Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,233
- 26,753
Hizo lawama nyingi ni za akina nani ? Wana JF ama ? Kati ya wasikilizaji milioni moja wakilalamika watu elfu moja sioni ubaya.Wachina wanasema iwapo utaona mmekaa zaidi ya watu kumi mnaongea na wote mnakubaliana kwa kila jambo basi hapo kuna jambo halipo sawa.
Hebu sasa mtoe ushauri wa redio mbadala, Kwani kusema kweli wasanii ni wengi sana hapa bongo na wote wanaiangalia clouds, na nina uhakika clouds haina uwezo wa kuwafikia wote. Toeni ushauri wa redio mbadala ya kukimbilia tuachane na hawa "wanyonyaji" Tulalamike na kutoa ufumbuzi jamani watanzania wenzangu.
Kwa Mujibu wa Dj.CHOKA P-funk naye Ametoa DUKUDUKU lake la Moyoni kuhusuu kifo cha ALBERT MANGWEA!
WANAJAMVI MNA MAONI GANI??
Ngumu sana kuelewa hadi upate watu wa muziki wakuambie tumefikaje hapa!
Copyright ndo swala la msingi analosimamia P.Funk,
Nampongeza sana P.Funk na Bongo Records kwa ujumla kwa kuonyesha kuwa wanaweza kuwa dira ya kumsulubu mnyonyaji wa kazi za sanaa ya tz tena hili limeionyesha ukomavu kwani ni legally na ninahakika Kusaga na ruge wanaumia sana juu ya hili.
Kudos P.Funk,
Kudos Ludigo.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
namuunga mkono PFUNK MAJANI.
Prof Ludigo nae kasema hataki kusikia nyimbo alizomtengenezea Mangwea(R.I.P) zikipigwa na Clouds hasa Mikasi
Kifo chao ndo kimefika hawa wanyonyaji
Mbona ngoma za ngweair zilizotengenezwa bongo records bado zinagongwa clouds. Nmesikia kimya kimya muda si mrefu.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Huyo Majani ni ---- mkubwa. Dizaini na yeye akili zishaanza kumruka.
Mtoto wa watu huko "majuu" nani hajui!
sio za ngwair tu,awapige marufuku wasaniii wote anaowatengenezea nyimbo sasa hivi wakiwa hai kuzipeleka clouds media afu tuangalie itakula kwa nani kati yake na hao clouds!!!!au yeye hadi ufe ndio anakuwa na uchungu na na wewe?
Nitafsirie ulichoandika, tafadhali.
Nalifahamu game tangu wakati linaanza na hadi hapa lilipofikia!! Tangu enzi za akina 2 Proud a.k.a Mr II wanafanya fujo pale old Kilimanjaro Hotel kupinga matokeo ya mshindi wa Rap!! Tangu enzi watu tunatembea na tapes za beats za unyamwezini, na ukioetea redio mahali mnaweka tape mnaanza kushusha mistari!!! Hawa wote wanaolalamika sasa ni wanafiki tu coz' kwa nyakati tofauti tofauti walikuwa ni wanufaikaji wakubwa kupitia Clouds hao hao huku wengine waki-hustle pamoja na kwamba walikuwa na vipaji! Hatukuwasikia miaka yote hiyo!! Leo hii nyang'au limewarudia wenywe wanaanza kulalamika.....inaelekea wakati umefika kwa wafu kuzikana wao kwa wao!! Bongo flavor ni full fitina....na fitina kubwa zaidi zinatoka kwa wasanii wenyewe kwa wenyewe huku wakati mwingine fitina zikifanywa kwa kiasi kikubwa na wanaojiita mameneja!!Ngumu sana kuelewa hadi upate watu wa muziki wakuambie tumefikaje hapa!
Nalifahamu game tangu wakati linaanza na hadi hapa lilipofikia!! Tangu enzi za akina 2 Proud a.k.a Mr II wanafanya fujo pale old Kilimanjaro Hotel kupinga matokeo ya mshindi wa Rap!! Tangu enzi watu tunatembea na tapes za beats za unyamwezini, na ukioetea redio mahali mnaweka tape mnaanza kushusha mistari!!! Hawa wote wanaolalamika sasa ni wanafiki tu coz' kwa nyakati tofauti tofauti walikuwa ni wanufaikaji wakubwa kupitia Clouds hao hao huku wengine waki-hustle pamoja na kwamba walikuwa na vipaji! Hatukuwasikia miaka yote hiyo!! Leo hii nyang'au limewarudia wenywe wanaanza kulalamika.....inaelekea wakati umefika kwa wafu kuzikana wao kwa wao!! Bongo flavor ni full fitina....na fitina kubwa zaidi zinatoka kwa wasanii wenyewe kwa wenyewe huku wakati mwingine fitina zikifanywa kwa kiasi kikubwa na wanaojiita mameneja!!
You're RIGHT lakini tatizo ni kwamba(especially JIDE) hawasimamii music industry bali wanasimamia maslahi binafsi! Ni bahati mzuri sana Jide amepata public sympathy na kuonekana kana kwamba anapigania industry mzima kumbe ni maslahi binafsi! Kwa namna moja au nyingine, tukichukulia mathalani suala la Jide, naweza kukubaliana na madai ya Ruge kwamba ugomvi wao unatokana na ile kudhani kwamba Clouds wana mkono wao pale Skylight Band!! BInafsi, hata kama wana mkono wao, sioni tatizo....ndo biashara!!Very true,lakini wanapoamua kusimama sasa ni vizuri wote wajitafakari ili industry iende kule kunakotakiwa.Wenzetu Kenya na hata Uganda waliojifunza Hip hop juzi wanaanza kutambulika kimataifa sisi tunahujumiana.
Yaani ni sawa na kukata tawi ulilokalia.Industry imevurugika sana imebaki bora liende walau upate chochote usikasirishe walioshika mpini.
Huyu mnafiki leo ameibuka baada ya kusikia ngwea amekufa.naona anatafuta sifa sasa baada ya kuuwa vipaji vya wasanii wengi huku akiwafundisha na kupuliza majani ambapo kwenye studio yake ilikuwa kama makao makuu ya bhangi dsm
P funk aliliuwa kundi la daz nunda akitaka kila msanii atoe album yake ili apate dili huku daz baba na ferooz kuwaweka karibu sababu walikuwa watumia majani
P funk aliliuwa kundi la chamber squard kisa kupatana na ngwea kwenye kutumia majani
Huyu huyu alimshawishi jay kuachana na hbc ili yeye apate dili la kurecord nyimbo
Soggy na bizman w anamjua kwani pamoja na kufanya kazi naye kwa muda waliambulia nyimbo zao kufutwa
kuna siku clouds watabaki wanapiga tu nyimbo za kwaya ya parokia ya mavurunza
Kusaga soon jengo ataanza kufugia kuku lile
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
waacheni walalamike wenyewe wasanii, kwanini mashabiki ndo mwayaongea hayo?? ina maana ninyi ndo mnajua sana ama???? matusi makubwa mnatukana kwny social networks mbalimbali, ina maana jide ndo aliyewaambia mtukane ama nini??? amkeni vjana, ninyi mnatukana wenzenu wana enjoy maisha, wakati huo muda unaotumia kutukana ungekuwa ushafanya mambo mengi tu