Duh! Sawa expert! Inaelekea wewe unajua habari zaidi ya NewsMedia! Maana wao ndio wame-ripoti low fly helicopters below radar detection. Lakini naona wewe ni expert zaidi kwenye haya mambo!
Sometimes mkuu kuna ishu za opinion zinazoweza kuwa challenged bila facts na sometimes tunatoa information iliyotoka kwenye trusted media. Sasa hapo wewe unapopingana nayo, tunategemea uje na sababu kamili!
Umeambiwa kuwa Marekani haikushirikisha taifa lingine lolote. Sasa wewe unadai kuwa Pakistan walijua. Sijui unadhibitishaje haya madai...
How convenient, buried at sea, so no one can verify this claim, nice! And the U.S. Government pulls another one over the eyes of the suckers who so desperately want to believe that the Government is all good and would NEVER deceive its people.
How convenient, buried at sea, so no one can verify this claim, nice! And the U.S. Government pulls another one over the eyes of the suckers who so desperately want to believe that the Government is all good and would NEVER deceive its people.
Sasa nafahamu kwa nini NN yupo so negative kuhusu kuuwawa kwa Osama. Because it has happened under Obama's presidency!!! Nakumbuka wakati wa 2008 US election period na jinsi NN alivyokuwa anamponda Obama....Hofstede, you nailed it on the head!
nilikuwa naangali hapa fox news online waneonyesha jinsi alivyouawa, maana mapigano haoyo yallikuwa yanaangaliwa pia na makao makuu ya CIA kule virginia na hado alipokufa na wakachukua mwili wake.........kuzikwa baharini hawataki kaburi lae iwe kituo cha wafuasi wake kweda kuhiji.....wamamua kumzika fasta maana pakstani na afgastani ana wafuasi wengi na ndio maana wamemzika wao kwa kufuata simpo ruls za dini ya kiisla....lakini pia amezikwa baharin kwa kuwa hakuna nchi yoyote ingekubali kuupokea mwili wake.......
picha zake halali zimewekwa kwa sababu maalumu na zitatolewa tu.......
Naona leo hapa tutatoana macho!!!!!
Mkuu sio mtaaalam lakini hata mimi nikisikiliza au kusoma BBC au CCN . Napenda zaidi nisikie habari za watu wanaohojiwa na sio habari za watu wa chumba cha habari. Kupata habari balanced hiyo ndio kasumba yangu.
Hii nayosema nimsesikia anaojiwa heliocpter pilot. amesema ametumia heliocpter maeneo hayo na yeye aliwai kufanya kazi jeshini. kasema sio rahisi helicopter kutoonekana onekana kwenye radar maeneo hayo labda wkifudi waamue. Zaidi ya kituo cha jeshi kuna kakakituo ka nyuklia si mbali sana. Hizi ni info zimetolewa sio na reporter au mtu wa chumba cha habari bali ni mtu wa nje ya uandishi.
Huyu pilot naweza kumuamini hata kuliko obama. Ni mtazamo So kama hizo helicopter hazikuonekana si kwa sababu wapakistana hawana uwezo ila ni maigizo .
Huyo pilot kasema anajua kwa nini watu wengi wataamin hivyo na anajua kwa nini serikali ya pakistan haitaki kuonekana involved lakini.
Ingekuwa kijijini au milimani sawa lakini mjini bila utoa taarga casualities zingekuwa kubwa. Mimi sio mtaalam wa jeshi lakini usiamini tu kila unachosikia pima na sikiliza maoni mengine ndo ufanye conlusion.
sorry to say...lakini sometimes unauliza maswali ya kipunguani sana! Choice ya kuiamini serikali ni yako. mimi sijali kama wewe unaamini au huamini serikali! Kama unataka unaweza kuishtaki kwa uongo!
You tell me maanake navyojua kutoka Islamabad hadi bahari yeyote ni thousands of miles kiasi kwamba wangeweza kuipiga picha maiti na hata kuupeleka mwili huo sehemu nyingine yeyote. Kuutupa baharini haiwezi kuwa for safety measures..Na wamemtupa baharini kwa amri ya nani maanake Obama kasema mwili walikuwa nao mara hadithi ikabadilika.Ivi wewe unadhani hapa una-deal na jeshi la Tanzania. Ivi unajua hizo helicopter zilizokuja zilifly kutoka Afghanistan below radar detection?
Unadhani Marekani hawana aircraft carrier zao huko baharini pembeni mwa hizo nchi? How long will it take to fly the helicopter with the body to an aircraft carrier?
Kwa hiyo umeona na yeye Osama alivyokuwa anapigana?
kama waislamu wajinga wamefundishwa ujinga na wewe na mkeo" acha upuuzi wako kamjaribio mkeo au yeyote ulie juu yake" tena maada ya kutukana waislamu uwache nakuapia kwa yule ambae anaimiliki nafsi yangu ungeongea maneno haya tumekaribiana ningekufundisha adabu na ungeondoa najisi zako mdomoni mwako.waislamu punguzeni mikwara nyau, marekani haijakosea chochote kwa waislamu kama sio kununua mafuta yao, wakitajirika ndio wanazidi kujiona, mafuta hayako kwao tu, angalia bush alitaka kuachana na mafuta ya nchi za kiislamu, unaona nchi za waarabu wanavyogombania na kujipendekeza kuuza mafuta kwa wakristo wazungu? Hebu tazama miondoko ya uae, qatar, libya, saud arabia na bahrain, angalia nchi hizi zina ugomvi chinichini wa kugombania soko la mafuta yao, na ndio maana qatar wanaipiga kwa hamu libya sasa hivi ndege nyingi zinazorusha mabomu libya ni za jeshi la qatar. Ondoeni huyo sumu iliyomo ndani yenu, japo nyinyi wa tanzania, achaneni na ujinga
Associated Press hiyo:
News from The Associated Press
kama una kahawa karibu hapo koroga kikombe kimoja unywe......nimekwambia wameonyesha jinzi mapigano yalivyokuwa hadi wanamua huyu ndugu yako..... the bastard is dead...willy nilly!
Politics aside, don't you have some questions of your own regarding this purpoted killing of Osama? Or you are satisfied with what you have been fed?
And yes, I am an unabashed Obama opponent. My choice was Hilary but she lost. So I jumped ship and went to the GOP but I'm not a GOPer either.
Yeah, I do have some questions lakini the overwhelming news kutoka sehemu mbalimbali zinanifanya niamini kuwa hii kitu ni kweli. Kupunguza to and fro exchange, tuweke pesa hapa kama hajafa nakupa $300 na kama amekufa unanipa $300. How about this??