lakini vimisikiti hivyo vimejengwa, nchi kama hii isiyo ya kiislam wanamjengea nani? Ndio kusema ni kueneza uislam nchini? Sasa nani ataamini ujinga huo miaka hii?
Kwa taarifa ni kwamba Tanzania imeshajiunga na world Islamic organization, ndio maana unaona misikiti inajengwa Nchi nzima mpaka kwenye maeneo ya wazi na yaliyokuwa maeneo ya serikali na Ndio maana majengo ya misikiti yanafanana.Sijui nani aliruhusu ule upimbi kujenga Msikiti public area stupid kabisa wakatoliki wakitaka jenga kanisa je?
Wasabato,wahindu temple,wabudha na wapagani wapande mbuyu wataruhusiwa hawa jamaa wanapenda kujifanya wao special sana!