Oyaa!! - Usionyeshe Salary Slip Yako!

Kama ni mnywaji, ukionesha mapato yote maswali yatakua kibao
na ugomvi unaweza kutokea, mi nadhani ni bora kuficha baadhi ya mapato kwani wengi(waume) wana matumizi ya pembeni, mke hajui
UKWELI NDO HUO
 
Back
Top Bottom