Organization inayolipa vizuri

nomu

New Member
Jan 16, 2011
1
0
Wadau natumai mko poa na mwaka mpya mmeuanza vizuri, ninamalizia master ya library and information science, naulizia ni taasisi ipi au organisation gani inayolipa vizuri ambayo naweza pata kazi kutokana na hii course ninayosoma na kama unajua mishahara ya hiyo organisation itakua ni msaada mzuri
Aksanteni
 
Nomu, umeniacha hoi kwa kweli. Ukishajua then iweje?? - utajipeleka pale na mavyeti vyako wakupe kazi hata kama nafasi hakuna?

Kama umemua kuajiriwa, keep your eyes open kwa opportunities zinazotangazwa.... and who knows, one day utajikuta upo WHO, UN agency etc
 
Chama cha mapinduzi kule wanalipa vizuri zaidi. Mwaka mmoja tu utafanikiwa kuwa na nyumba gari na mke/mume.
 
Mkuu kama nimekuelewa kutokana na taaluma yaku ya libraries na information taasisi moja wapo ambazo unaweza ukafanya kazi ni kwenye vyou vikuu; now here comes private au government.... kuna mtu aliniambia private kama sauti university unapata pesa nyingi zaidi lakini unakuwa overworked kazi ni nyingi hadi unakosa muda wa kufanya mambo yako, now sehemu kama UDSM mshahara mdogo kidogo ila kazi ni za kawaida and you have time to relax..

Now Self employment in such a field is not as easy lakini unaweza ukajiajiri sio mpaka utumie field yako you can do anything part time, at the same time working in the government
 
Fresh from Masters na hio course yako una limited places to go ila kuna wadau flani wameajiriwa na serikali kutengeneza na kuimpliment database systems kwa ajili ya kuingiza makabrasha yote kutoka kwenye mashelf kuingia kwenye computer. Anza kuwa trace kupitia manispaa idara ya viwanja na ardhi.
 
Nami nakushauri uchungulie vyuoni. Mfano IFM naona watu wa library wanaenjoy maisha. Mbali na mshahara wa kazi,wanasimamia mitihani na kupata allowance,wanafanya tender kama kutengeneza ID,kuprint form n.k. Pia wanasomeshwa further studies. Jaribu huko mkuu,vyuoni ni kuzuri.
 
what is you email address or phone number?

unampa kazi au unataka kumsomesha mambo yale! Coz huku kutafutiana kazi mnaanza kuombana namba za nini? Kakuambia mtajie organization na mishahara yao, unataka no ya nn??? Au wewe fataki?
 
Anza popote kaka. Usiangalie wanapolipa vizuri tu.
Utakapokuwa kwenye channel ya kazi ndipo utapata channels zingine zaidi.
Org zingine wanalipa vizuri kutegemea na experience yako ya kazi.
Usishangae upo na mtu kitengo kimoja kazi moja ila mishahara tofauti.
 
Make sure upo kwny system kwanza ndg then ndo uanze kufanya huo mchakato bt from what I know vyuo vikuu kuna mashavu kwa course yako.
 
Anza popote kaka. Usiangalie wanapolipa vizuri tu.
Utakapokuwa kwenye channel ya kazi ndipo utapata channels zingine zaidi.
Org zingine wanalipa vizuri kutegemea na experience yako ya kazi.
Usishangae upo na mtu kitengo kimoja kazi moja ila mishahara tofauti.
Kwa wenzetu walioendelea pass marks zako ndio zinazokupa kazi nzuri ila kwa bongo experience ni kigezo wanachokiangalia sana, hivyo fuata ushauri nilou-quote hapo juu... :A S 39:
 
Kua na masters nowdays siyo ishu wenzako tuna phd tupo mtaani tumejiajiri...Uwajibikaji na output yako ndo itakuweka mjini.
Pia we mshahara mzuri kwako ni upi au sh ngapi???
 
Back
Top Bottom