Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,209
Wangempeleka court wasingekuwa na evidence za kutosha za kumpa adhabu ya kifo.Shida nyingine wanapata ni kujistify kwa nn wallimuua huku Obama akijifanya ni mtu ambaye hakuwa na silaha na wakti huo huo waipretend ni watu wa Justice. Hawawezi kupika uwongo mwingi sababu huyo binti mkewe yupo naye ataongea.
I think Obama kaona sometime sheria inapindishwa ili mambo yaende. Imagine Osama in US court!!!!!!! i think they wanted him dead and nothing else. baada ya hapo sasa waht happened.........
Hizi picha zimekuwa leaked na serikali ya Pakistan?
The photos [were], taken by a Pakistani security official who entered the compound after the early morning raid on Monday, show two men dressed in traditional Pakistani garb and one in a t-shirt, with blood streaming from their ears, noses and mouths.
Lol, serikali ya Pakistan ndio inayoishikiria hiyo compound sasa hivi. Navy SEALs waliondoka na mwili wa Osama miili na survivor wengine wote waliachwa hapo. Unless zilipigwa na the locals kabla serikali haijafunga milango na kuweka wanajeshi wenye bunduki kulinda.Go figure bro...Serikali ya Pakistan watoe wapi picha kama hizi wakati hawakuhusishwa hata kidogo kwenye mission nzima?
You're prolly right. Soma correction yangu juu.Lol, serikali ya Pakistan ndio inayoishikiria hiyo compound sasa hivi. Navy SEALs waliondoka na mwili wa Osama miili na survivor wengine wote waliachwa hapo. Unless zilipigwa na the locals kabla serikali haijafunga milango na kuweka wanajeshi wenye bunduki kulinda.
Pakistani ngoma yao ngumu sasa hivi lol inaonekana jamaa walikuwa wanamuifadhi huku wanakula hela ya wamarekani lol.Lol, serikali ya Pakistan ndio inayoishikiria hiyo compound sasa hivi. Navy SEALs waliondoka na mwili wa Osama miili na survivor wengine wote waliachwa hapo. Unless zilipigwa na the locals kabla serikali haijafunga milango na kuweka wanajeshi wenye bunduki kulinda.
Tatizo sasa hivi hata zikija kuvuja ni sawa na kazi bure tu kwa sababu tayari kuna ambazo ni feki na zinazunguka huku na kule. Sasa hata hizo ambazo ni za "kweli" zikitoka watu hawatakuwa na imani tena.
Zingetoka kesho yake nadhani haya makelele yote yasingekuwepo. Halafu kina Obama si waliliangalia hilo shambulizi in 'real time'? Kwa hiyo kutakuwa pia na video yake. Nashangaa kwa nini watu hawaiongelei hii video. Au labda tumedanganywa tu maana haya mambo ya vita yana propaganda nyingi sana. Kama ile helikopta tunayoambiwa eti iliharibika. Huenda ilishambuliwa na watu wa Osama lakini Wamarekani hawawezi kuwapa Al-Qaeda hiyo moral victory.
Let the conspiracy theories continue...
Hilo swala la helicopter mie mwenyewe siwakubalii kabisa.manake inakuwaje kila siku hizi helicopter zao zinadondoka tu kwa tatizo la ufundi? Wamarekani watu makini sana kwenye kujiandaa na sidhani hio helicopter ilipata tatizo ghafla inawezeka ilitunguliwa na kama kuna mtu wao amefariki hawataki kusema.
Mara kibao huwaga wanasema ama ndege zao au helikopta zao zikidondoka eti lilikuwa tatizo la kiufundi. Ni nadra sana kukiri enemy fire ndo imesababisha....hahahaaaa hawa watu bana inabidi kuwaangalia na kuwasikiliza kwa jicho na sikio la tatu muda wote.
Wapakistan mziki wao mzito sana ndani na nje ya nchi, yani kweli walishindwa kudetect helicopter zimeingia na kutua karibia na chuo chao cha kijeshi plus hizo helicopter zimekaa ardhini karibia saa nzima alafu moja ikaondoka. Air Defence System yao haifanyi kazi au? Waje bongo tuwauzie radar ya kina Chenge.Pakistani ngoma yao ngumu sasa hivi lol inaonekana jamaa walikuwa wanamuifadhi huku wanakula hela ya wamarekani lol.
Na kama wangeambiwa jamaa anaenda kushambuliwa wange m-save lol.
Hilo swala la helicopter mie mwenyewe siwakubalii kabisa.manake inakuwaje kila siku hizi helicopter zao zinadondoka tu kwa tatizo la ufundi? Wamarekani watu makini sana kwenye kujiandaa na sidhani hio helicopter ilipata tatizo ghafla inawezeka ilitunguliwa na kama kuna mtu wao amefariki hawataki kusema.
Once the helicopters came close to OBL's hideout, men on the roof opened fired with rocket propelled grenades, according to CBS's Pakistani source.
Tatizo sasa hivi hata zikija kuvuja ni sawa na kazi bure tu kwa sababu tayari kuna ambazo ni feki na zinazunguka huku na kule. Sasa hata hizo ambazo ni za "kweli" zikitoka watu hawatakuwa na imani tena.
Zingetoka kesho yake nadhani haya makelele yote yasingekuwepo. Halafu kina Obama si waliliangalia hilo shambulizi in 'real time'? Kwa hiyo kutakuwa pia na video yake. Nashangaa kwa nini watu hawaiongelei hii video.
Let the conspiracy theories continue...
Yaap haiwezekani kwamba hawakupata mashambulizi yoyote.story zao zinachanganya so far.Nakubaliana na wewe, haswa ukichukulia kwamba all we've been hearing so far is only one side of the story - namely the American Authorities's day-by-day different versions of what really went down that night.
Kusema kweli (Plastic toy guns next to cold dead bodies aside), these Al Qaeda dudes surely didn't go out laying down on their beds as the latest US propaganda will have it (i.e., The White House's latest claim that OBL wasn't armed and didn't offer any resistance).
I have good reason to believe that, that helicopter was possibly shot down, because elsewhere we can read that:
Haiwezekani kabisa. Sasa hivi msiba umeanzia kwa jamaa aliyenunua kiwanja kwanza lol.Wapakistan mziki wao mzito sana ndani na nje ya nchi, yani kweli walishindwa kudetect helicopter zimeingia na kutua karibia na chuo chao cha kijeshi plus hizo helicopter zimekaa ardhini karibia saa nzima alafu moja ikaondoka. Air Defence System yao haifanyi kazi au? Waje bongo tuwauzie radar ya kina Chenge.
Hizi helicopter zimetengenezwa specifically kwa ajili ya hii mission? Maana nimesoma sehemu wanasema zinaonekana zina stealth capabilities.Nakubaliana na wewe, haswa ukichukulia kwamba all we've been hearing so far is only one side of the story - namely the American Authorities's day-by-day different versions of what really went down that night.
Kusema kweli (Plastic toy guns next to cold dead bodies aside), these Al Qaeda dudes surely didn't go out laying down on their beds as the latest US propaganda will have it (i.e., The White House's latest claim that OBL wasn't armed and didn't offer any resistance).
I have good reason to believe that, that helicopter was possibly shot down, because elsewhere we can read that:
Yaap haiwezekani kwamba hawakupata mashambulizi yoyote.story zao zinachanganya so far.
Ndio maana nilisema kwamba Obama aliharakisha sana kutua press confrence na sasa habari zao zinatofautiana
Nimeona na contractor naye kahojiwa lol, sasa kumbe hizi picha zimeuzwa kwa Reuters na agent wa ISI/mwanajeshi wa Pakistan wameshindwa kumzuia jamaa kweli au ndio basi wanataka kuionyesha dunia?Haiwezekani kabisa. Sasa hivi msiba umeanzia kwa jamaa aliyenunua kiwanja kwanza lol.
Wapakistan mziki wao mzito sana ndani na nje ya nchi, yani kweli walishindwa kudetect helicopter zimeingia na kutua karibia na chuo chao cha kijeshi plus hizo helicopter zimekaa ardhini karibia saa nzima alafu moja ikaondoka. Air Defence System yao haifanyi kazi au? Waje bongo tuwauzie radar ya kina Chenge.
Sasa unaelewa kwa nini nilisema Osama ndani ya mahakama angefungua can of worms.Mimi bado sijashawishika kuwa Wapakistan hawaku detect mahelikopta ya Marekani kuingia kwenye anga yake hususan ukizingatia kuwa hiyo nyumba waliyoenda kuivamia iko takribani yards 500 kutoka kwenye chuo chao cha kijeshi.
Na sijashawishika kabisa kuwa intelijentsia ya Pakistan haikujua kuwa Osama anaishi hapo karibu na hicho chuo chao cha kijeshi.
Kuna mengi sana hayaingii akilini kuhusiana na hili tukio.