Easymutant
R I P
- Jun 3, 2010
- 2,564
- 1,135
uongozi wa marekani hauwezi kuwadanganya wananchi wake manake madhara yake ni makubwa kuliko sababu unazotoa.. !! USA imejaa wasomi na wananchi waelewa..!
Osama kauwawa
unamaanisha hizo video ambazo zilikuwa zina pewa al jazira na CIA zilikuwa hazina validity yoyotekweli kabisa mkuu,osama kauwawa maana navyomjua mimi angekuwa hai angesha jitokeza kwenye kwenye tv akikanusha kuuwawa
uongozi wa marekani hauwezi kuwadanganya wananchi wake manake madhara yake ni makubwa kuliko sababu unazotoa.. !! USA imejaa wasomi na wananchi waelewa..!
There is no way that the Pakistan Army or the ISI(Pakistani Intelligence ) coul NOT have known that Osama was right uder their noses, thats what is worrying.Could they be accomplices to the murders in Tanzania and Kenya in 1998?In other words these, pictures give the clue that Osama was guarded by the Pakistani Army?
Another reason why this story stink,20 or more heavily armed Navy SEAL-40MINUTES fight and only three people dead.?who was shooting for 40 minutes,at whom and why there where no local alarm raised or military backup since military academy was only few minutes away and the area is populated by retired army generals.where was the bodyguards of bin laden.something missing in this story
Nafikiri mungu hawezi kutunyima vyote, hiki ndio kipaji pekee tulichonacho Watanzania. BISHANA MPAKA UFE. Usichokijuwa tu ni kwamba alikuwa anahifadhiwa na serikali ya Pakistan, kwa sababu ya upumbavu ule ule wa huyu ni mwislamu mwenzetu.
unamaanisha mwili ambao hawatupatia picha sasa kama walitaka kupata positive identification alipokufa basi si wangewaita nduguzake watoe hiyo positive identification si hivyo ndo wanavyofanyaga mtu akifa. hata sadamu husen mbona walifanya hivyo na mapicha wakeka live. hawa wanataka tuwapatie mda nadhani bado wanatengeneza mwili bandia waosama kama watatoo hiyo proof.The US is well aware of the pressure to provide proof of death. Indeed US media have said that one of the reasons President Obama decided on a commando operation to kill Bin Laden rather than a bombing raid was to have positive identification of the body
- US officials say that after the raid the body was flown to Afghanistan where DNA tests were carried out.
- Officials the tests showed a "virtually 100%" match with the DNA of Bin Laden's relatives.
- Afterwards the body was being buried at sea. US officials said this was to avoid his grave becoming a shrine.
source:BBC
Hii kauli imekutoka tu au ni kitu unachokiamini kweli?uongozi wa marekani hauwezi kuwadanganya wananchi wake manake madhara yake ni makubwa kuliko sababu unazotoa.. !! USA imejaa wasomi na wananchi waelewa..!