Orodha ya mikoa 10 inayofaa kuwekeza/kufungua biashara

Unapokoment bila kufanya research unakosea. Aliekwambia wachaga wanaendesha jj bila pesa ni nani? Umeshazunguka moshi jiji uone wachaga wanavyochapa kazi. Kama sijakosea takwimu za mwaka jana moshi ilikuwa juu ya mtwara so hako kamji ambacho hata hakajulikani kamwe hakawezi kuishinda moshi.

Check takwim zingine za kimapato zilitoka juzi.
Wapi upcoming city uchwara Moshi,wachaga mtaendeshaje jiji bila pesa yaani mnazidiwa na mji mdogo kama Nanyamba huko Ntwara aisee
 
Unapokoment bila kufanya research unakosea. Aliekwambia wachaga wanaendesha jj bila pesa ni nani? Umeshazunguka moshi jiji uone wachaga wanavyochapa kazi. Kama sijakosea takwimu za mwaka jana moshi ilikuwa juu ya mtwara so hako kamji ambacho hata hakajulikani kamwe hakawezi kuishinda moshi.

Check takwim zingine za kimapato zilitoka juzi.
Tuko mwaka huu sio mwaka jana
 
Ifuatayo ni orodha ya mikoa/miji kumi ambayo wananchi wake wana ahueni ya kipato hivyo muwekezaji/mfanyabiashara makini lazima uzingatie.
1.Dar
2.Dodoma
3.Arusha
4.Mwanza
5.Tanga
6.Morogoro
7.Mbeya
8.Mtwara
9.Pwani
10.Tabora

Source. OR-TAMISEMI-2018

Note..Kuna miji na mikoa haiko kwenye top ten list lakini iko vizuri kimapato mfano Kahama,Tunduma
Soon Morogoro itakua jiji maana wajuu wote washakua majiji
 
Back
Top Bottom