Ally Kombo
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 11,429
- 2,653
Mossad wamefanya kazi yao.
........................Wayahudi tu ndio wanaakili ! ............. bila shaka ndio maana walikataa kuwa YESU SI MUNGU, ni mtu mwema tu !
Mossad wamefanya kazi yao.
The truth will come out soon.
Jamaa alikuwa anavuta bangi?
![]()
kwa hiyo tuhisishe uisilamu na bangi?
haki ipi sasa?kwasababu bongo waliokufa wengi pale ubalozi walikua waislam!!mie mnaposema haki hata siwaelewi na mashambulio mengi wanayofanya hawa jamaa hayaangalii kwamba huyu mkristo au muislam![/QUO
lazima uelewe ya kuwa alikuwa anapingana na kitu lazima alikuwa na mission na vission yake
![]()
The unidentified body of a man is seen after a raid by U.S. Navy SEAL commandos on the compound where al Qaeda leader Osama bin Laden was killed in Abbottabad, May 2, 2011. Bin Laden was killed in the U.S. special forces assault on the Pakistani compound, then quickly buried at sea, in a dramatic end to the long manhunt for the al Qaeda leader who had been the guiding star of global terrorism. Picture taken May 2, 2011. REUTERS
![]()
The unidentified body of a man is seen after a raid by U.S. Navy SEAL commandos on the compound where al Qaeda leader Osama bin Laden was killed in Abbottabad, May 2, 2011. Bin Laden was killed in the U.S. special forces assault on the Pakistani compound, then quickly buried at sea, in a dramatic end to the long manhunt for the al Qaeda leader who had been the guiding star of global terrorism. Picture taken May 2, 2011. REUTERS
![]()
........................Wayahudi tu ndio wanaakili ! ............. bila shaka ndio maana walikataa kuwa YESU SI MUNGU, ni mtu mwema tu !
........................Wayahudi tu ndio wanaakili ! ............. bila shaka ndio maana walikataa kuwa YESU SI MUNGU, ni mtu mwema tu !
ninavyo fahamu ni kwamba kuna aina tofauti za risasi- kuna ambazo hazitoki the other side-hizi zikiingia mwilini haziendi straight-zinaenda kushoto au kulia na hivyo kufanya victim apate maumivu sana na kupoteza damu-aina nyingine ya risasi ni zile ambazo once zikipigwa lazima zitokee the other side....... tulipitia JKT ........ hivi AK 47, au M 16, au G3, ukimpiga mtu kwa close range unaweza kupata miili iko clean kiasi hichi ? au walitumia Dagger ? (visu) kuna kitu kinaitwa '4 bore lines ndani ya mtutu wa bunduki, ulizia kazi yake ndani ya mwili wa binaadamu !
hakikka atakumbukwa kwa mengi aliyoyafanya katika kupigania haki
kwa hiyo tuhisishe uisilamu na bangi?
Ulikuwa hujui!
Najaribu kujiuluza,
Kwa nini Bush amegoma kwenda kwenye hizo sherehe?
inawezekana amegundua jambo ambalo anataka awe mbali nalo kwenye hizi taarifa za Obama?
Tafadhali wanaoweza kujua lolote wanitoe wasiwasi,
Najiuliza hivyo kwa sababu nilitegemea Bush mwanzilishi wa kumuwinda huyu jamaa angekuwa mstari wa mbele kusherehekea!