Padre amwagiwa Tindikali huko Zanzibar

Padre amwagiwa Tindikali huko Zanzibar

Status
Not open for further replies.
Kibaya zaidi kuwa Wazanzibari wanaumia zaidi kwa utalii uliotoweka, nchi nyingi wamezuia wananchi wao kwenda Zanzibar, wawekezaji wengi wameahirisha au kuondoka kabisa.
kuna rafiki zangu walikuwa na project ya kijamii ambayo ni nzuri sana....wamerudi kwao ulaya..wanafikiri nini kilitokea.....wazenj hata kuwasaidia wanalalamika..Nyerere alikosea sana kuwadekeza hadi wakaona kuwa msaada ni haki yao ..hawajui kuna siku watatakiwa wao kusaidia.
 
Hivi inawezekana nchi ikawa na waislamu au wakristu watupu kwa hali ya dunia yetu hii ilivyo kwa sasa? Siamini kuwa hao wanaomwagiwa tindikali au kushambuliwa wanafanyiwa hivyo ati kwa vile hawatakiwi kuwepo Zanzibar. Ina maana hata watumishi wa ubalozi wowote Zanzibar ni lazima wawe ni waislamu?
Ukimwangiwa wewe utaamini,au ukiuawa wewe au mtu wako wa karibu atakayekuwepo ataamini.
Huyu ni padri wa tatu kudhurika Zanzibar,inamaanisha nini kwako usiyetaka kuamini.Mazingira wanayomwagiwa hayana utata kusema alikuwa kwenye mishemishe tuongee lugha gani ili uamini.Kanda za shehe ilunga ziko wazi na zimeelekeza watu wa kuandamwa.basi kama huamini hii ziamini kanda za shehe ilunga.
 
kwahiyo nayule Shekh aliymwagiwa tindikali akiwa mazoezini alimwagiwa na mkristu.

chunguza mashehe woote wanaomwagiwa tindkalini anti uamsho,ponda na gaidi ilunga.

ambapo nao huwa regarded kama makafiri
 
Ok, let us start with premises and later on come out with the conclusion. I advise you not to include hypothetical syllogism and put away fallacies and then validate to me that the one who has done the action to the padre was valid and sound. You start with any premise and i will be waiting..........................................remember not to deny the antecedent and affirm the consequent. Ok i will help you to start

1.Some Muslims hate Christians
2.The Padre who has been poisoned is a christian
3. Therefore some Muslims have poisoned the padre

How does the above sound?

To make more specific:
-Many Muslims aren't practicing faithful.
-Islam claims to be the one and only true religion.
-Islam preaches that true Muslims should fight kafir anywhere.
-Islam preaches that Christians are kafir too.

Those some Muslims(attackers ) are some of the practicing Muslims.

then conclude....

NB:usitumie nguvu nyingi sana kuifanya dini,utamaduni, siasa kuonekana vizuri...wakati ni vitu ambavyo vitaishi kwa generations kibao vikiwa under scrutiny.....utakuwepo wapi,utakuwa na uwezo gani wa kubadili utetezi wako....instead ulipaswa jiuliza kwanini hizo mila,hiyo dini, au ideology nyingine imekuwa hivyo,km ni shaihi kwako na jamii ambayo inapata madhara yeke...
 
Hayo mambo yanafanywa na waislamu,dalili zote ni wao.
Huku bara hatumwagii mapadri tindikali wala shehe.HAO WAISLAMU WANAOFANYA HAYO hawawezi kulazimisha kueneza uislamu kwa njia za kipuuzi kama hizi.
Ni demographic fact kuwa Zanzibar kuna waislamu wengi, lakini hili si swala la mtu kuwa mwislamu in swala la kimlengo. Sheikh pia alimwagiwa tindikali je si muislamu? Hawa wanao mwagia watu tindikali wana ajenda ya kisiasa. Moja wanawaandama watu wasio na asili ya Zanzibar au wanaowatetea. Sasa dini inaingizwa kukuza mambo. Pole father na wote walioathirika na janga hili.
 
Duh....!!!
Zikionza Moderity ya ku express through LOGICAL Thinking kuna hatari ya kupoteana hapa.

Mkuu....ni hivii...mbwa ukishamjua jina lake hawezi kukusumbua.....Let Syllogism takes its lead...!
 
To make more specific:
-Many Muslims aren't practicing faithful.
-Islam claims to be the one and only true religion.
-Islam preaches that true Muslims should fight kafir anywhere.
-Islam preaches that Christians are kafir too.

Those some muslims()attackers are some of the practicing muslims.

then conclude....

Need i say more Nic???....oooops...give me break....for today is enough partner!?!
 
Unaongea na muislam.....na pia kwa bahati nzuri spika za misikiti zipo nje si ndani..kwa hiyo usiedhani ni siri......hata wanasiasa waislam wengi wapo wazi tuu.....hata Zitto mar akiabo anadaia kuwa hakuna usawa , Lipumba na wengine...sidhani upo serious..
Taja hiyo misikiti basi maneno mengi ya nini.
 
Mapadre kumwagiwa tindikali Zanzibar huo ni utaratibu wa kawaida, serikal yangu tukufu inaendelea kuwasaka wote wasioitakia mema nchi yetu, na hatua kali za kisheria zitachukuliwa, kwahiyo tunawaomba wananchi wote hasa wakristu wawe watulivu......, end of story.........!
 
haha.....nini nini?NI mistari toka ktk quran version ya kiswahili...

Mtajidanganya sana kwa uetetezi duni kihivyo........freemasonry (illuminant ) wanamuabudu Lucifer ..Majini ni uzao wa Iblisi..moto(lucifer) ....na ndio central ktk mafundisho yenu...........

Ni wonder in wengi ni freemasonry ,waganga, waenda kuzimu na wenye kupewa nguvu na pete.........mnapata wapi damu ya kuwapa majinn......?
Siyo Qur'an, weka Qur'an usineletee habari za version za kiswahili.
 
Ni demographic fact kuwa Zanzibar kuna waislamu wengi, lakini hili si swala la mtu kuwa mwislamu in swala la kimlengo. Sheikh pia alimwagiwa tindikali je si muislamu? Hawa wanao mwagia watu tindikali wana ajenda ya kisiasa. Moja wanawaandama watu wasio na asili ya Zanzibar au wanaowatetea. Sasa dini inaingizwa kukuza mambo. Pole father na wote walioathirika na janga hili.

haha....kuna wezi waliuan awakigombania power, na mgao ktk gheto....(hii ni kawaiada sana ktk mafia)...polisi na raia watasemaje au watastahili semaje?kwanza wenyewe tuu hawataki hata issue ifike ktk sheria za wazi......pili raia wema watafurahi km wanapunguzana, na polisi nao watafurahi ....

Wamwaga Acid km ano wanaona mwingine atawasaliti au hakustahili kuwepo ktk kundi naye akapenda lilia kundi then sheria za gheto zitadili naye.Mwingine akiingia naweza kosa evidence....unadhani Jambazi atajipeleka mahakamani kushtaki ktk kesi waliyokuwa wkaigombea mgawo wa uhalifu waliofanya ambao upo ktk upelelezi..?

By the way :HIYO INAITWA FRIENDLY FIRE....NA QURANA INASEMA MUISLAM AKIMUUA MWENZIO KTK VITA NI KM HAJAMUUA KWA FAIDA YA DINI .HANA DHAMBI NA LAIYEUWAWA ATAPEWA THAWABU....yaani ni km unataka US wakahoji mchapano wa terrorists
 
Siyo Qur'an, weka Qur'an usineletee habari za version za kiswahili.

Kwani mimi nimesema hiyo ni quran?mimi nimesema hiyo ni mistari ya quran ktk tafsiri ya kiswahili....Ahca kusafisha kitu ambacho kilikuwepo kabla yako na kitaendelea kuwepo baada yako..bor aungejiuliza km ni worth it.Ungejiuliza km kweli uislam si mzigo.

Hembu anza na hii?
Qur'an (5:51) - "O you who believe! do not take the Jews and the Christians for friends; they are friends of each other; and whoever amongst you takes them for a friend, then surely he is one of them; surely Allah does not guide the unjust people."
Qur'an (5:80) - "You will see many of them befriending those who disbelieve; certainly evil is that which their souls have sent before for them, that Allah became displeased with them and in chastisement shall they abide." Those Muslims who befriend unbelievers will abide in hell.
Qur'an (3:28) - "Let not the believers Take for friends or helpers Unbelievers rather than believers: if any do that, in nothing will there be help from Allah: except by way of precaution, that ye may Guard yourselves from them..." This last part means that the Muslim is allowed to feign friendship if it is of benefit. Renowned scholar Ibn Kathir states that "believers are allowed to show friendship outwardly, but never inwardly.

Ndio maaana muislam anayefanya urafiki na mkristu au kutaka nao amani..huwa wanamwia Mkristu au kafri..mwinyi alipigwa vibao kwa sababua hiyo...Bakwata inaitwa ni ya kikristu......
 
Ukimwangiwa wewe utaamini,au ukiuawa wewe au mtu wako wa karibu atakayekuwepo ataamini.
Huyu ni padri wa tatu kudhurika Zanzibar,inamaanisha nini kwako usiyetaka kuamini.Mazingira wanayomwagiwa hayana utata kusema alikuwa kwenye mishemishe tuongee lugha gani ili uamini.Kanda za shehe ilunga ziko wazi na zimeelekeza watu wa kuandamwa.basi kama huamini hii ziamini kanda za shehe ilunga.

Umemiss point yangu. Si kwamba siamini kuwa yametokea. Argument yangu ipo kwenye dhana (mantiki) ya kinachopelekea matukio hayo kutokea. It isn't that simple kiasi cha kuja na majibu ya kugombana. Ninavyojua mimi hata vatcan kuna watumishi wa balozi za nchi zenye mwelekeo usio wa Kiroma. Kwa nini hawa wenzetu wasione umuhimu wa kukubali kuwa kwa dunia ilivyo sasa ili nchi iwepo ni lazima kuwa na flexibility katika namna shughuli za serikali na wananchi wenyewe zinavyoweza kuwa na maingiliano yenye dhamira njema.
 
Wewe mama d una uhakika kuwa ni waislamu ndo walofanya ,tumia akili ww arusha lilipigwa bomu kanisani mkaanza hv hv ooooh waislamu haoo mwishowe report imekuja kuwa aliofanya hayo ni mkiristo
 
Taja hiyo misikiti basi maneno mengi ya nini.

we mwehu sana..nitaje misikiti yenye speaker nje?Ni km unaniambia nikutajie binadamu mwenye pua....wewe si unapiga swala 5,na misikiti siku hizi si mingi kuliko waumini wahitajivyo..tazama yote unayoiona njiani, km huoni sikiliza.
 
Kwani mimi nimesema hiyo ni quran?mimi nimesema hiyo ni mistari ya quran ktk tafsiri ya kiswahili....Ahca kusafisha kitu ambacho kilikuwepo kabla yako na kitaendelea kuwepo baada yako..bor aungejiuliza km ni worth it.Ungejiuliza km kweli uislam si mzigo.

hembu anza na hii?
Qur'an (5:51) - "O you who believe! do not take the Jews and the Christians for friends; they are friends of each other; and whoever amongst you takes them for a friend, then surely he is one of them; surely Allah does not guide the unjust people."
Qur'an (5:80) - "You will see many of them befriending those who disbelieve; certainly evil is that which their souls have sent before for them, that Allah became displeased with them and in chastisement shall they abide." Those Muslims who befriend unbelievers will abide in hell.
Qur'an (3:28) - "Let not the believers Take for friends or helpers Unbelievers rather than believers: if any do that, in nothing will there be help from Allah: except by way of precaution, that ye may Guard yourselves from them..." This last part means that the Muslim is allowed to feign friendship if it is of benefit. Renowned scholar Ibn Kathir states that "believers are allowed to show friendship outwardly, but never inwardly.
Narudia tena leta Qur'an usiniletee maandishi ya kiswahili na Kiingereza.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom