Stoudemire
JF-Expert Member
- Mar 24, 2012
- 839
- 208
Serikali hii kweli ni dhaifu haijakamata hata mtu mmoja aliyemwaga tindikili achilia mbali mtandao wenyewe.
Mtu aliyerusha bomu arusha alishikwa boda boda peke yake na hamna matumaini tena!
Kweli serikali legelege aka dhaifu!!!
Mtu aliyerusha bomu arusha alishikwa boda boda peke yake na hamna matumaini tena!
Kweli serikali legelege aka dhaifu!!!