Orodha ya mikoa 10 inayofaa kuwekeza/kufungua biashara

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
42,880
49,554
Ifuatayo ni orodha ya mikoa kumi ambayo wananchi wake wana ahueni ya kipato hivyo muwekezaji/mfanyabiashara makini lazima uzingatie.
1.Dar
2.Dodoma
3.Arusha
4.Mwanza
5.Tanga
6.Morogoro
7.Mbeya
8.Mtwara
9.Pwani
10.Tabora

Source. OR-TAMISEMI-2018

Note..Kuna miji na mikoa haiko kwenye top ten list lakini iko vizuri kimapato mfano Kahama,Tunduma
 
Attachments

  • majedwali-ya-mapato-ya-ndani-2017-18-kwenda-kwa-wn-8.pdf
    199.3 KB · Views: 83
  • MAJEDWALI YA MAPATO YA NDANI 2017-18 KWENDA KWA WN.4.pdf
    175.9 KB · Views: 53
Ifuatayo ni orodha ya mikoa/miji kumi ambayo wananchi wake wana ahueni ya kipato hivyo muwekezaji/mfanyabiashara makini lazima uzingatie.
1.Dar
2.Dodoma
3.Arusha
4.Mwanza
5.Tanga
6.Morogoro
7.Mbeya
8.Mtwara
9.Pwani
10.Tabora

Source. OR-TAMISEMI-2018

Note..Kuna miji na mikoa haiko kwenye top ten list lakini iko vizuri kimapato mfano Kahama,Tunduma
Waarabu wa Tabora
 
Sijui Tanga yetu ipo?
Ngoja niangalie
 
Ifuatayo ni orodha ya mikoa/miji kumi ambayo wananchi wake wana ahueni ya kipato hivyo muwekezaji/mfanyabiashara makini lazima uzingatie.
1.Dar
2.Dodoma
3.Arusha
4.Mwanza
5.Tanga
6.Morogoro
7.Mbeya
8.Mtwara
9.Pwani
10.Tabora

Source. OR-TAMISEMI-2018

Note..Kuna miji na mikoa haiko kwenye top ten list lakini iko vizuri kimapato mfano Kahama,Tunduma
kutokuwemo Moshi kwenye list ni uthibitisho tosha kuwa kinu kilichochakata takwimu hizi kiko kule Chato!
 
Wapi upcoming city uchwara Moshi,wachaga mtaendeshaje jiji bila pesa yaani mnazidiwa na mji mdogo kama Nanyamba huko Ntwara aisee
 
OR TAMISEMI ndio wametoa hii!? Naweza kubaliana nao kiasi fulani kwa mikoa minne ya mwanzo lakini iliyobakia kuna changamoto nyiingi sana hasa kwa biashara mpya(ingawa inategemea pia na aina ya biashara)

Bahati mbaya hao watoa takwimu/taarifa hizi wanamchango mkubwa sana katika kuvuruga mazingira ya biashara kwa sera za kodi zisizo rafiki, hii imeathiri sana hata uwezo wa kutumia/kununua wa wananchi(purchasing power) katika maeneo mengi nchini

Warekebishe na kuboresha kwanza mazingira ya watu kufanya biashara na kuwekeza ndipo waje na takwimu, tafiti na taarifa kama hizi vinginevyo inakua ni porojo za kisiasa tu
 
Ujue kigezo kilichotumika ni makusanyo ya jumla ya wilaya za mkoa husika hizo changamoto zingine ni countrywide japo baadhi ya mikoa kuna nafuu
 
Back
Top Bottom