Orodha ya wasaliti Tanzania ni ndefu

Orodha ya wasaliti Tanzania ni ndefu

Usaliti ni kosa kubwa kwa taifa, hawa kwa wakati fulani wametusaliti kama taifa, na wanapaswa kuangaliwa kwa macho 3 kila mara

  1. Ferdinand Masha
  2. Kambona (PKA)
  3. Tambwe Hiza
  4. Rashid Hamad
  5. Masumbuko Lamwai
  6. Daniel Sanzugwanko
  7. Steven Wasira
  8. Mkumbo
  9. Zitto
  10. Juliana Shonza
  11. Mwigamba
  12. Nakaya Mr. Politician
  13. Mrema A
  14. Dovutwa
  15. Sitta Sam
  16. Tibaijuika
  17. KaboUru Walid
  18. Andrew Chenge
  19. Werema
  20. Shivji Issa
  21. Benson Bana
  22. EL

Orodha ni ndefu ila leo tuanze na hawa 22, unaweza ongeza msaliti, lakn ukweli unabaki kuwa wasaliti wa taifa hupotea katika siasa za TZ kimya kimya. Je hawa wasaliti bado wanakutumikiaaaaa, au unawatumkiaaa? CHUKUA HATUA JINASUE NA MSALITI kwa namna yoyote ile.

jk sijamouna
 
Kwa jinsi ulivyo-introduce thread hii na majina na orodha ya wasaliti nashindwa kuelewa kuwa ni wasaliti wa mtu binafsi, chama cha siasa, au Taifa. Kama ni Taifa nafikiri una picha nyingine kabisa ya taifa!
 
Mwamanyu, wewe ni zuzu namaana nahapa napo huelewi mpaka ueleweshwe? Yawezekana nawe ni walewale tu. Acha ujinga, mbona iko wazi.
 
bENSON Bana ana kimbelembele sana cha kujifanya anatolea ufafanuzi masuala ya siasa; lakini the Guy is too inclined to ccm such that he is not a good commentator
 
Benson ni mzigo kwa taifa, Issa naye pia kasaliti hata maandishi yake mwenyewe. Huwa utawategemea kusaidia taifa kwa lipi?
 
Sasa LIMBU anathibitisha usaliti wa ZZK, tujitambue na wasaliti tuwaambie tunawafahamu na hatupendi usaliti wao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom