Orodha ya wasaliti Tanzania ni ndefu

Orodha ya wasaliti Tanzania ni ndefu

fikirikwanza

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Posts
7,452
Reaction score
3,073
Usaliti ni kosa kubwa kwa taifa, hawa kwa wakati fulani wametusaliti kama taifa, na wanapaswa kuangaliwa kwa macho 3 kila mara


  1. Ferdinand Masha
  2. Kambona (PKA)
  3. Tambwe Hiza
  4. Rashid Hamad
  5. Masumbuko Lamwai
  6. Daniel Sanzugwanko
  7. Steven Wasira
  8. Mkumbo
  9. Zitto
  10. Juliana Shonza
  11. Mwigamba
  12. Nakaya Mr. Politician
  13. Mrema A
  14. Dovutwa
  15. Sitta Sam
  16. Tibaijuika
  17. KaboUru Walid
  18. Andrew Chenge
  19. Werema
  20. Shivji Issa
  21. Benson Bana
  22. EL

Orodha ni ndefu ila leo tuanze na hawa 22, unaweza ongeza msaliti, lakn ukweli unabaki kuwa wasaliti wa taifa hupotea katika siasa za TZ kimya kimya. Je hawa wasaliti bado wanakutumikiaaaaa, au unawatumkiaaa? CHUKUA HATUA JINASUE NA MSALITI kwa namna yoyote ile.
 
NO 1 KABISA NI
kikwete huyu aliahidi atapambana na mafisadi na urais wake hana ubia na mtu
_kila mtu ameshuhudia uongozi wake
cc:mpambe wake. FaizaFoxy!
 
Last edited by a moderator:
23. nyakarungu
24. shibuda
25. yohana mshita( alianzisha mageuzi na nsanzugwanko, mwaka 2010 alipopewa udiwan nccr mageuzi akaanza kukumbatis ccm. amrfukuzwa chama kakimilia mahakamani.uchaguz vitongoji kwenye kata yake ameipgia ccm debe ila imenyukwa sana. amebaki ni kilio
 
Samweli sita mbona hujamuweka jamaa yangu tena huyo katusaliti mara mbili asee
Usaliti ni kosa kubwa kwa taifa, hawa kwa wakati fulani wametusaliti kama taifa, na wanapaswa kuangaliwa kwa macho 3 kila mara


  1. Ferdinand Masha
  2. Kambona (PKA)
  3. Tambwe Hiza
  4. Rashid Hamad
  5. Masumbuko Lamwai
  6. Daniel Sanzugwanko
  7. Steven Wasira
  8. Mkumbo
  9. Zitto
  10. Juliana Shonza
  11. Mwigamba
  12. Nakaya Mr. Politician
  13. Mrema A
  14. Dovutwa
  15. Sitta Sam
  16. Tibaijuika
  17. KaboUru Walid
  18. Andrew Chenge
  19. Werema
  20. Shivji Issa
  21. Benson Bana
  22. EL

Orodha ni ndefu ila leo tuanze na hawa 22, unaweza ongeza msaliti, lakn ukweli unabaki kuwa wasaliti wa taifa hupotea katika siasa za TZ kimya kimya. Je hawa wasaliti bado wanakutumikiaaaaa, au unawatumkiaaa? CHUKUA HATUA JINASUE NA MSALITI kwa namna yoyote ile.
 
Usaliti ni kosa kubwa kwa taifa, hawa kwa wakati fulani wametusaliti kama taifa, na wanapaswa kuangaliwa kwa macho 3 kila mara


  1. Ferdinand Masha
  2. Kambona (PKA)
  3. Tambwe Hiza
  4. Rashid Hamad
  5. Masumbuko Lamwai
  6. Daniel Sanzugwanko
  7. Steven Wasira
  8. Mkumbo
  9. Zitto
  10. Juliana Shonza
  11. Mwigamba
  12. Nakaya Mr. Politician
  13. Mrema A
  14. Dovutwa
  15. Sitta Sam
  16. Tibaijuika
  17. KaboUru Walid
  18. Andrew Chenge
  19. Werema
  20. Shivji Issa
  21. Benson Bana
  22. EL

Orodha ni ndefu ila leo tuanze na hawa 22, unaweza ongeza msaliti, lakn ukweli unabaki kuwa wasaliti wa taifa hupotea katika siasa za TZ kimya kimya. Je hawa wasaliti bado wanakutumikiaaaaa, au unawatumkiaaa? CHUKUA HATUA JINASUE NA MSALITI kwa namna yoyote ile.

Hao akina Juliana Shonza ni wapuuzi tu,wamejisaliti wenyewe tu hao,same applies to Nyakarungu
Hao jina lao sahihi ni wachumia tumbo qalioppteza sense za ufahamu wao
 
23-Mbowe
24-Silaa na mkewe
25-Lisu
26-Lema
 
23-Mbowe
24-Silaa na mkewe
25-Lisu
26-Lema

Sio lazima uchangie dada yangu.au na Jumapili huwa mnalipwa buku 7 zenu.hivi wewe ni Mtanzsnia gani hujiulizi pamoja na kuwa tuna vyama vya upinzani vya kuikosoa lakini Ccm bila woga wanapiga mabilioni ya Pesa wakati hospitalini hakuna madawa.ungekuwa na akili timamu ungewashukuru hao uliowataja maana wanatusaidia kuwaumbua viongozi wako wanaokulipa buku 7.mnatia kinyaa sana nyinyi no mpya za Lumumba maana hamchangii ila imekuwa ni vurugu mnaleta jukwaani
 
Usaliti ni kosa kubwa kwa taifa, hawa kwa wakati fulani wametusaliti kama taifa, na wanapaswa kuangaliwa kwa macho 3 kila mara


  1. Ferdinand Masha
  2. Kambona (PKA)
  3. Tambwe Hiza
  4. Rashid Hamad
  5. Masumbuko Lamwai
  6. Daniel Sanzugwanko
  7. Steven Wasira
  8. Mkumbo
  9. Zitto
  10. Juliana Shonza
  11. Mwigamba
  12. Nakaya Mr. Politician
  13. Mrema A
  14. Dovutwa
  15. Sitta Sam
  16. Tibaijuika
  17. KaboUru Walid
  18. Andrew Chenge
  19. Werema
  20. Shivji Issa
  21. Benson Bana
  22. EL

Orodha ni ndefu ila leo tuanze na hawa 22, unaweza ongeza msaliti, lakn ukweli unabaki kuwa wasaliti wa taifa hupotea katika siasa za TZ kimya kimya. Je hawa wasaliti bado wanakutumikiaaaaa, au unawatumkiaaa? CHUKUA HATUA JINASUE NA MSALITI kwa namna yoyote ile.



embu weka evidence na reference ya uhakika kwa uliowaorodhesha hapo
 
Richmonduli i.e Lowasa edward.
Nimevaa heard guard, msijisumbue kunirushia vitofali.
 
Bana, na tafiti zilizolipiwa na baadhi ya wanaotafitiwa, huoni ni kashfa kwa usomi na shida kwa taifa??? huyu amekuwa mzigo mkubwa kwa taifa na tafiti za kupangwa, aibu yake na aibu kwa wasomi wote
 
Samm sitta uendeshaji bunge la tisa na kutuachia manyoya richomunduli/ na bunge la katiba mpaka marehemu akapia kura ! Chezea thamweli wew
embu weka evidence na reference ya uhakika kwa uliowaorodhesha hapo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom