Orodha ya wasaliti Tanzania ni ndefu

Orodha ya wasaliti Tanzania ni ndefu

ujinga mtupu ameandika, kuwa msaliti ni kutoka chama kimoja kwenda kingine, Slaa ni msaliti namba moja, Lema, Kafulila n.k

Mi nazungumzia hawa wanaowaita wenzao wasaliti.
 
Sijui hata kama umenielewa!

Ila badilikeni .

Wewe huelewi nini? uliza specifically ambacho huelewi au taja namba ya mtu tukupe majibu kama bahati mbaya huwezi kujisomea na kujibu maswali kwenye maisha achilia mbali mitihani
 
Wamesaliti kivipi mbona naona kama muanzisha mada ni chadema
 
Wewe huelewi nini? uliza specifically ambacho huelewi au taja namba ya mtu tukupe majibu kama bahati mbaya huwezi kujisomea na kujibu maswali kwenye maisha achilia mbali mitihani

Nilichogundua kuna watu wameshavurugwa na maisha halafu hasira zao wanataka kuzimalizia humu.
 
mngemsahau huyu mtu anayeitwa Zitto mngekosea sana, Kauli zake hazieleweki leo wachumia tumbo kesho antaka kwenda mtwara na wale aliowaita wachumia tumbo
 
Last edited by a moderator:
Mbowe, Slaa , ni wasaliti wakubwa, wamesaliti ndoa zao na ruzuku ya chama
 
23-Mbowe
24-Silaa na mkewe
25-Lisu
26-Lema


Ukiamka usingizini nawa uso kwa maji baridi kabla hujaongea la sivyo utajikuta uko OUT OF PLACE kutaja taja majina yasiyohusika. Unaona sasa unapoteza heshima kwa kuwa completely wrong!!!! Hii aibu unaificha wapi? :A S 109::A S 109:
 
Mbowe, Slaa , ni wasaliti wakubwa, wamesaliti ndoa zao na ruzuku ya chama

CCM haina tena mtu mwenye akili isipokuwa Warioba na Butiku tu, Mzee warioba aliwaita watu kama nyinyi CCM maslahi, tumesema usaliti kwa taifa sio mtu au kaya fulani. FUnguka akili sio mapaja.
 
CCM haina tena mtu mwenye akili isipokuwa Warioba na Butiku tu, Mzee warioba aliwaita watu kama nyinyi CCM maslahi, tumesema usaliti kwa taifa sio mtu au kaya fulani. FUnguka akili sio mapaja.

Unajua maana ya kusaliti Taifa wewe? Mbowe na Slaa wanavyoifisadi ruzuku ya Chadema ambayo ni kodi za watanZania masikini sio usaliti? jipange
 
Unajua maana ya kusaliti Taifa wewe? Mbowe na Slaa wanavyoifisadi ruzuku ya Chadema ambayo ni kodi za watanZania masikini sio usaliti? jipange

peleka uchache wako wa mafikara huko fresh ya shamba, fisadi hataji orodha ya mafisadi 11 na JK wako yumo kimyaaa
 
Maskini wa TZ utawagundua kwa namna wanavyoshangilia kuona fedha zinaibiwa, yaani ni wale ambao wanaona heri tukose wote. WAMEKATA TAMAA YA KUJIPATIA KIPATO HALALI WANASUBIRI NAPE ARUSHE KOFIA NA KANGA.
 
Msaliti namba 1 ni Sitta, wa pili ni jk kwa kuwasaliti watz kuhusu katiba mpya.
 
peleka uchache wako wa mafikara huko fresh ya shamba, fisadi hataji orodha ya mafisadi 11 na JK wako yumo kimyaaa

Sasa Mbowe na Slaa wanapewa ruzuku milioni 200 na yote wanaifisadi hawabakizi hata senti tano wakikabidhiwa BOT si wataifilisi yote ?
 
Sasa Mbowe na Slaa wanapewa ruzuku milioni 200 na yote wanaifisadi hawabakizi hata senti tano wakikabidhiwa BOT si wataifilisi yote ?

Ukikuta kaka zako wanajadili mada ili hali uelewa wako ni mdogo, pita kimya kimya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom