Mwali
JF-Expert Member
- Nov 9, 2011
- 7,012
- 5,613
Inshaalah mnyaaz Mungu atujalie wepesi...
![]()
Inshaalah mnyaaz Mungu atujalie wepesi...
![]()
We hii makitu achaga umejuaje?
we ushaambiwa ni kwa walaji kitimoto, kwanini ulifungua thread?
![]()
inbox mimi halafu tukutane pale kontena kwa rasta, kilo moja na ndizi mbili mbili roho kuntu kabisa.
Gedoh eenh.. Narudi mjini siku si nyingi anzia leo.. Hebu nipe chimbo nije nipate kitimoto na masanga na toto langu la kimarangu wangu..(somo wa yule aunt yako, si unakumbuka tukiwa form 5 nilikwambia kumuhusu eenh?)
yani na mimi pale kontena ndio machimbo yangu ya hii nyama, alafu nilikuwa sijuagi kama ya kuchoma ni tamu weeeeee kuna siku niliila mbona niliona haitoshiiiiiiiiiiiiii.
Wasiliana na BishangaTegeta nitapata wapi makitu hii?