KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,711
- 12,067
hivi ww unamsikiliza yahaya we subiri kamaajakwambia kuna wenye majina kama hayo wameoa wazungu majina yaliingiliana
huyu nyegerea waitu sijui katumwa na nani kuvunja ndoa za watu we wazungu unaona diili kaza msuli nenda udsm uone wanavyopigika bila kuhonga..pole kama uliacha kuwapitia ulipokuwa hapo..awana mpya tena watakutesa ;yaonekana ujui awa vijana wameoa na wengine wana kamba ndefu tu hata mzungu aingii walivyowapanga tena ukimwona utahisi mdogo alivyoipanga list hataari...anyway matapeli wa mjini kama sheikh yahya usiwaamini sana nduguTayari Mpoki ameshaoa na mke wake ni mmatumbi.
Mwanzoni mwa mwaka huu, Mtabiri Maarufu Duniani, Africa Mashariki na kati,kusini mwa janqwa la sahara na America Shekh yahaya Husein aliwatabiria laivu wasanii wa original komedi ya tbc1 kuwa, kabla ya mwaka huu kuisha, wasanii watatu watafanikiwa kuowa wazungu.
Ikumbukwe kipindi hicho cha januari mwaka huu,,original komedi hasa Mpoki alikua na segmenti ya kuigiza na akina dada wa kizungu.
Imebaki takribani wiki 3 sasa ndoto kutimia,, tuendelee kusubiri,,subira yavuta heri.
Hana u sheikh yule, ni porojo tu.