Me too
JF-Expert Member
- Feb 9, 2015
- 7,325
- 9,185
ORCI hospitali hii haina dawa wiki ya 4 sasa babu yangu alipewa rufaa kutokea bugando amefikia jijini tena guest ili hali akijua matibabu hayatachukua mda atarudi kijijini kuendelea na kilimo.
Dirisha la CHEMO aliambiwa dawa yake haipo hivo atapigiwa simu ikija lakini mpaka leo hakuna simu gharama za guest zinaumiza,
Hizi BIMA zetu kuna dawa unagharamia mwenyewe, kinachonishangaza pale ORCI dirisha la CHEMO bei za dawa zake zina badirika Kiufupi dawa hazina bei rasmi.
Hapa mjomba wangu imefikia mda anashindwa kutuma gharama za guest kwa babu imebidi amrudishe kijijini wasubiliage akiwa kijijini
OMBI: Serikali ichunguze sana pale ORCI dirisha la CHEMO kuhusu upatikanaji wa dawa na uwepo wa bei rasmi ya uuzaji wa dawa