Orodha ya wasaliti Tanzania ni ndefu

Orodha ya wasaliti Tanzania ni ndefu

Shivji kama Bana, ni kituko kabisaaaa, vitabu vyake zinasema serikali tatu ni lazima, mdomo wake unasema serikali mbili ni bora zaidi, sasa kweli profesa anakuwampumbavu?? huku ni kondoo kule ni chui au simba mpanda miti, shame on him and fellow betrayors. Kitabu bila shaka kimeandikwa kwa kichwa na akili zake, maneno ya mdomo nadhani yanatokea tumboni tu, ni njaa
 
umemsahau Prof.Muhongo na JK hawa ndo wangetakiwa kuwa namba moja.
 
Werema aliingia pale baada ya kuwa tumetendwa sana na AC, baada ya Johnson kuwa amepwaya sana bungeni, tukampongeza rais kwa kuchukua mtu wa ngazi ya jaji kuwa Mwanasheria mkuu. TZ iliweka matumaini makubwa ya ufanisi uwazi, ukweli na haki chini ya Werema, nadhani kila mwenye timamu anakumbuka, je kuanza kuiba na kutukana bungeni tumbili sio usaliti kwa taifa???
 
KUNA MSALITI MWINGINE ANAITWA Freeman A. Mbowe. Huyo ni jambazi wa ruzuku za walalahoi. Hafai kuaminiwa hata kidogo.
 
Last edited by a moderator:
Khaa! Kujua kusoma na kuandika sasa ni sifa ya kuanzisha uzi JF. Where are the GTs??
 
Andrew C yeye akiwa AG Kuna RADAR, EPA, MZee wa Vijisenti, Katiba mpya, Escrow. Ni hatari na msaliti kwa kuwa AG anapaswa kulinda mali ya umma na kuitetea usiku wala mchana. Inatosha kusema ameshiriki wizi ambao umethibitika na kusaliti taifa kabisaaa
 
FTP NI ID mpya ya lumumba?
 
Last edited by a moderator:
Mleta mada hana tofauti na chopeko na mnofu
 
Usaliti ni kosa kubwa kwa taifa, hawa kwa wakati fulani wametusaliti kama taifa, na wanapaswa kuangaliwa kwa macho 3 kila mara


  1. Ferdinand Masha
  2. Kambona (PKA)
  3. Tambwe Hiza
  4. Rashid Hamad
  5. Masumbuko Lamwai
  6. Daniel Sanzugwanko
  7. Steven Wasira
  8. Mkumbo
  9. Zitto
  10. Juliana Shonza
  11. Mwigamba
  12. Nakaya Mr. Politician
  13. Mrema A
  14. Dovutwa
  15. Sitta Sam
  16. Tibaijuika
  17. KaboUru Walid
  18. Andrew Chenge
  19. Werema
  20. Shivji Issa
  21. Benson Bana
  22. EL

Orodha ni ndefu ila leo tuanze na hawa 22, unaweza ongeza msaliti, lakn ukweli unabaki kuwa wasaliti wa taifa hupotea katika siasa za TZ kimya kimya. Je hawa wasaliti bado wanakutumikiaaaaa, au unawatumkiaaa? CHUKUA HATUA JINASUE NA MSALITI kwa namna yoyote ile.


Wengine ni zaidi ya Wasaliti na kwa kuwapa heshima hiyo ya usaliti na wewe ni mmoja wao.Wengine ni wezi wa Mali ya Umma-Wahujumu Uchumi.


  1. Sitta Sam-Katiba Mpya.
  2. Tibaijuika-Escrow
  3. Andrew Chenge-Radar ,Meremeta,EPA ,Escrow nk
  4. Werema-Escrow
  5. EL-Richmond
 
KaboUru Walid, LAmwai ktkt ya vuguvugu kubwa la ukombozi wanasaliti umma na kurejea CCM, wako wapi sasa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom