.
simuungi mkono mzinzi awe padre, mchungaji, shehe au yeyote ila namsikitikia zaidi yule aliyeingizwa mkenge kula kiapo cha utii dhidi ya maumbile.
huyo padri hajavunja amri ya mungu bali kavunja amri ya kanisa kotoliki ndiyo hairuhusu mapadri kuoa
Mkuu kwa hilo haitaki tochi ., uko sawa hasa kwa huu ulimwengu wa sasa.lakini kwani kwenye biblia kuna kifungu kinakataza kuoa.?! Au ni mapokeo tu ya .'warumi.'?!
Wanamuiga nabii Issa. (Yesu.) Kuishi bila kuoa.?! Kashfa hazitokwisha.?!
Yeah usimuhukumu mtu na wewe usije ukaukumiwa
kuna mwingine alikamatwa moshi korongoni kwi kwi kwi kwi kwi huko korongoni ni kata moja wapo ya moshi mjini
kaanguka au katafuna kondoo mimi mkatoliki lakini napinga huu ujinga mnatufanya imani ipungueKwa tufanyeje sasa???!!!.Angekuwa gwajima tungesikia hoo huyo nimtumishi wa Mungu haitakiwi kumsema lkn kwa kuwa ni padre mkatoliki hapo naona mnafurahia sana lkn roho ya kufurahia kuanguka kwa mwenzio sidhani km ni roho ya kikristu,maana hata ukisoma biblia hakuna wanaposema kuwa eti watu wa Mungu walifurahia anguko la watumishi wa Mungu.
Kashfa ya kanisa au kashfa ya padre?
Kanisa katoliki ni zaidi ya Kadinali, sembuse padre??
Padre kuzini ni sawa na mwanaume aliye kwenye ndoa takatifu kuzini. Wote wanakuwa wametika nje ya kiapo chao. Padre ni binadamu kama sisi.
Ni hayo tu kw a leo.
Kashfa ya kanisa au kashfa ya padre?
Kanisa katoliki ni zaidi ya Kadinali, sembuse padre??
Padre kuzini ni sawa na mwanaume aliye kwenye ndoa takatifu kuzini. Wote wanakuwa wametika nje ya kiapo chao. Padre ni binadamu kama sisi.
Ni hayo tu kw a leo.