Padiri katekwa "novena" iko wapi?

Padiri katekwa "novena" iko wapi?

Swadaktaaa

Imani sio Dini, ila Dini iko ndani ya Imani..
Jaribu kuwa muelewa, Kuna Imani nje ya Dini, ila hakuna Dini nje ya Imani.

Hivyoo yaan.

Jisahihishe meenyewe:-
Dini ni jumla ya imani ya binadamu kadhaa pamoja na mafundisho wanayotoa kuhusu yale ambayo wanayazingatia ama kuyasadiki, yaani mambo ya roho, kama vile kuhusiana na Mungu, maisha na uumbaji.

Imani ni kukubali ukweli wa jambo lisiloweza kuthibitishwa.
 
Novena ni kama albadiri tu, vitu vya kufikirika weusi tulivyorithishwa tuishi navyo huku wakubwa (wazungu na waarabu) wakichota mali miaka ya naintiini kweusi, wakatupiga na wanaendelea huku sisi tukishindwa kuchukua hatua muhimu za maisha yetu tunapiga magoti tupate miujiza toka mbinguni! Povu ruksa..
 
Sijazungumzia Dini, ila ninyi mmeonesha kama asili ndio alternative kumbe waapi
Ndiyo,asili haikopeshi ukiapa ukakengeuka kiapo inakuadhibu lakini dini ukiapa ukakengeuka haikuadhibu kwa lolote hivyo dini zimepitwa na wakati.
 
Hakuna dini bila imani.
Kwa kanuni za mantiki (logic) basi dini ni halisia kwa hoja zako.
Upo sahihi kabisa mkuu,

Huwezi kuitenganisha Dini na Imani,
Dini ni imani na matendo,

Imani maana yake ni kuamini jambo kua lipo japo halithibitishiki kwa ushahidi ulio wazi,mfano huwezi kuthibitisha kua Mungu yupo kwa kumleta Mungu huyo mbele ya anayesema kua Mungu hayupo,so hapo inabaki kua ni imani na kuamini kua Mungu yupo,

Belief is a mental acceptance of a claim as true.
 
Imani sio dini. Kuna watu wanaimani zao zao lakini hawana dini.
Mkuu ungejiuliza kwanza Imani ni nini? na Dini ni nini?

Unaposema kuna watu wanaimani zao kisha ukasema lakini hawana dini,unakua umejicontradict wewe mwenyewe,hizo imani zao ndio dini zenyewe,hata ukiwa na imani ya kuamini mizimu basi hiyo ndio dini yako coz ndio uliyoiamini,hata ukiamini kua Jiwe ndio imani yako,basi lile jiwe ndio dini yako,

Faith and religion cannot separated,faith can be seen as the internal,person trust or belief in a higher power.
 
Novena ni kama albadiri tu, vitu vya kufikirika weusi tulivyorithishwa tuishi navyo huku wakubwa (wazungu na waarabu) wakichota mali miaka ya naintiini kweusi, wakatupiga na wanaendelea huku sisi tukishindwa kuchukua hatua muhimu za maisha yetu tunapiga magoti tupate miujiza toka mbinguni! Povu ruksa..
Upo sahihi Chief
 
Acha kuhangaika na dini mwamini Yesu kwanza, dini ni usafiri au kibao cha kukuelekeza kule umeamini
 
Back
Top Bottom