Orodha ya wasaliti Tanzania ni ndefu

Orodha ya wasaliti Tanzania ni ndefu

Hivi kuwa chama cha upinzani ndiyo kunako wafanya watu kuropoka kiasi hiki?

Kuwa chama cha upinzani sio shida, shida iliyopo ni usaliti huko uliko, kwani CHENGE, SITTA wako upinzani gani? ni vema ukatumia akili yako ili isioze kuliko kutaka kutumia akili zetu kukufafanulia kila jambo dogo la kufikiria kwa kina
 
mimi naamini chadema inaundwa na wanachama waliosaliti vyama vyao kama Slaa, lema, ole millya n.k.nashangaa kwenye list yako Kafulila hayumo
 
mkuu namba 2 hujamtendea haki huyo Komredi Oscar Kambona, Tafadhali Sana naomba uondoe jina lake hapo huwezi kumuweka pamoja na wachumia tumbo hata siku moja!
 
ujinga mtupu ameandika, kuwa msaliti ni kutoka chama kimoja kwenda kingine, Slaa ni msaliti namba moja, Lema, Kafulila n.k
 
Sikuizi mawazo yako yakipishana na ya chadema unaitwa msaliti........kwani chadema ndio Tanzania
 
mleta mada sijakusoma, msaliti ni yule aliyekataa udikteta wa CHADEMA na kwenda vyama vingine au hata waliotoka vyama vingine kwenda CHADEMA?utakapojibu tafadhali taja kundi la LEMA, KAFULILA, SLAA , OLE MILLYA n.k
 
Kuwa chama cha upinzani sio shida, shida iliyopo ni usaliti huko uliko, kwani CHENGE, SITTA wako upinzani gani? ni vema ukatumia akili yako ili isioze kuliko kutaka kutumia akili zetu kukufafanulia kila jambo dogo la kufikiria kwa kina

usaliti wa JULIANA SHONZA nini? siyo kwa sababu ametoka CHADEMA?
 
mkuu namba 2 hujamtendea haki huyo Komredi Oscar Kambona, Tafadhali Sana naomba uondoe jina lake hapo huwezi kumuweka pamoja na wachumia tumbo hata siku moja!
Unakembetwa? sijakusoma kabisa jina lako hilo
 
Hivi yule aneamtelekeza mkewe wa ndoa na kwenda kuzini na kumpa ubunge hawara yake si msaliti Kikristo?
 
Katika threads za kipuuzi hii namba moja....wacha nipite na hamsini zangu, ukimshangaa punguani, waungwana waweza dhani ww ndiye punguani.
 
Baba Lao Ni Andrew Chenge na Robert Mboma!hawa ni mafisadi waliokubuhu
 
Kuwa chama cha upinzani sio shida, shida iliyopo ni usaliti huko uliko, kwani CHENGE, SITTA wako upinzani gani? ni vema ukatumia akili yako ili isioze kuliko kutaka kutumia akili zetu kukufafanulia kila jambo dogo la kufikiria kwa kina

Sijui hata kama umenielewa!

Ila badilikeni .
 
mleta mada sijakusoma, msaliti ni yule aliyekataa udikteta wa CHADEMA na kwenda vyama vingine au hata waliotoka vyama vingine kwenda CHADEMA?utakapojibu tafadhali taja kundi la LEMA, KAFULILA, SLAA , OLE MILLYA n.k
Usaliti sio kuhama chama, au kutoka upinzani bali ni matendo umeyofanyia umma na kuutia simanzini kwa muda huo na yanakumbukwa
 
mimi naamini chadema inaundwa na wanachama waliosaliti vyama vyao kama Slaa, lema, ole millya n.k.nashangaa kwenye list yako Kafulila hayumo

Na si hivyo tu, bado wengine wanakadi za ccm.
 
Maana kwa mfano tu, wakati wa kudai uhuru iwapo mtanganyika angejiunga na wazungu huo ulikuwa usaliti.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom