Our Brother Passed Away!

Our Brother Passed Away!

Habari za siku kadhaa wanaJF wenzangu?
Kwa huzuni kubwa napenda kuwapa taarifa za kifo cha kaka yangu mpendwa Justine Mdemu kilichotokea huko Kigoma.
Marehemu kaka Justine alikuwa kasuru-kigoma kwa safari ya kikazi hakuwa anaumwa kabla, akiwa huko Kasuru yasemekana aliugua ghafla tangu saa 4 usiku ambapo saa 6 alikimbizwa hospitali lakini saa 10:45 ya tar 24/5 alifariki dunia!
Kwa wali-graduate SUA 1997 Coz ya Agro economics wanaweza kuwa walimfahamu maana ndio mwaka aliohitimu!
Usiku huu ndio tupo kwny safari tukitokea DSM kwnd kumpumzisha ndgu yetu hapo kesho J2, mazishi yatakayofanyika Mufindi Iringa!

Naomba kuwasilisha kwa maombi yenu!
Asanteni.

Inna Lillah Waina Illahi Rajoon
Sisi ni wa Mwenyezi Mungu nasi Kwake tutarejea.

Pole sana mkuu kwa msiba wa kaka. Mwenyezi Mungu Insha'Allah awape Subra.
_
 
Dah,

Rest In Peace Justine, shukrani kwa taarifa mkuu babaubaya
 
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi~AMEN na pia awape nguvu na faraja wafiwa katika kipindi hiki kigumu kwao.
 
Maneno yenu ni yenye faraja kwetu. Mungu awaongeze hekima wanaJF! Asanteni sana!
 
Pole sana; ndio njia yetu wote! Mungu awape ujasiri, uvumilivu na uelewa wa fumbo lake!
RIP brother!
 
Poleni sana sana Mungu awatie nguvu na awafariji katika kipindi hiki kigumu! Awatangulie katika yote!
 
Pole sana Mkuu........tunakuombea Mar na nyie ndugu zake mpate faraja
 
Tuko pamoja mkuu, poleni sana na Mungu awatangulie ktk safari yenu to Iringa
 
Praise be to the God and Father of our Lord Jesus Christ, the Father of compassion and the God of all comfort, who comforts us in all our troubles, so that we can comfort those in any trouble with the comfort we ourselves receive from God.
May the comfort of God be with you all.
 
R.I.P brother JM mungu iweke roho ya marehemu mahar pema pepon amen! Ninakutakia safar njema uende salama!
 
Habari za siku kadhaa wanaJF wenzangu?
Kwa huzuni kubwa napenda kuwapa taarifa za kifo cha kaka yangu mpendwa Justine Mdemu kilichotokea huko Kigoma.
Marehemu kaka Justine alikuwa kasuru-kigoma kwa safari ya kikazi hakuwa anaumwa kabla, akiwa huko Kasuru yasemekana aliugua ghafla tangu saa 4 usiku ambapo saa 6 alikimbizwa hospitali lakini saa 10:45 ya tar 24/5 alifariki dunia!
Kwa wali-graduate SUA 1997 Coz ya Agro economics wanaweza kuwa walimfahamu maana ndio mwaka aliohitimu!
Usiku huu ndio tupo kwny safari tukitokea DSM kwnd kumpumzisha ndgu yetu hapo kesho J2, mazishi yatakayofanyika Mufindi Iringa!

Naomba kuwasilisha kwa maombi yenu!
Asanteni.
Innalillahi wainna ilaihi rajiuun
 
Poleni sana. Bwana Alitoa na Bwana Ametwaa, Jina La Bwana Libarikiwe!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom