Padri Anatoly Salawa afumaniwa akifanya ngono ndani ya gari

Status
Not open for further replies.
Kuna rafiki yangu ambaye ni Katekista, alininiambia kuwa huyu padri alichangia kuvunja ndoa yake wakati akiwa mkurugenzi wa vijana na naibu Askofu jimbo la Lindi.. Za mwizi 40
 
huyo padri hajavunja amri ya mungu bali kavunja amri ya kanisa kotoliki ndiyo hairuhusu mapadri kuoa

Kanisa linaongozwa na Mungu, kwa hiyo km alikubali wito wa kutooa amevunja makubaliaono yake na Mungu na wala c kanisa katoliki. kimsingi dhambi inawaathiri wanadamu na padri c Mungu ila ni mwanadamu.
 
Mkuu kwa hilo haitaki tochi ., uko sawa hasa kwa huu ulimwengu wa sasa.lakini kwani kwenye biblia kuna kifungu kinakataza kuoa.?! Au ni mapokeo tu ya .'warumi.'?!
Wanamuiga nabii Issa. (Yesu.) Kuishi bila kuoa.?! Kashfa hazitokwisha.?!

Ndugu yangu mapadre kuto oa sio mapokeo ya Warumi bali ina msingi wake ktk biblia,hata Yesu mwenyewe alishawahi kudokezea juu ya hali hiyo ambapo wana maisha ya wakfu yaani Mapadre na Watawa watapaswa kuyaishi,rejea Mathayo 19:10-12.
 
hacheni matatizo yenu!! kufumaniwa kitu gani bana!! David mwenyewe had sex with his two daughters in a cave!!! mnashangaa nini kwa padri!! tena aliyefumaniwa nae sio dada ake wala mtoto ake!!! tatizo lipo wapi??! hacheni habari zenu nyinyi!!! PAPUCHI raha ya dunia kila mtu anajua!!!
 
kuna mwingine alikamatwa moshi korongoni kwi kwi kwi kwi kwi huko korongoni ni kata moja wapo ya moshi mjini

Kwa tufanyeje sasa???!!!.Angekuwa gwajima tungesikia hoo huyo nimtumishi wa Mungu haitakiwi kumsema lkn kwa kuwa ni padre mkatoliki hapo naona mnafurahia sana lkn roho ya kufurahia kuanguka kwa mwenzio sidhani km ni roho ya kikristu,maana hata ukisoma biblia hakuna wanaposema kuwa eti watu wa Mungu walifurahia anguko la watumishi wa Mungu.
 
Kwa tufanyeje sasa???!!!.Angekuwa gwajima tungesikia hoo huyo nimtumishi wa Mungu haitakiwi kumsema lkn kwa kuwa ni padre mkatoliki hapo naona mnafurahia sana lkn roho ya kufurahia kuanguka kwa mwenzio sidhani km ni roho ya kikristu,maana hata ukisoma biblia hakuna wanaposema kuwa eti watu wa Mungu walifurahia anguko la watumishi wa Mungu.
kaanguka au katafuna kondoo mimi mkatoliki lakini napinga huu ujinga mnatufanya imani ipungue
 
Wanawake wanavyojua kukariri, huyo mdada japo amejificha lazima wenzake na msusi aliemsuka atamtambua tu
 
Tena Padri mwenye wadhifa. Alikuwa kwenye "tuition "na kondoo jike wake kwenye somo la biology kwa vitendo. Tatizo walinzi wakashtukia gari ikiyumba ndio experiment ikaingia dosari.
 
Kwa kweli alichokifanya padri si kigeni sana
labda wasiwasi mwingine ambao ingekuwa vyema mwenyewe atoe ufafanuzi ni ile halufu ya kinyesi iliokuwa inasikika kwenye gari baada ya kufunguliwa milango ya gari na wao wakiwa watupu.
 
warumi
Wakioa tu mvuto wa kanisa katoliki utakufa, unajua ukiwa msimbe halafu ukajitwisha zile Joho na kofia ndefu na kafimbo, ukatembea kama bwana harusi na sauti mlegezo, maan ! Mtu anakuona kama Malaika, halafu unawamwagia ule moshi habari ndo hiyo
 
Last edited by a moderator:
Kuna vitu vingine vilikuwa vinawezekana zamani lakin sio sasa,waacheni mapadri wao,kuliko hizi kashifa za kuzini hizi ni mbaya kuliko kuoa
 
Kashfa ya kanisa au kashfa ya padre?

Kanisa katoliki ni zaidi ya Kadinali, sembuse padre??

Padre kuzini ni sawa na mwanaume aliye kwenye ndoa takatifu kuzini. Wote wanakuwa wametika nje ya kiapo chao. Padre ni binadamu kama sisi.

Ni hayo tu kw a leo.

Huyo amefichuliwa tu, noma sana na cheo chake hicho sijui ana hali gani! Huku yupo Padre amekula mwanakwaya na sister, sister aliposhtukia akamtokea mwanakwaya home kwake kwamba anaibiwa penzi, mwanakwaya akampooza sister vitu vya Kupita, mwanakwaya akapata mimba akatoa kwa sababu Padre chotara, Padre alilaani sana alikua ashajitoa kuhudumia
 
Kashfa ya kanisa au kashfa ya padre?

Kanisa katoliki ni zaidi ya Kadinali, sembuse padre??

Padre kuzini ni sawa na mwanaume aliye kwenye ndoa takatifu kuzini. Wote wanakuwa wametika nje ya kiapo chao. Padre ni binadamu kama sisi.

Ni hayo tu kw a leo.

Inatia doa kweli kwa waumini wa hiyo dini.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom