Dodoma Demand
Senior Member
- Oct 6, 2021
- 130
- 74
Mbona mengine kama ya kwamswat[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]orodha yako ina shida alafu m nilizan ungetaja mkoa na makabila yaliyopo
Naunga Mkono Hoja Kwa Sababu Bongo Kabila Dini Havina Umuhimu Wowote Lakini Ukijua Kabila Fulani Linapatikana Mkoa, Wilaya, Itapendezaorodha yako ina shida alafu m nilizan ungetaja mkoa na makabila yaliyopo
Amandika akiwa anakimbizwaMbona mengine kama ya kwamswat[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
NHC wameamua kutumia UCHAWI ili miji ING'ARE..... Zaidi ya magorofa 500 yameota maeneo ya Nzuguni DODOMA leo... Kwa sasa HALMASHAURI YA JIJI INAANGAIKA KUMILIKISHA WATU MAGOROFA HAYO... HAKIKA UCHAWI UNALIPA BADALA YA KUJENGA UNAKUTA MAJENGO YAMEOTA KAMA UYOGA, MAHARAGE.... yanavutia.... Nilikuwa na WIVU WA MAENDELEO YA DODOMAAmandika akiwa anakimbizwa
Tuna mashaka na uraia wake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]SIO kwa makabila ya shaka zulu hayoAmandika akiwa anakimbizwa
Kuna #Wasweta sijawaona kwenye list yako,Nina mashakaHii orodha ya makabila ya Tanzania inaweza kuwa na matatizo kwenye majina kadhaa, kwa sababu mbalimbali.
Orodha hii inatokana na orodha ya lugha za Tanzania inayopatikana katika Ethnologue, pamoja na tovuti nyingine Archived 22 Agosti 2006 at the Wayback Machine..
Inawezekana kwamba baadhi ya majina ya makabila ni majina ya lugha au lahaja tu, badala ya makabila, na labda majina mengine yaliandikwa vibaya.
Juu ya hiyo, hakuna ufafanuzi wa wazi kusema kikundi fulani ni kabila au siyo. Vikundi kadhaa katika orodha hii vina wenyeji mamia tu, lakini vikundi vingine vina mamilioni ya watu; labda kila kikundi kinaitwa "kabila," lakini ni jamii za aina tofauti kabisa. Vikundi katika ukurasa huu vimeorodheshwa kuwa vikundi tofauti kutokana na ushahidi kutoka Ethnologue kutofautisha lugha zao.
Hii ni orodha ya makabila ya watu ambao wamekuwa wanaishi tangu zamani katika eneo ambalo sasa linaitwa Tanzania, pamoja na makabila yaliyogawiwa na mipaka baina ya Tanzania na nchi za jirani.
Orodha hii haizingatii makabila yanayoishi katika Tanzania kama wakimbizi tu, hasa kutokana na vita katika nchi za jirani. Vilevile ukurasa huu hauorodheshi vikundi vya wahamiaji kutoka nchi za kigeni, kama wahamiaji au wazao wao kutoka Uarabuni au Uhindi.
Kwa sasa inakadiliwa kuwepo kwa makabila takribani zaidi ya mia moja na ishirini (120) ambayo hupatikana katika mikoa yote ya Tanzania
- Waakie
- Waakiek
- Waalagwa (pia: Wasi)
- Waarusha
- Waassa
- Wabarabaig (pia: Wamang'ati)
- Wabembe
- Wabena
- Wabende
- Wabondei
- Wabungu (au Wawungu)
- Waburunge
- Wachagga
- Wadatoga
- Wadhaiso
- Wadigo
- Wadoe
- Wafipa
- Wagogo
- Wagoma
- Wagorowa (pia: Wafiome)
- Wagweno
- Waha
- Wahadzabe (pia: Wahadza na Watindiga)
- Wahangaza
- Wahaya
- Wahehe
- Wahinda
- Wahutu
- Waikizu
- Waikoma
- Wairaqw (pia: Wambulu)
- Waisanzu
- Waissenye
- Wajaluo
- Wajiji
- Wajita
- Wakabwa
- Wakaguru
- Wakahe
- Wakami
- Wakara (pia: Waregi)
- Wakerewe
- Wakimbu
- Wakinga
- Wakisankasa
- Wakisi
- Wakonongo
- Wakuria
- Wakutu
- Wakw'adza
- Wakwavi
- Wakwaya
- Wakwere (pia: Wanghwele)
- Wakwifa
- Walambya
- Walongo
- Waluguru
- Walungu
- Wamachinga
- Wamagoma
- Wamahanji
- Wamakonde
- Wamakua (au: Wamakhuwa)
- Wamakwe (pia: Wamaraba)
- Wamalila
- Wamambwe
- Wamanda
- Wamanyema
- Wamasai
- Wamatengo
- Wamatumbi
- Wamaviha
- Wambugwe
- Wambunga
- Wameru
- Wamosiro
- Wampoto
- Wamwera
- Wandali
- Wandamba
- Wandendeule
- Wandengereko
- Wandonde
- Wanena
- Wangasa
- Wangindo
- Wangoni
- Wangulu
- Wangurimi (au: Wangoreme)
- Wanilamba (au: Wanyiramba)
- Wanindi
- Wanyakyusa
- Wanyambo
- Wanyamwanga
- Wanyamwezi
- Wanyanyembe
- Wanyasa
- Wanyaturu (pia: Warimi)
- Wanyiha
- Waokiek
- Wapangwa
- Wapare (pia: Wasu)
- Wapimbwe
- Wapogolo
- Warangi (au: Walangi)
- Warufiji
- Warungi
- Warungu (au: Walungu)
- Warungwa
- Warwa
- Wasafwa
- Wasagara
- Wasandawe
- Wasangu (Tanzania)
- Wasegeju
- Washambaa
- Washirazi
- Washubi
- Wasizaki
- Wasuba
- Wasukuma
- Wasumbwa
- Waswahili
- Wataveta
- Watemi (pia: Wasonjo)
- Watongwe
- Watumbuka
- Wavidunda
- Wavinza
- Wawanda
- Wawanji
- Waware (lugha yao imekufa)
- Wayao
- Wazanaki
- Wazaramo
- Wazigula
- Wazinza
- Wazyoba
nGAPIKuna #Wasweta sijawaona kwenye list yako,Nina mashaka
orodha yako ina shida alafu m nilizan ungetaja mkoa na makabila yaliyopo
kUFADHI LABEL - VITU VYA KUUWA ELIMU YETU DARASANI NA MTAANIZaidi ya dhana ya jamii mbalimbali kushare teknolojia, mahitaji, huduma na ujuzi kwa ustawi wa taifa letu kabila la mtu lina faida gani zaidi?
Tukupe DOLA 23,000,000 TUONE KAMA KABILA SIO KAZIZaidi ya dhana ya jamii mbalimbali kushare teknolojia, mahitaji, huduma na ujuzi kwa ustawi wa taifa letu kabila la mtu lina faida gani zaidi?
Tukupe DOLA 23,000,000 TUONE KAMA KABILA SIO KAZI
JUDGE MWENYEWEKuna uhusiano gani kati ya hizo dola 23,000,000 na kabila?
JUDGE MWENYEWE
TUMESAHAU MBINU ZILIZOTUMIKA TUNAANZA UPYA UTAELEWA ELEWATatizo la kulazimisha mtu kuwa kitu unachokiwaza au kukitaka ndilo limesababisha unipe hilo jibu hapo
Na judge aje kitu nisichokijua kabisaa?
TUMESAHAU MBINU ZILIZOTUMIKA TUNAANZA UPYA UTAELEWA ELEWA