Yo Yo
JF-Expert Member
- May 31, 2008
- 11,217
- 1,702
haki vile..Sema haki ya Mungu!
mkuu hapo sasa ndio tatizo la kuokoteza mashori ngomani...shori respect type yangu hana hizo...Unapenda kuchunwa sio? Noma mazee shori asione kipato
haki vile..Sema haki ya Mungu!
mkuu hapo sasa ndio tatizo la kuokoteza mashori ngomani...shori respect type yangu hana hizo...Unapenda kuchunwa sio? Noma mazee shori asione kipato
Yeah, muonyeshe maana ni mkeo na inabidi umshirikishe kwenye kupanga bajeti. Hivyo mtapannga bajeti yenu kutokana na kipato ulichonacho.kama mimi ndio mwenye kipato na mama watoto hana kitu,hii nayo imekaaje?nimuoneshe salary slip?
...haya, ukiandika wosia je, ...utamuonyesha jinsi ulivyoigawanya mali?
kuna jamaangu alipata kusema kwamba "ndugu yangu ukimwonyesha mkeo `salary slip` umekwisha!, maana atazua matumizi yasiyo ya lazima, hadi ahakikishe fedha zote zimeisha"!
lakini pia, kwa uchunguzi wangu binafsi kumekuwa na tabia ya watu wengi kuficha kwa wake zao (au waume zao), figures halisi za mishahara yao.
ukiacha mishahara, pia kuna marupurupu lukuki ambayo huenda mume au mke anaweza akawa anayapata, lakini yote haya hayasemwi kwa uwazi kwa mwenza.
kuna vitu kama overtime, tips, bakshishi, commission za manunuzi, allowances kadha na safari packages ambazo wanaume wengi hawaziweki wazi kwa wake zao pindi wazipatapo.
je kuna ukweli gani kuhusu jambo hili?
ni halali kuweka hadharani mafao haya kwa mwenza, au ni salary slip tu inayotakiwa kuonyeshwa?
Interesting...hivi are u supposed to share the details of your will na mkeo? and vice versa? ama kama mke anayo mali iloyoko katika jina lake, mume ana haki gani hapo? ama yatakuwa yale mambo ya surprise za JM na Diana Ross??
mnapoandika will mnashirikiana ama ni kimya kimya tu?
Are you people really serious, au mnafurahisha wanaJF?
Hivi si nyie ambao mnageukia ukutani hata mnapoacha hela ya mboga?
Lets speak our hearts jameni!
Sasa si ni bora usio au usiolewe kabisa kuliko kuficha ficha vitu wakati uko mume au mke wa mtu.