JET SALLI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 2,995
- 2,047
wasio jua na kuelewa maana ya usaliti ndio mambumbumbu wanaotusumbua ktk TAIFA.Wasaliti kama akina Bana dk wanaongea upumbavu mtupu wakati TAIFA Lina hali mbaya,Samuei sitta,Lukuvi,jk,chenge mwizi konkodi,na majizi yote ya CCM hawa ni Wasaliti kwa Taifa hili,Mbwa wakubwa hawa wanatetea WIZI hadharani.