kumbe siku hzi mapadiri wanatafuna waziwazi?
wacha urongo, rini uriacha kura sababu ya kurimendea tunda??
Kardinali Pengo naye wale watoto wake kule Tunduru sijui wanaendeleaje jamani ??
Inawezekana ni kweli lakini sikubaliani kabisa na maelezo yaliyotolewa, Wanajamvi kumbukeni kanisa katoliki halina kiongozi yoyote wa kiroho anayeoa! Hivyo kama huyo ameoa siyo padre tena bali ni mwanajumuia kama kawaida, Inawezekanaje padre huyo akafanye tukio litakalomharibia nadhiri yake huku akijua haruhusiwi kuwa na mke?
Habari hii huenda ni ya kweli ila mtoa mada unaitoa ki udakuudaku...
wacha urongo, rini uriacha kura sababu ya kurimendea tunda??
Padre ni binadamu kama mimi na wewe. Kutooa ni utaratibu si wa mungu bali binadamu i.e. Kanisa. Tusimhukumu kwa hilo bali kwa kitendo cha kushmbulia tuachie sheria.nawafahamu mapadre wengi niliosoma nao wana watoto.kanisa lijitazame upya.
Nicas Mtei Padre sura, kwingine hakuna dini. Hasa mkonga ndio umebobea kwa kupenda matunda pori ya bustani ya Eden
Hata nyumba ndogo kwa waleo mbona wazi wazi kabisa.
Wakiwezeshwa hawavungi aisee.
Kwani Padre Slaa anatafuna kwa kificho ?
MUNGU gani huyo aliyeagiza kwenye kitabu gani kuwa Mwanaume rijali asiwe na MKE ? Hivi ninyi mnachezea ile makitu eeeenh ? Kardinali Pengo naye wale watoto wake kule Tunduru sijui wanaendeleaje jamani ??
Huyo padri nimesoma nae aisee. Ana miwani ivi mpole, huwezi amini.