Orijino Komedi: Kwa faida ya nani?

Wakuu kwa wanaopenda ze commedy mtakubaliana nami jana Manji alionekana na Mpoki ndani ya Commedy. Mpoki alikuwa anamwezesha Manji pesa ili aisaidie club ya Yanga.
mkuu unaweza kutuwekea tuone maana nimekikosa
 
jamaani kwani Manji kuwe po pale kuna ubaya gani ? amekwenda kwenye Tv show tu kwani huko Ulaya na marekani tunako iga sisi hamna watu mashuhuri kama kina manji ? jamaani tuache mambo yetu hayo ya kuona kila kitu chetu kibaya tubadilike na tuungane mokono.:eek:

Upumbavu at its best!

Yule Manji nia yake ilikuwa ni kuonyesha ofisi yake ilivyo ya kisasa, na kwamba ndiye anayewalea Ze Comedi na TBC kwa ujumla!
I just call it a "damn shit business" na najuta kupoteza muda wangu kuangalia ile maji taka.

God Forbid!!
 
Nimegundua hapa watu wengi saaaaaaaaana wanawachukia Ze Komedi...sasa sitapata tabu tena..watu wengi ni wanafiki humu, jana nilifanikiwa kuangalia both Ze Komedi na hao Futuhi, ila to be honest Futuhi baaaaaaaado saaaaaaana tena saaaana tu kufikia level za Ze Komedi, labda muendelee kuwapigia debe hivo hivo ndio wataweza kujaribu kuwafikia akina Masanja japo kidoogo....ni hayo tu.

Masanja si ndio anajiita kuwa anapiga bao kama Bollo Yang? Tumekustukia Masanja. Endeleeni kuwaua wacheza sinema! Hahahahaha!
 
Inavyoonekana nikweli watu wanachuki tu na hawa ZE COMEDY,sio siri wale jamaa wa FUTUHI hawana vipaji vya uchekeshaji ni kama wamevamia sehemu isiyo wahusu naona jamaa wanalazimisha kwelikweli lkn viwango vyao ni vya chini sana,kule ZE COMEDY wale jamaa wote wana vipaji tena hata ukiwa unawaangalia huwezi kuona kuwa wanalazimisha ila kazi ile ya uchekeshaji ipo kwenye damu zao huwezi ukawalinganisha na FUTUHI kwachochote tena wale FUTUHI wanajaribu kuwaiga jamaa lakini wapi! ZE COMEDY wapo juu sana tuache chuki!
 
Upumbavu at its best!

Yule Manji nia yake ilikuwa ni kuonyesha ofisi yake ilivyo ya kisasa, na kwamba ndiye anayewalea Ze Comedi na TBC kwa ujumla!
I just call it a "damn shit business" na najuta kupoteza muda wangu kuangalia ile maji taka.

God Forbid!!

chuki binafsi hizo.kama ofisi yake ya kisasa kuna tatizo gani.na wewe si uonyeshe ofisi yako ...
 
we futuhi wakali sana, niliwaangalia jana wana mada zinazofundisha, Manji nae asipoangalia anafulia muda sio mrefu haiwezekani mtu kama yule awe anaigiza igiza na watoto

Jamani yeye si ndo anawadhamini!! Kwa hiyo kuigiza nao mbona poa tu. Ni kama mtu akikukuta nyumbani unacheza na watoto wako utaambiwa umefulia? Maana hawa ni watoto wake. Unajua nini yeye kuigiza nao imekuwa mbaya kwa sababu hawa ze comedy tumewachoka kwa vitimbi vyao kuingiza wenzao kuwa wamefulia, lakini kama ingekuwa hakuna hako ka kipengele mi naona wako bomba na hata kuigiza na manji mbona poa tu. Tusije leta story za baba kumsaidia mama kazi ni kufulia au baba kucheza na watoto wake ni kufulia
 
Upumbavu at its best!

Yule Manji nia yake ilikuwa ni kuonyesha ofisi yake ilivyo ya kisasa, na kwamba ndiye anayewalea Ze Comedi na TBC kwa ujumla!
I just call it a "damn shit business" na najuta kupoteza muda wangu kuangalia ile maji taka.

God Forbid!!

Wao pia wakati wa kuanza kipindi huwa wanaka-ishara kao kwamba kama hautaki kujimuvuzisha c lazima. The Comedy bado wapo juu, vile ni vijimambo tu.
 
Maoni yangu ni kuwa Komedi Original performance yao imeshuka si kama walivyoanza. Wakati ule walikuwa very natural katika uchekeshaji lakini sasa hivi kuna ka-ugonjwa kamewaingia na hata ukiwaangalia baadhi yao wakati wa kuchekesha utaona "Arrogance" fulani kwenye nyuso zao. Hayo ni maoni yangu tu.
 
Manji anaendeleza maudhi yake kwa Mzee Mengi tu. Wahindi wanapenda sana sifa. Akina Masanja itumieni hiyo nafasi vizuri. Hamtakuwa kama mlivyokuwa ITV. Kumbukeni tu kuwa ITV ndiyo ilyowaweka hadharani.
 
Upumbavu at its best!

Yule Manji nia yake ilikuwa ni kuonyesha ofisi yake ilivyo ya kisasa, na kwamba ndiye anayewalea Ze Comedi na TBC kwa ujumla!
I just call it a "damn shit business" na najuta kupoteza muda wangu kuangalia ile maji taka.

God Forbid!!

Duh chuki binafsi na kawivu ndani yake.
 
Manji anaendeleza maudhi yake kwa Mzee Mengi tu. Wahindi wanapenda sana sifa. Akina Masanja itumieni hiyo nafasi vizuri. Hamtakuwa kama mlivyokuwa ITV. Kumbukeni tu kuwa ITV ndiyo ilyowaweka hadharani.
Siyo ITV mkuu ni EATV ndio iliyowaweka hadharani. by the way jamaa hivi sasa wamechoka, bora wakapumzika wajipange upya. Hao Futuhi hakuna kitu wanachokifanya, nao ni sawa tu na hao wenzao orijino komedi.
 
Siyo ITV mkuu ni EATV ndio iliyowaweka hadharani. by the way jamaa hivi sasa wamechoka,.

Kwakweli vijana kwa sasa wapo juu mnao wabeza naona mnalo lenu jambo walipo kuwa EATV walishindwa hata kununua bike au tuktuk ya mchina lakini leo TBC1 jamaa wana drive kabisa.
 
Kwakweli vijana kwa sasa wapo juu mnao wabeza naona mnalo lenu jambo walipo kuwa EATV walishindwa hata kununua bike au tuktuk ya mchina lakini leo TBC1 jamaa wana drive kabisa.

Wanaweza kuwa juu kimaslahi na hilo silipingi ila kiusanii wakawa wame-drop. Ili waweze kubaki juu ni vizuri kupata maoni ya sisi amabo huwa tunawaangalia kuliko kudhani wapo juu tu. Katika kazi zote za Tasnia, hisia za Hadhira ni muhimu sana kujulikana kwa Fanani. Ningependa wawe juu ila ili iwe hivyo inabidi watafute namna ya kupata feedback kutoka kwa hadhira.
 
...Ukweli ni kwamba Vijana wamepungua makali yao kidogo, sio kama walivyoanza wakati ule ikifika Alhamisi jiji lote kimyaa watu wako kwenye Ze Comedy! Hakijaharibika kitu, wanachotakiwa kufanya ni kuchukua likizo ya kupumzika na kujipanga upya kisaha wanakuja na 'Season 2'! Ndivyo wenzao wanavyofanya.
 
Mnatumia kigezo kipi kupima kama vijana wamepungua au wameongezeka kiwango?
Mbona watu tunacheka mpaka mbavu hatuna? Kikubwa hawarudi vichekesho na ndo ubunifu tunao utaka.
 
Mnatumia kigezo kipi kupima kama vijana wamepungua au wameongezeka kiwango?
Mbona watu tunacheka mpaka mbavu hatuna? Kikubwa hawarudi vichekesho na ndo ubunifu tunao utaka.

Ni kweli bado tunacheka, lakini mimi binafsi mbavu haziumi kama zamani. Kumbuka wakati ule miondoko ya Joti ilikuwa tishio na burudani ya aina yake. Watoto wengi walikuwa wakiiga style yake, hiyo ni ishara ndogo kuonyesha mwitikio wa hadhira. Nakumbuka wakati ule nilikuwa nikigombana na watoto siku za alhamisi wakitaka kuwaona akina Masanja lakini siku hizi sometimes week end inapita bila wao ku-notice kuwa kulikuwa na Original Komedi. Kumbuka ni rahisi kufikia status ya juu lakini ni vigumu kui-mantain.
 
Inavyoonekana nikweli watu wanachuki tu na hawa ZE COMEDY,sio siri wale jamaa wa FUTUHI hawana vipaji vya uchekeshaji ni kama wamevamia sehemu isiyo wahusu naona jamaa wanalazimisha kwelikweli lkn viwango vyao ni vya chini sana,kule ZE COMEDY wale jamaa wote wana vipaji tena hata ukiwa unawaangalia huwezi kuona kuwa wanalazimisha ila kazi ile ya uchekeshaji ipo kwenye damu zao huwezi ukawalinganisha na FUTUHI kwachochote tena wale FUTUHI wanajaribu kuwaiga jamaa lakini wapi! ZE COMEDY wapo juu sana tuache chuki!

Ni kweli huwezi walinganisha na FUTUHI kwa chochote, kwa kuwa angalau FUTUHI unaweza angalia na FAMILIA.

Nini bana Ze Comedy UPUUZI mtupu. Tatizo watu hamjawahi kutulia na kuangalia kwa makini FUTUHI, those guys are CREATIVE and EDUCATIVE sana. Pia hawa jamaa wanaleta UHALISIA wa mambo yetu tunavyo yaendesha hapa Tanzania. Ofcource kama wewe unakaa sijui america, na una mambo yako ya ki-western western then utaona Zecomedy wako juu. Lakini watu tulio na adabu zetu na maadili ya kitanzania tunaojali fasihi na kujifunza tokana na fasihi then FUTUHI wako juu.

Ni kweli FUTUHI walianza taratibu na kama kusua sua lakini kwa sasa wako vizuri. Take time to understand their actions lakini ukitegemea kuzalishana na kupakana matope ambako hakujengi hutapata toka FUTUHI.
 
Ni kweli wanashuka kiwango.Sasa tutawasaidiaje? sijui kama wanaona haya maoni ya hapa JF ili angalau wafanyie kazi.Hawa ni kati vikundi vichache vyenye talents hapa TZ.Kuwa Comedian si kazi rahisi. Ili kuijenga Tanzania yetu tusiwe tunaponda tu,tutafute njia za kuwanusuru,pengine wanafundishika na wakisaidiwa wanaweza wakawa wachekeshaji wa kimataifa.
 
Ze Comedy wako juu..na ishu ya manji imeingia kwenye program ya bepari wa kihaya, bepari wa kihaya amefanya kama siku zingine anapofanya tambo zake,mbona alivyokua akijisifu bepari na magari makali,nyumba nzuri watu hawasemi? kama bepari wa kihaya asingekuwepo halafu ikatokea show ya jana imefanywa kama special ndo tungesema manji anahitaji maujiko, nawasifu ze comedy wako juu.suala la masanja ndo ze comedy,hapana pale kila mtu anafiti sehemu yake,
 
Back
Top Bottom