Pafyumu za kiarabu

Mwenye kujua paphumu ça kiarabu zinazo Nukia vizuri. Za bei rahisi kuanza 10,000 kushuka Chine. Naomba anisaidie n'a akiweka n'a picha itanisaidia .asanteni
Al-hood hio huna haja ya kujinyunyizia manaake utanukia km jini,hio unafungua tu kichupa ukiwa ndani kwa muda dakika 5 tu ukitoka unanukia ww utadhani kitu gani vile sijui
 
Back
Top Bottom