BBC News - Osama Bin Laden deadLol....chanzo chako ni nini?
Pakistan Taliban Says Bin Laden Is Still Alive, Geo Says
By Khurrum Anis - May 2, 2011 9:06 AM GMT+0300
May 2 (Bloomberg) -- Taufiq Rahim, political analyst and director at GlobeSight in Dubai, speaks about the death of Al Qaeda leader Osama Bin Laden. President Barack Obama said Bin Laden had been killed by a small team of U.S. operatives yesterday after a firefight at a house outside of Islamabad, the capital of Pakistan, where he had been hiding. Rahim speaks from Doha with Linzie Janis on Bloomberg Television's "Global Connection." (Source: Bloomberg)
Pakistan's Taliban said al-Qaeda leader Osama bin Laden is still alive and reports of his death are baseless, Karachi-based GEO Television reported, citing a statement from the group.
Bin Laden, founder of the terrorist network responsible for the Sept. 11, 2001 attacks on the World Trade Center and the Pentagon, was killed in Pakistan by U.S. forces early yesterday at a house where he had been hiding, President Barack Obama said in Washington. The strike came after years of "painstaking" work by the American intelligence community, he said.
The U.S. determined that bin Laden was living in a home in a compound in the town of Abbottabad, Obama said. The compound had been under surveillance since at least last September, according to administration officials who briefed reporters after Obama spoke.
One of bin Laden's sons was killed in the operation, Pakistan's Dunya television reported, without saying where it obtained the information. Two of his wives and six of his children were taken into custody by security forces, Dunya said.
source>>>>>> Pakistan Taliban Says Bin Laden Is Still Alive, Geo Says - Bloomberg
R.I.P Osama Bin Laden
mkuyat og, yaap nipo sirias kwani kuna ubaya gani kwa shekh Osama kulala karibu na Mtume?
Sheikh Osama alikua ni Muislam na amekufa akiwa Muislam je kuna ubaya gani kumuombea kheri? au kuna mabaya gani ambayo kayafanya mpaka uniulize kama nipo sirias? au ndio ule msemo wa mkuki kwa nguruwe ila kwa binadam mchungu?
Ndugu wadau;
Napata shida kuwaamini wamarekani kuhusu madai yao ya kumuua Osama Bin Laden, wakati habari inathibitishwa kwa mara ya kwanza Rais Obama alisema "mwili wa Bin Laden unashikiliwa na wanajeshi" wa Marekani lakini baada ya muda mfupi tunaambiwa kuwa kwa mujibu wa ofisa wa jeshi mabaki ya "mwili wa Bin Laden yamezikwa baharini" kwasababu walihisi hakuna nchi ambayo ingekuwa tayari kupokea mabaki hayo.
Je kwnini tuwaamini maana hakuna mtu mwingine aliyeona mwili wa Bin Laden zaidi ya askari wa Marekani, Hata picha ya hiyo maiti hatujaonyeshwa, isije tukawa tunatangaziwa habari hii kama moja ya propaganda za obama katika uchaguzi ujao maana wao ndio wanamiliki international media.
We need to receive it with intensive care!!!
R.I.P to his body, his soul is still working.
ina maana hujui Al qaeda waliopo yemen?kutoa tamko si lazima kuwe na wasemaje-kwani mwanzoni nani alikuwa anatoa matamko yao?Who is Al Qaeda in Yemen? Kwani Al Qaeda wana wasemaji?
Natangaza msiba mkubwa wa shujaa Sheikh Osama muhamad Bin Laden ambae ameuawa na madhalimu wa marekani ambao wao ndio wanajiona wana haki ya kuishi kwa amni na kumiliki mali za dunia nzima chini ya utawala wa ki freemason na iluminat amabo upo chini ya matakwa ya sheitwan rajjiiim, kiukweli imeniuma sana na pia ni pigo kubwa saana kwa sisi ambao ni maadui wa ubepari dunia nzima. ikumbukwe kua wamarekani walimuua saddam na kuharibu amani ya iraki hao hao walikua wanachochea vurugu somalia na kuwapatia silaha baadhi ya watu hao hao wanahusika kuchafua amani kongo na sehem mbalimbali duniani kwa maslahi yao. Inna li Lillah Wa inna Ilaih rajiuun, khafuu Llah wala Takhfu nnasu.amekufa kiume kama shujaa na sio kama wengine ambao hufa kwa ulevi wa pombe na ngono, tumuombee kheri na Mungu ailaze roho yake katika Jannah ya Firdaus karibu na Mtume mUhammad S.a.w
ina maana hujui Al qaeda waliopo yemen?kutoa tamko si lazima kuwe na wasemaje-kwani mwanzoni nani alikuwa anatoa matamko yao?
Kama uliwaamini kwamba Osama bin Laden ana-exist kwa nini usiamini kwamba kauwawa? Or have you seen Osama face to face? Unataka uende kukagua maiti? If you did depend on the media from the start on all these information about Osama why hesitating today? Camon man...