ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 42,412
- 49,054
- Thread starter
- #61
Huo mkoa ni mkubwa but hakuna cha maana sana huko kidogo wilaya ya mbingaRuvuma
Huo mkoa ni mkubwa but hakuna cha maana sana huko kidogo wilaya ya mbingaRuvuma
Nadhani ulikuwa katika akili yangu, ni kweli. Mbinga ni nzuri zaidi, ila kuna maeneo ya uwekezaji mf maeneo ya uzalishaji wa kahawaHuo mkoa ni mkubwa but hakuna cha maana sana huko kidogo wilaya ya mbinga
Mkuu Choice Variable,Nanyamba imekatwa kutoka Wilaya ya Mtwara Vijijini. Na kwa kifupi ni Mtwara Vijijini. Ni mji wa zamani pale pana mission na hospital ya muda kwa kiasi chake. Kihistoria wachambuzi wanasema kufuatia vuguvugu la wadau kupendelea Nanyamba iwe Tandahimba ndiyo inasemekana kuwa ili kutuliza hali ikapewa hadhi ya kuwa Halmashauri(ambayo wanakizi pia kwa maoni yangu)Ndo mji makao makuu ya wilaya ya Tandahimba au vipi maana inaonekana pana mzunguko mkubwa wa pesa na nn shughuli kuu za uchumi hapo mjini?
Hapo sasa nimekupata vyemaMkuu Choice Variable,Nanyamba imekatwa kutoka Wilaya ya Mtwara Vijijini. Na kwa kifupi ni Mtwara Vijijini. Ni mji wa zamani pale pana mission na hospital ya muda kwa kiasi chake. Kihistoria wachambuzi wanasema kufuatia vuguvugu la wadau kupendelea Nanyamba iwe Tandahimba ndiyo inasemekana kuwa ili kutuliza hali ikapewa hadhi ya kuwa Halmashauri(ambayo wanakizi pia kwa maoni yangu)
Kwa hiyo Nanyamba ni Halmshauri,muundo wake ni kama ilivyo Makambako,kwamba ni mji wa kibiashara(kwa nadharia hiyo) ingawa pale wanauaza sana mazao hasa Korosho. So ni eneo jipya la Kiutawala lakini wanajitahidi sana. Kwa hiyo kujibu swali lako ni kuwa Nanyamba ni mji unaojitegemea ukiwa mpakani mwa Tandahimba na Mtwara Vijijini,ila haiko Tandahimba bali iko Wilaya ya Mtwara(ilikua ndani ya Halmashauri ya Mtwara) kwa sasa inajitegemea kama Halmashauri kamili,lakini ndani ya Wilaya ya Mtwara na siyo Tandahimba.