Padre Baptist Mapunda atoa somo gumu Songea leo

Mwambie Padre Mapunda amwambie Padre mwenzake Slaa aache kupora wake za watu.

Wewe una hamu na matusi jumapili ya leo na utayapata tu. We unadhani kuna mtu mzinzi kama huyo kiongozi wako...!!! Yule mzee jela maisha kisa mwanamke...!!!! Wake za watu wangapi anawapiga pumbu...!!!! Huyo mke wa mtu anayeishi na Slaa kwani ni chizi na hajui kwamba ana mumewe original. Si aende kwa mumewe...!!! Unamsemea amekutuma huyo mwenye mke..!!! Mpe basi hata dada yako basi aolewe kuchukua nafasi ya huyo wa Slaa....!!!! Acha upumbavu mkuu. Shenzi zako....!!!!
 
ukisheherekea hiyo miaka 38 ya CCM unasheherekea nini hasa?
Maana kwanza mtu anapaswa kujua wakati ule ccm inazaliwa ilkuwa na shabaha gani na sasa unasheherekea kutimia kwa zile shabaha.
Neno mapinduzi lilikuwa na maana nzito sana. Ilikuwa na shabaha ya kuleta mabadiliko ya haraka kwa kuondoa unyonyaji, unyanyasaji, kupuuzwa na kuonewa kwa mwafrika hasa mtanzania. wana ccm walichukuliwa kama wanamapinduzi. viongozi wa ccm walilazimika kuongoza mapinduzi ili kumjenga mtanzia mpya aliye huru kutoka unyonywaji, upuuzwaji n.k.
sasa viongozi wamegeuka wanyonyaji, wabadhirifu, wabinafsi na mafisdi. wamejibagua katika huduma za elimu, afya, maji umeme n.k. je shule za kta ni za viongozi wa ccm?
Wanaosheherekea ni bendera fuata upepo. Padre Mapunda yuko sahihi. WAKO WAPI WANAMAPINDUZI WA KWELI NDANI YA CCM?
 
Umerudi Rejao! Long time, hayo ya siasa kama angeisifia CCM ungemfagilia tu, ila kwa kuwa ameiponda, basi unawaza kuwa ni ya kaisari. Ngoja watu wafundishwe, tena amefanya vizuri kwenda kusemea huko kwao manake huko ndiko vitenge na kofia hugaiwa kwa bidii. Go Fr go, fungua akili za watu
Huwezi kumsifia mtu kwa kuachana na misingi ya kiapo chake cha upadre na kufanya mambo ambayo hayamuhusu. Siangalii kama kaisifia CCM au upinzani... Isssue ni kuwa anaingilia kazi isiyo yake.
Wote tunamfahamu kuwa huyu padre anatambulika kwa jina “padri mwanasiasa wa kambi ya upinzani nchini” amekwishawahi kupewa maonyo mbali mbali na viongozi wake ikiwa ni pamoja na kuzuiwa kufanya ibada lakin bado hakomi.Hapa mmnamshangilia lakin anajipalia mkaa wake mwenyewe. Akiendelea hivi ataishia pabaya
 
Kwa wana jf wote jina la Padre Baptist Mapunda si geni. Leo alikuwa anahubiri hapa kanisa la Mjimwema Songea mjini. Bahati nzuri leo hii ni sherehe za CCM kutimiza miaka 38.

Alisema leo wana sherehekea miaka ya 38 ya kuwatesa na kuwanyanyasa nyie wananchi. Hawa ni wauaji na nyie mnawa shangilia. Kuendelea kuichagua ni kujichoma sindano ya sumu. Unakufa taratibu. Anasema najua mpo wana CCM hapa nendeni mkamwambie Kikwete nipo hapa leo.

Katiba inayopendekezwa. Akauliza mnataka kuipigia kura ya ndiyo mmeisoma? Anauliza wangapi wanayo? Akanyosha mtu mmoja tu kanisa nzima. Mnaona umati wote huu anayo mmoja tu? Halafu unashabikia CCM. Kwanini hawasambazi mkaipata? Kimya kanisa lote.

Escrow na Askofu. Alimponda askofu aliyechukua milioni 80. Anasema yule askofu hana maadili. Unachukuaje hela usiyoijua wala usiyofanyia kazi,?

Hitimisho; CCM kuendelea kuiweka madarakani ni kujilisha sumu mwilini mwisho itakuua mwenyewe.

Hakika Padre huyu mahubiri yake unaweza kuyaogopa kama una moyo mwepesi

Mtumishi yeyote wa MUNGU huwa amumunyi neno na hayuko tayari kumdanganya mfalme eti kapendeza wakati kajipaka mavi!
 
Nashangaa mijitu hala inashadadia ooh namfahamu huyo padre toka so n so... Kazi ya padre ni kuhubiri mambo ya mungu au habari za siasa. Ya kaisari amwachie kaisari

lazma ushangae we jitu kwakua either unabichwa kama kambale au ndo walengwa wa ujumbe wake!!huwez kutenganisha siasa na maisha ya mwanadamu...!!!!jinga weeeh!!!politic is animal activity hence politics is'nt jargon phenomena.
 
Wewe una hamu na matusi jumapili ya leo na utayapata tu. We unadhani kuna mtu mzinzi kama huyo kiongozi wako...!!! Yule mzee jela maisha kisa mwanamke...!!!! Wake za watu wangapi anawapiga pumbu...!!!! Huyo mke wa mtu anayeishi na Slaa kwani ni chizi na hajui kwamba ana mumewe original. Si aende kwa mumewe...!!! Unamsemea amekutuma huyo mwenye mke..!!! Mpe basi hata dada yako basi aolewe kuchukua nafasi ya huyo wa Slaa....!!!! Acha upumbavu mkuu. Shenzi zako....!!!!
Mbona matusi yako ya kizamani sana, ebu njoo na matusi mapya tukusome.
 
Nashangaa mijitu hala inashadadia ooh namfahamu huyo padre toka so n so... Kazi ya padre ni kuhubiri mambo ya mungu au habari za siasa. Ya kaisari amwachie kaisari

Si vyema kuita wenzio mijitu labda wewe ni kamtu! Kazi ya kuhani kusema ukweli kama mtawala yuko uchi ni lazima aambiwe akavae nguo na wa kumwambia ni mtawala wa ROHO ambayo ndiyo yenye mamlaka kuliko mwili! Ambapo pia utawala wa ROHO ndio pekee unaoweka mamlaka ya duniani ukasalimika Jitambue!
 
Mojawapo ya kazi za kanisa na watumishi wake ni pamoja na:

1) Kuhubiri upendo
Katika upendo viongozi wakristo wanaaswa na Kristo kufanya kazi kama watumishi badala ya kuwa watawala. Kristo mwenyewe katika kulisisitiza hilo, aliwaosha miguu wafuasi wake (Yohana 13: 1-17, Mathayo 20: 25-27), kazi ambayo katika uyahudi ilikuwa ikifanywa na mtumwa kwa mgeni au mwenye nyumba anapoingia sebuleni. Ndani ya CCM na serikali kuna viongozi wakristo ambao hawafuati mafundisho haya, na hawa ni wafuasi na wanafunzi wa Kanisa ambao Padre mapunda ana haki na anawajibika kuwaambia kuwa wanavyofanya si kadiri ya mafundisho ya biblia bali ni ufuasi wa shetani. Na hapo Padre mapunda ana wajibu pia wa kuwaeleza wakristo wasimfuate wala kumtumikia shetani.

2) Kuijua na kuihubiri kweli
Viongozi wa kanisa wana wajibu wa kuwafundisha wakristo kweli ya kristo ambayo husimama katika haki. Yeyote anayeshirikiana na fedhuli kuwagandamiza watu wanyonge na maskini, ni tunda la shetani. CCM inaposhirikiana na serikali kuwaibia, kuwatesa, kuwadanganya na kuwatelekeza watanzania wanyonge, yeyote anayeshirikiana na CCM naye anakuwa ameshiriki uovu. Padre Mapunda ana haki na wajibu wa kuwaeleza waumini kutengana na wadhulumaji, wevi na waongo
Kama umewahi kumsikia huyu padri mahubiri yake sidhani kama ni agizo la Kanisa Katoliki, hayo ni matakwa yake mwenyewe ya kisiasa na siyo ya kiroho na hata vinginevyo. Huyu padre siku zote amekuwa akipandikiza kwa wananchi na waumini wake chuki, fitina na uchonganishi dhidi ya serikali yetu sikivu ili ajinufaishe yeye kisiasa.

We are all aware that huyu fadha role model wake ni padre wilbrod Slaa... Na sasa anaandaa mazingira ya kuingia kwenye ulingo wa siasa baada ya kuona upadre haulipi. Anaitumia vizuri sana forum ya ibada za jumapili kanisani kwake. Kwa hilo nampa hongera.
 
Good, tunahitaji akina Desmond Tutu.....tunahitaji viongozi shujaaa wa kukemea maovu kabla ya athari zake. CCM wawe tayari kuachia mikondo ya demokrasia. Kama hawataki, naitambulike hivi leo kuwa kama hawataki tuisome katiba, hawataki kuandikisha wapiga kura.....hawataki kuelimisha watu ktk katiba pendekezwa....wao ni wauaji.....wavurugaji amani....ni wabaya.
 
Huyo padri ndio viongizi wa dini wanaotakiwa kwa ajili ya amshaamsha ya wananchi kijitambua na kutoka kwenye blangeti la amani walilofunikwa ili waibiwe. Tungekuwa na viongozi wa dini wa aina hiyo 20 tu nchi hii leo usingetuka tuna viongozi vishoka wa siasa. Nchii imejikuta inaongozwa na viongozi vishoka kwani watu hawakujali kuchagua viongozi bora wakidhani wote wako kana Nyerere. Matokeo yake wezi, wala rushwa, walevi wa madaraka wamekamata uongozi wa nchi, wameishia kuingia mikataba ya raslimal za umma kwa mikataba ya rushwa, kilaghai mpaka wameifanya siri. Sasa ngoma imekuwa kuwatoa madarakani. Wako tayari hata kuua huku wakicheza na mambo muhimu kama katiba ya nchi. Kwenye vita hii kila mtu ana wajibu wa kuwatoa ccm madarakani kasoro nyinyi mnaofaidika na wizi huu.

Kama wewe sio mnafiki kanusha hili. Leo hii watanzania wengi wanajua kuna kombe la soka la mataifa ya Afrika kupitia njia za upashanaji wa habari, je ni watanzania wapangaji wameshaisoma katiba pendekezwa achia mbali kuiona!!? Ni kipi bora kwa watz kwa sasa kukifahamu, katiba ama soka la africa? Katika mazingira haya unataka padre akae kimya eti ni mambo ya siasa. Hivi unataka kuniambia na umri ulio nao katiba ni jambo la kisiasa ama la umma?
Nakushangaa sana unapofananisha soccer which is a social issue na katiba ambayo ni issue za kisheria zenye politics ndani yake. Hivi ni vitu viwili tofauti kabisa na mwitikio wake ni tofauti kabisa.

Huyu padre inabidi akome na kuichambua biblia cuz guidance ya kazi zake za kila siku ni biblia na siyo katiba. Nimekwisha eleza huko juu kuwa anachofanya huyu fadha ni siasa za kipinzani na siyo mahubiri ya kiroho. Muda mwingi anautumia kuchambua siasa za Tanzania badala ya kuichambua biblia
 
Ukishabikia ccm ni sawa na mtu kujichoma sindano ya sumu,utakuwa unashabikia wizi zuluma unyanyasaji uvunjaji wa haki za binaadamu na kuongezeka kwa umasini elimu mbovu,kilimo kibovu na mwisho wa yote ni kifo
 
Kila wilaya TZ akipatikana mtu mmoja kama huyo padri TZ itakombolewa kutoka mikononi mwa fascists
 
Umeandika uharo mwingi sana.

Napenda nikupongeze kwa ujengajo wako hoja makini. Kwa aina hii ya maneno sio ccm wala waislam wasijali wameweka mtu makini hapa jukwaani kutoa ufafanuzi wa kile wanachokitaka na kwa kweli jamii ya watanzania wataelewa waislamu wanataka nini kutokana na msemaji wao hapa jukwaani.
 
Back
Top Bottom