Padri Anatoly Salawa afumaniwa akifanya ngono ndani ya gari

Status
Not open for further replies.
huyu padri akifa nae atatangazwa mtakatifu, pia kuna watu walikuwa wanaenda kwake kuungama, subiri huyo dada ahojiwe usikie atasema alianza kumegwa lini hapo ndo mtashangaa akisema ni mwaka wa 12 sasa toka aanze kumegwa na mtumishi.
enyi wagalatia msio na akili ni nani aliye waroga?
 
Waoe tuu jaman

Hao mapadre si waruhusiwe tu kubanjuka? Sasa mlitak wawe mashog? Mxiuuuu

na ndo tatzo la kufia dini na sio kufia mungu, kutooa kwa padri ni taratibu za kanisa na za hapahapa duniani, wala sio mpango wa mungu. je,ww mwenye imani iyo utaendelea kuckiliza huyo akufundishe??

Mna vichwa vigumu sana nyie wagalatia,kila siku viongozi wanaowaongoza wamekua wakifanya maovu mnashauriwa kwa nia njema mnaleta porojo,shame on you.

Jee huu si wakakati kwa Kanisa kubadilika ? Katazo la Mapadri na wengine kukataliwa kufunga ndoa ni kwenda kinyume na maumbile ya mwanadamu.
tumekua tukisikia kesi nyingi za kulawiti na kama hizi za aibu na hazita koma kwani huwezi kwa mwanamme shababi kabisa kujizuia na matamanio ya mwanamke maisha wakati unashiba na nguvu unazo. Huku ni kujidanganya.
kanisa lifanye mabadiliko iruhusu ndoa hili ndio jibu. Makanisa ambayo ya yanaruhusu ndoa hakuna matatizo haya isipokua Katoliki.
Badilikeni na haya maamuzi ya kuto kuwa na ndoa bila ya shaka sio ya yesu ni kwenu wenyewe mlipokua mnajiundia sheria tofauti na amri 10.
BADILIKENI FUNGENI NDOA

huyo padri hajavunja amri ya mungu bali kavunja amri ya kanisa kotoliki ndiyo hairuhusu mapadri kuoa
Hivi huyu naye haruhusiwi kuoa? Tena hivi haruhusiwi kuoa zaidi ya mke mmoja? Kuoa tu ndio tatizo?

quote_icon.png
By Kalinzi

SHEKH WA MADRASA AWABAKA WATOTO WA MIAKA 7 WANAFUNZI WAKE
Mwalimu wa madrasa ya dini ya kiislam MWANDEGE (PWANI) Mwenye miaka 39 amefikishwa polisi na wazazi wa watoto wawili (majina yanahifadhiwa )kwa kosa la kuwabaka watoto wawili hao pindi walipokuwa wakihudhuria elimu ya dini (Kiislamu) jioni katika eneo la mwandege mkoani pwani.
Wakieleza tukio hilo watoto hao walidai kuwa shekhe huyo alikuwaakiwapeleka kwake na kisha kuanza kwa kuwaingizia vidole katika sehemu zao za siri hadi pale alipohakikisha kuwa njia imeanza kupatikana. Pamoja na maumivu makali waliyokuwa wanayapata walikatazwa kusema kwa wazazi wao kwa madai kuwa endapo wataongea tukio hilo atawasomea DUWA na watakufa hivyo watoto wakakaa kimya.
Kugundulika kwa uovu huo kunatokana na mtoto mmojawao baada ya kutoka madrasa jioni alirudi akidai mamivu makali na tumbo kuuma sana kiasi cha kushindwa kutembea, wakati mama yao akimwogesha ili ampeleke hospital aligundua kuwa mtoto alikuwa ameingiliwa kimwili baada ya kumbana ndipo alipoeleza kuwa ni mwalimu wao wa madrasa kambaka.
baada ya kubaini wazazi walilazimika kuwafikisha polisi watoto hao na kuandikiwa PF3 na walipofikishwa hospital daktari amethibitisha kuwa wameingilia na wameharibiwa sana.
Pamoja na mtuhumiwa kukamatwa Jana jioni kuna taarifa kuwa amepewa dhamana kutoka kituo cha polisi suala ambalo hadi sasa linaibua utata kuwa je mtuhumiwa wa ubakaji anaweza kupewa dhamana na kuwa huru kwa muda Fulani au ni kwa sababu mtuhumiwa anatoka katika familia yenye uwezo?
Wanasheria naomba mawazo yenu ili kumusaidia wazazi hao haki iweze kupatikana maana hajui kipi cha kufanya.
Kwa mawasiliano zaidi piga
0713059054
Sitetei uovu, lakini tuwe wakweli.

Wengi waliochangia mada hii wanaonesha tatizo la Padri Salawa ni kutooa.

Lakini tujikumbushe matukio ya nyuma yanayohusisha wachungaji wanaoruhusiwa kuoa


MCHUNGAJI AFUMANIWA NA MKE WA MTU WAKILANA URODA
http://ift.tt/1Ci69Jq
Ohoo, ama kweli dunia imekwisha! Mtumishi wa Mungu (Muinjilisti) ambaye kipindi chake cha dini kinarushwa katika kituo kimoja maarufu cha televisheni Bongo (Jina tunalihifadhi) aliyefahamika kwa jina la Fredrick Kishindo ‘Badoo' hivi karibuni alipata aibu ya kufungulia mwaka 2015 baada ya kunaswa na mke wa mtu chumbani, Risasi lina mkanda nzima.
Mtumishi Fredrick Kishindo ‘Badoo' akijistili kwa kanga baada ya fumanizi hilo.
Ilikuwaje?
Awali chanzo cha habari kilichoomba hifadhi ya jina lake kilieleza kuwa, Januari 11, mwaka huu Muinjilisti huyo anayesifika kwa kuhubiri watu waache dhambi alionekana akinyata kuingia kwenye nyumba ya mke wa mtu huyo iliyopo Sinza jijini Dar huku kukiwa na taarifa kuwa, mume wa mwanamke huyo alikuwa safarini.

Wifi mtu atonywa
Ikaelezwa kuwa, kufuatia mazingira hayo wifi wa mwanamke huyo alitonywa juu ya taarifa za Badoo kuingia kwenye nyumba ya kaka yake, maelezo yaliyomshitua hivyo kulazimika kuelekea eneo la tukio.
Baada ya wifi mtu huyo kufika nyumbani kwa kaka yake na kuhakikishiwa kuwa Badoo yuko ndani, aliuliza namna ya kuwapata makamanda wa Operesheni Fichua Maovu ya Global Publishers ‘OFM' ambapo mmoja wa majirani alimpatia namba ya simu, akawapigia.

…Akivaa shati huku kitendea kazi chake(Biblia) kikiwa nyuma yake



Je huyu alifanya hivi kwa sababu hakuruhusiwa kuoa?

Hii nayo iangalie pia



MCHUNGAJI AFUMANIWA AKIWA NA WANAWAKE WATATU.

attachment.php





Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers inaendelea! Wiki hii ilifanya kazi nyingine nzito, kumnasa Pastor John Paul Simon Rubanguka wa kanisa la kiroho la Maximum Deliverance lililopo Masaki, Dar ambaye alinaswa akichezewa utupu na wanawake watatu ambao ni kama waumini wake kwa sababu wote ni Wakristo.



OFM YATONYWA UCHAFU WA PASTOR
Ilikuwa Jumanne ya Aprili Mosi, 2014, saa 4:14 asubuhi, chanzo cha habari kilipiga simu chumba cha habari cha Global na kuwataka makachero wa OFM ambapo alipounganishwa nao alisema:
"Jamani kama kweli hapo ni OFM nina malalamiko. Mimi nimeshtukia mchezo mchafu unaotaka kufanywa na pastor (mchungaji) mmoja anaitwa Rubanguka.


"Huyu pastor amempa dili dada mmoja kumtafutia wasichana wazuri watatu na kuwapeleka kwenye nyumba moja hivi kisha wawe wanamchezea utupu wake huku wao wakiwa kama walivyozaliwa, ndiyo furaha yake ilipo. Wasichana wameshapatikana."

MSHIKO WA NGUVU NA SAFARI JUU
Mtoa habari huyo aliendelea kudai kuwa, pastor huyo alisema wasichana watakaokuwa wakichezea utupu atawafanyia usaili wa kwenda kuwauza kwenye kasino moja iliyopo Uarabuni ambayo yeye ni wakala wa kuwapelekea malaya huko.


Chanzo hicho kiliendelea kudai kuwa, pastor huyo aliwaahidi wanawake hao kitita cha shilingi 300,000 kila mmoja kwa wale watakaofaulu kumchezea vizuri, sanjari na kuwakatia hati za kusafiria ‘passport'.

OFM YAWEKA MTEGO
Baada ya kupata ishu nzima, OFM ilifanya ukachero na kugundua mahali ambapo tukio hilo lilipangwa kufanyika, ni kwenye danguro moja lililopo Kinondoni jijini Dar.


OFM ilifika kwenye nyumba hiyo na kufanya ushushushu wake ambapo walifanikiwa kuweka mitambo yao sambamba na kulishirikisha jeshi la polisi kwa ajili ya kumnasa mtumishi huyo wa Mungu akifanya vitendo hivyo.

Saa 8:11 mchana, OFM wakiwa wamejibanza eneo hilo waliwashuhudia warembo watatu, weupe wakielekea kwenye nyumba ambayo mtoa habari wetu aliielekeza.
attachment.php

Kitambulisho cha Pasta.
PASTOR AWASILI KWA MBWEMBWE
Saa 11:23 jioni, OFM wakiwa hawajaanza hata kujisikia kuchoka, walimwona pastor huyo akiwasili kwa mbwembwe akiwa ndani ya gari dogo na kugeuza kwa staili ya kupiga ‘norinda' kisha akashuka. Mkononi alishika maji makubwa. Alipokelewa na mmoja wa wanawake hao.
attachment.php

Bango lililopo Kinondoni Mkwajuni, Dar likieleza lilipo kanisa la Pasta huyo.
Huyu naye je, kajikusanyia wanawake watatu, waumini wake, kanisa lake la Maximum Deliverence Church linakataza kuoa?



Inayofuata inamhusu mchungaji wa kianglikana

Mchungaji wa Kanisa la Anglikana afumaniwa na mke wa mtu
]
mchungaji.png

TOFAUTI na inavyoaminika na wengi kuwa watumishi wa Mungu ni watu safi, safari hii Mchungaji Obed Ntimba wa Kanisa la Anglikana Gongo la Mboto, Dar es Salaam amejikuta akivunja agano la Muumba baada ya kunaswa gesti akiwa na mke wa mtu.

Tukio hilo la aibu lilimkuta mchungaji huyo Ijumaa iliyopita saa saba na nusu za mchana katika gesti moja (jina lipo) iliyopo nyuma ya Jengo la Ubungo Plaza jijini Dar.

Siku moja kabla ya tukio, makachero wetu walitonywa kuhusu dhambi hiyo na mtu wa karibu na watu hao akisema kuwa anaumia kwa sababu mchungaji huyo ana mke na watoto na mwanamke huyo, Rose ni mke wa mwanajeshi kwa hiyo aliamini tendo wanalotaka kulifanya ni uovu katika jamii.

Mtoa habari wetu huyo alisema tukio hilo lilipangwa kukamilika kesho yake Ijumaa katika gesti hiyo ndipo kazi ya kuwafuatilia hatua moja baada ya nyingine ilianza.

Ijumaa saa sita mchana, mtonyaji wetu alipiga simu na kuweka wazi kwamba wawili hao wapo njiani kuelekea gesti, kila mmoja kwa usafiri wake.

Ndipo makachero wetu walipowatonya polisi na kuambatana nao mpaka kwenye gesti hiyo na kujipanga kwa mbinu za kisasa za kutoonwa na ‘adui'.

Makachero hao walifanikiwa kupata ramani ya chumba walichoingia wawili hao ambapo ‘rumu' namba 1B ndiyo iliwasilishwa kwamba Rose na mchungaji wake wamo humo.

Saa saba na nusu mchana, Makachero wetu na polisi waliingia hadi mapokezi ya gesti hiyo kwa kificho na kutoa maelekezo kwa mhudumu. Mhudumu aliongozana nao hadi mlangoni na kugonga lakini haukufunguliwa.

BAADA YA DAKIKA TANO
Wakati mlango huo ukigongwa na mhudumu bila kufunguliwa, mchungaji huyo alisikika akisema na kuuliza:
"Subirini kwanza."
"Lakini ninyi ni akina nani?"

Baada ya dakika tano kupita, mlango ulifunguliwa, mchungaji akakutana na macho ya timu nzima. Alipigwa butwaa asijue la kufanya huku akitetemeka, Rose alikuwa ndani ya khanga moja!

MCHUNGAJI MSOBEMSOBE HADI POLISI
Polisi waliwabeba msobemsobe wote hadi Kituo cha Polisi cha Urafiki-Ubungo, Dar ambapo kila mmoja alianza kujieleza.

MCHUNGAJI APANGULIA HUDUMA YA KIROHO
Kituoni hapo, Mchungaji Ntimba alipobanwa kuhusu sababu za kuingia gesti na mke wa mtu, alisema waliingia kwa ajili ya huduma ya kiroho kwani mwanamke huyo alikuwa anataka kufungua kanisa ndipo alipomuomba yeye amsaidie.

"Mimi sikuwa na lengo baya jamani. Huyu dada alihitaji kufungua kanisa, akaniambia ili nimshauri hawezi kukaa sehemu ya wazi kwa kuwa mume wake ni mwanajeshi anaweza kuonekana na watu wakampa taarifa.

"Ndipo nikaamua kwenda naye katika nyumba ile ya kulala wageni kwani wageni wengi wanaokuja kwa ajili ya huduma, wakitokea nchi mbalimbali huwa wanalala pale na wahusika wa pale wananifahamu sana.

"Baada ya kuingia gesti nilibanwa na haja ndogo, nikaenda kujisaidia. Cha kushangaza niliporudi nilimkuta huyu dada amevua nguo zote na kuanza kunishawishi lakini sikuwa na lengo hilo jamani," alijitetea mchungaji huyo.

Baadhi ya picha zilizopo zinamuonesha mchungaji huyo akiwa amevaa suruali lakini amesahau kufunga zipu huku kondom zikiwa pembeni kitandani!

MCHUNGAJI1.JPG



Na hapa tena mchungaji mwingine ambaye ana mke na watoto wakubwa kuliko aliyembaka



MCHUNGAJI AFIKISHWA MAHAKAMANI AKITUHUMIWA KUBAKA NA KUMPA MIMBA MWANAFUNZI MBEYA
Mchungaji wa Kanisa la EAGT la Iwambi Jijini Mbeya Daniel Mwasumbi anaetuhumiwa kwa kubaka na kumpa mimba mwanafunzi akitoka mahakamanibaada ya kudhaminiwa
Hapa akiwa anatoka mahakamani baada ya kusomewa mashtaka yake

Mchungaji wa Kanisa la EAGT la Iwambi Jijini Mbeya Daniel Mwasumbi (57), Jana alipandishwa kizimbani mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mbeya Gilbert Ndeuluwo akituhumiwa kumbaka na kumpa Mimba mwanafunzi.


Akisoma mashtaka hayo Mwendesha mashtaka wa Serilkali Archiles Mulisa alidai mshtakiwa huyo alitenda kosa hilo kati ya Mwezi Januari 2008 ambapo alimbaka na kumpa ujauzito Neema Boni (17) ambaye ni mwanafunzi wa shule ya Sekondari Itende.


Mulisa alidai mahakamani hapo kuwa kosa hilo ni kinyume cha kanuni ya elimu ya 5 ya gazeti la Serikali namba 265 ya mwaka 2003 na chini ya Sheria ya elimu namba 25 ya mwaka 1978 ambapo mshtakiwa anatuhumiwa kutenda makosa mawili ikiwemo kubaka na kusababisha ujauzito.


Aliongeza kuwa kosa la kubaka ni kinyume cha kanuni ya adhabu kifungu cha 130(1),(2)(e) na cha 131(1) kama kilivyofanyiwa marekebisho mwaka 2002.


Hata hivyo mshtakiwa huyo alikana mashtaka yote ambapo aliachiwa kwa dhamana ya Shilingi Milioni Mbili na mdhamini mmoja mwenye barua kutoka taasisi inayotambulika, kesi hiyo iliahirishwa hadi Januari 30 itakapoanza kusikilizwa.





Na hii hapa
attachment.php

Bado tu mtasema tatizo ni kuoa????!!!




My take:
Hili suala ni suala zaidi ya kuoa au kutooa.

Hili suala ni suala la mmomonyoko wa maadili. Jamii yetu, ambamo hawa viongozi wa dini wanatoka ina mmomonyoko wa maadili.

Pia ni suala la kuingia kwenye utumishi wa Mungu kwa kuvutiwa na makandokando yake, bila kuwa na imani thabiti.

Wapo wachungaji wengi wazuri tu, wapo mapadri wengi wazuri tu, wapo masheikh wengi wazuri tu.

Lakini kuna Mapadre wenye mienendo mibaya, kama ambavyo kuna wachungaji wenye mienendo mibaya, na mashehe kadhalika.

Tusifurahie kuanguka kwa watu, tujiangalie wenyewe tusije tukaanguka
 
Pengine kosa ni kuajiri watu rijali kuwa ma-preasts kwa mini wasiajiri watu wenye ulemavu wa mboro i.e. wenye uhanithi? Mlundikano wa kesi zote hizi za uzinzi usingekuwepo kabisa!
 
nyie wananchi wa kawaida huku chini mnaona kanisa halijapata aibu yoyote ila aibu ni ya padri au kashfa ni ya padri ila viongozi wa juu huko parokiani sasaivi wanawaza aibu waliyotiwa na mtumishi wao, Pia kwa wale wakristo wanaokiri hii ni kashfa ya padri pekee na si ya kanisa basi yakitokea kwa imam mje na kauli hizohizo,
 
Pengine kosa ni kuajiri watu rijali kuwa ma-preasts kwa mini wasiajiri watu wenye ulemavu mboro i.e. wenye uhanithi? Mlundikano wa kesi zote hizi za uzinzi usingekuwepo kabisa!
kwahiyo ubongo wako ndio umeishia hapo kufikiri? hujawai kuskia maaskofu wanaingiliwa na wanaume wenzao kwa nyuma?
 
Hii ilitakiwa ishughurikiwe na ile sheria ya makosa ya mawasiliano,haya mambo ya kuonesha picha za hivi adharani haiwezi kuwa ndo ustaarabu katika karne ya Leo ...fikiria kama ni mama ako ama mkeo ama baba ako,unajisifia watu kumtizama akiwa mtupu hivi? kama wewe ni hayawani tu ndo utaona in sawa
Si sawa lakini kuonwa LIVE inatisha zaidi hivyo hii sheria ya mtandao ilitakiwa
si ikataze tu kupiga picha bali hata watu watakaoshuhudia tukio kama hilo
wafumbe macho.
 
Kwan tumemtetea Padri?

Sie tunalitete Kanisa. Ndo maana pale juu nmeweka waz kuwa, kuna makundi kadhaa yakiislam yanaua watu ovyo nakuwatesa, je,Tuwakabe waislam walioko mitaan kwetu kama kisasi cha ndugu zetu wakristo wanaoiawa huko??


Catholic remains clean ever. Islam too(despite some immoral & miseries some followers have been conducting)
wenzako kila siku wanasema kusingekuwa na uislam dunia ingekuwa sehemu salama ya kuishi,
 
nyie wananchi wa kawaida huku chini mnaona kanisa halijapata aibu yoyote ila aibu ni ya padri au kashfa ni ya padri ila viongozi wa juu huko parokiani sasaivi wanawaza aibu waliyotiwa na mtumishi wao, Pia kwa wale wakristo wanaokiri hii ni kashfa ya padri pekee na si ya kanisa basi yakitokea kwa imam mje na kauli hizohizo,

Kijana hapa kuna tofauti.
Masheikh hawajazuiwa kusex.. wanaweza kuoa hata wa 4 . Wakiwa na kimada hiyo ni dhambi ni zinaa na adhabu ipo inamdubiri.
Padri sharti ni kuwa asi sex asiwe na mke . Hili ni sharti kuu la kuwa padri lakini halitekelezeki binaadamu ni dhaifu wa hio sehemu tusidanganyane.
Hebu Pope atoe tangazo kuwa atakae upadre sasa tumhasi tuone kama atakwenda mtu
 
"People have made sex the only sin, whereas in fact it is linked to human weakness and frailty and perhaps, therefore, it is the least of all the sins!" QUOTE FROM THE PROMINENT RELIGIOUS PERSONALITY - POPE JOHN PAULII
 
Huyo mleta mada anajua alichoandika, mbona aliyeleta ile ya golkipa kufumaniwa hajaandika kashfa wanaume tz..!? so huyu alivyoandika ni kuuchafua ukristo na sio jingine..!!
hivi mafikiri kwa kutumia makalio? kanisa ni nini? au unazani panaweza kuwa na kanisa bila watu?
 
Sasa wewe uanayeshabikia ulitaka iweje maana unakomaa sana kisa huo ni udhaifu wake tu cyo wa mapadre wote kama tulivyo wengine wazinzi walevi wazinifu walarushwa waongo matapeli wezi
 
Waoe tuu jaman

Kuna wanawake wamezaa na maaskofu Bagonza na Malususa nje ya ndoa zao.Vp wao kuoa kumewasaidiaje ktk hilo?Tuelewe mapadri hata wasipotenda dhambi ya kuzini bado nadhani kutakuwa kuna dhambi zingne wanatenda kama mimi na wewe.
 
Habari Wadau wa JF,

Katibu Mtendaji wa Idara ya Mawasiliano wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (Tanzania Episcopal Conference, TEC), Padri Anatoly Salawa amefumaniwa akifanya ngono ndani ya gari yake yenye namba T 674 ADA, na dada mmoja ambaye inadaiwa nae ni mfanyakazi wa baraza la maaskofu.!

View attachment 252053

View attachment 252054

MY TAKE.!
Nadhani Kanisa Katoliki lijitafakari upya na ifike mahali Mapadri waruhusiwe kuoa. Hakuna sababu ya kuendelea kumdanyanya Mungu kiasi hiki. Shame.!!

View attachment 252055

Ukiagalia kwa umakini mkubwa kila mmoja alikuwa kuwenye gari yake ndipo sasa picha zikafanyiwa cropping, Editting na computer tricking kama kuongeza ladha kwenye mchezo huo wa kuigiza.
 
Kuna padri mmoja yupo tandahimba mission ya luagala anakula mademu huyo vibaya, kuna kipindi alikuwa anawatafuna sana watoto wa sekondari luagala, baadae akahamia kwa wanakijiji.

Nadhani atakuwa ametimiza wanawake si chini ya 100 manake padri anapiga pumbu huyo si mchezo.

Ila sijui kama bado yupo mpaka leo au alihamia sehemu nyingine.
 
Ukiagalia kwa umakini mkubwa kila mmoja alikuwa kuwenye gari yake ndipo sasa picha zikafanyiwa cropping, Editting na computer tricking kama kuongeza ladha kwenye mchezo huo wa kuigiza.

Jipange Mkubwa hakuna Editing wala Cropping,Kitu halisi kabisa,Mara nyingi OFM huwa sometime wanapandikiza warembo then wanakufumania lakini mara nyingi sura za hao warembo huwa hazionyeshwi lakini kwa huyo Padri hadi sura ya mrembo imeonekana live.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom