Padiri katekwa "novena" iko wapi?

Padiri katekwa "novena" iko wapi?

Mkuu ungejiuliza kwanza Imani ni nini? na Dini ni nini?

Unaposema kuna watu wanaimani zao kisha ukasema lakini hawana dini,unakua umejicontradict wewe mwenyewe,hizo imani zao ndio dini zenyewe,hata ukiwa na imani ya kuamini mizimu basi hiyo ndio dini yako coz ndio uliyoiamini,hata ukiamini kua Jiwe ndio imani yako,basi lile jiwe ndio dini yako,

Faith and religion cannot separated,faith can be seen as the internal,person trust or belief in a higher power.
Uongooo, IMANI sio DINI, Ko nikiamini mie nitakua Tajiri, basi Utajiri ndio dini yangu?

Huu ni uongo bhana, Lol
 
Uongooo, IMANI sio DINI, Konikiamini mie nitakua Tajiri, basi Utajiri ndio dini yangu?

Huu ni uongo bhana, Lol
Ukiamini kua tajiri basi utajiri ndio dini yako?
Hili swali unatoka nje ya mada,hapa tunaongelea imani ambayo wewe unaiamini kua inakusaidia,mfano ukiamini mizimu basi mizimu ndio dini yako,kua na imani maana yake ni kuamini jambo,huo mfano wako wa kuamini kua tajiri,umetoka nje ya mada kabisa,

Hebu nipe tafsiri yako,

Dini ni nini?

Imani ni nini?
 
Kabla sijajibu, kuna IMANI za aina tofauti? Maana inaonesha kuna hii ya kwenye uzi, na ingine ziko nje ya huu uzi.

Nijibu afu nishuke na maswali yako.
 
Hapa ndipo tuamini sasa hakuna cha novena,ukristo, albadili, uislam,Muhamad,Yesu,nk.

Waafrika wakati umefika tutafute suluhisho la kudumu la haya matukio hizo dini tumepigwa!!!
Tulia utapata majibu Tarehe 29.10.2025 pale ambapo Wana CCM mtalia kilio kikuu
 
YAANI WATANZANIA MKIWEZA KUANDAMANA HIYO TAREHE 29.10.2025 BASI DUNIA YOTE ITAKUWA IMEKOMBOLEWA kwa ujinga mlionao,nchi hii haiwezi kukombolewa kwa majungu ya fb,jf,x,nk bali kwa SNIPING
 
Ukiamini kua tajiri basi utajiri ndio dini yako?
Hili swali unatoka nje ya mada,hapa tunaongelea imani ambayo wewe unaiamini kua inakusaidia,mfano ukiamini mizimu basi mizimu ndio dini yako,kua na imani maana yake ni kuamini jambo,huo mfano wako wa kuamini kua tajiri,umetoka nje ya mada kabisa,

Hebu nipe tafsiri yako,

Dini ni nini?

Imani ni nini?
Imani ni mambo yatarajiwayo bayana ya mambo yasioonekana!

ni kuamini jambo bila kulazimika kuliona au kulielewa kikamilifu.

Dini ni mfumo wa imani, ibada, na mafundisho kuhusu Mungu au maisha ya kiroho.

Unaweza kuwa na imani bila kuwa na dini imani ni ya binafsi, dini ni ya mfumo..
 
Sijui hata kama umeelewa ulichokiandika hapa!

Ukisha sema Dini ni mfumo wa imani unakua tayari umeshajipinga wewe mwenyewe hoja yako yakusema ''Unaweza kua na imani bila kua na dini''

Imani inayoongelewa hapa ni imani ya kidini,hata ukiamini jiwe kua linaweza kua msaada kwako basi hiyo ndio Dini yako,wahindi wanaamini na kuabudu Ng'ombe,hiyo ndio Dini yao,

Unaposema Unaweza kua na imani bila kua na dini hapa una maanisha imani ya kuamini kitu gani? ili uamini dini fulani ni lazima uwe na imani (Kuamini) dini hiyo,

Neno imani linatafsirika kutokana na wakati au eneo linapotumiwa,hapa tunatumia neno Imani kwenye msingi wa Dini.
 
Mimi nmejibu maswali ya mwisho ulivyo uliza, hayo mengine sikuyaconsider! Ata mimi ninajua ukiwa na imani ya dini inakuwaje! Am not opposing your opinions!
 
Acha ujinga na utumwa bwana kama umeshindwa kuelewa kwa kiswahili kiingereza kirakusaidia nini?jiongeze!!
Imani inabadilika mjinga wewe Dini inabadilika.
Punguza ujuha.
Dini inasubiri mjumuike wenye imani (msingi) unaofanana iwabane kwa Hadithi za kale.

Je Muislam kuamin Issa ndio yesu anakuwa Mkristo ?
Kumembadili dini ?
 
Back
Top Bottom