Prince Luanda
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 3,101
- 4,299
Vipi uchungu wa kufiwa?Kwa hiyo ushauri wake kwao nao wapotee, kwa maana hiyo anataka wafanye fujo, mtu alitahadharishwa kutokutoka nje ifikapo saa kumi na mbili jioni. Magaidi wao hatuwazungumzii kabisa, ila waliokufa kwa bahati mbaya, lakini wachoma nchi kifo ni halali yao. Sasa huyu Kitima kama anataka wachome nchi tena KAZI ianzie kwake na naomba polisi wasihusike kwake kukiwaka aangaliwe akiteketea Ili ajue uchungu wa kuchomewa makazi na mali