Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,601
- 20,501
Napenda sehemu kama hizi.Kuna hii kama resort nzuri sana inaitwa Oviedo. Nimeona kuna landscaping ya maana, boti, sijui farasi nk. Iko wapi hii? Nimeona mmiliki wake, Dr Ibrahim Chenza(Phd)ana mishe gani? Nataka kujifunza.
View attachment 3608309View attachment 3608308
Nafikiri ipo RufijiNapenda sehemu kama hizi.
Ipo wapi na wanatoa huduma zipi na zipi?
Weekend moja nikajichimbie uko
Anajihusisha na networking marketingKuna hii kama resort nzuri sana inaitwa Oviedo. Nimeona kuna landscaping ya maana, boti, sijui farasi nk. Iko wapi hii? Nimeona mmiliki wake, Dr Ibrahim Chenza(Phd)ana mishe gani? Nataka kujifunza.
Sema tu utapeli hiyo network marketing ni kupunguza makali ya maneno ili watu waendelee kupigwaAnajihusisha na networking marketing
Naona Dr Chenza umekuja kujipa promo huku JF.Kuna hii kama resort nzuri sana inaitwa Oviedo. Nimeona kuna landscaping ya maana, boti, sijui farasi nk. Iko wapi hii? Nimeona mmiliki wake, Dr Ibrahim Chenza(Phd)ana mishe gani? Nataka kujifunza.
Itakuwa hali imekuwa mbaya huko mtaani ameamua kuja tumboost ili awatapeli vizuri wajingaNaona Dr Chenza umekuja kujipa promo huku JF.
Sure ,ni tapeli tu kama kina Chief GodLuv.....Ukiona mtu anajitangaza sana kama ni Tajiri means anataka kuwaaminisha manyumbu awaingize kwenye 18 kuwatapeli.Itakuwa hali imekuwa mbaya huko mtaani ameamua kuja tumboost ili awatapeli vizuri wajinga