Our Brother Passed Away!

Our Brother Passed Away!

Mwenyezi Mungu ampe pumziko la milele...na zaidi awatie nguvu na kuwapa mshikamano katika kipindi hiki cha majonzi
 
Pole sana brother na wafiwa wote kwa ujumla mwenyezi Mungu awatie nguvu katika wakati huu mgumu..
 
Poleni kwa msimba na Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu kwani msiba huwa hauna mazoea, poleni sana.
 
Pole sana, tuwe tayari saa yoyote. apumzike kwa amani
 
Poleni nyote wahusika God be be with you at this diffecult moment RIP
 
Mwenyezi Mungu awape wafiwa nguvu na Imani...

:rip:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom