Opposition Power Woes Now Linked to MP Lissu’s Assassination Plot

yamindinda

JF-Expert Member
Jul 29, 2011
1,581
1,318
By Staff Reporters, Dar es Salaam and Nairobi GMT 22:15

Days after the Opposition Chief Whip in Tanzania, Tundu Lissu escaped assassination attempt, new evidence has come into limelight exposing a massive plot to end his life on internal power struggles.

Local newspapers in Dar es Salaam that were also accessed in Nairobi, cited impeccable sources within the main opposition party, Chadema, narrating the ordeal of how Lissu’s premature interest on party’s top leadership post and ultimately nomination as Chadema’s presidential candidate hastened his own peril. Mr. Lissu is now recovering in a Belgium hospital.

“The main reason for what happened to Mr. Lissu’s life, I can confide, is directly linked to his own political interests. Top party leaders were openly unhappy with what was about to happen; ultimately they chose to thwart his ambitions,” said a member of the Opposition who fled to the ruling party, CM, couple of days ago.

Lissu in a hospital bed. Mr. Mbowe has never visited him since he was transfered to the BelgiumThe MP, Mwita Mwikwambe, revealed the top-notch secret addressing in a public rally in the on-going Parliamentary by-elections. He explicitly, cited how the Chadema National Chairman, Freeman Mbowe, became furious having learnt that several MPs were on Lissu’s front.

Mr. Mbowe the Tanzanian Opposition Leader“He (Mr. Mbowe) threatened on my live in front a dozen party officials for my decision to support Mr. Lissu. He promised to deal with me and everybody on our chain. Two weeks later, Lissu was lying on a hospital bed fighting for his life from over 30 bullet wounds,” added Mr. Mwikwambe.

Mr. Mbowe has consistently resisted Lissu’s driver from meeting investigators on medical reasons. He has also never visited the MP in hospital since he was transferred from Nairobi to Belgium.

Several top Chadema officials have neither denied nor confirmed the allegations as everyone reached for comment kept the distance.

*Filed from Dar es Salaam, additional reporting by Phil Nathan-Africa Analysis based in Nairobi, Kenya.
 
This is utter nonsense.... Kama huyo mwikabe alitishiwa maisha na Mbowe ni lini ameshtaki polisi mbowe akamatwe ila amesubiri mwaka mzima tena baada ya kuhama ndio anayasema haya???

Kuhusu mbowe kumuua lissu haiingii akilini sababu lissu alishasema kuna gari linamfuatilia na akaonyesha hadi message ya kumtishia maisha kwanini serikali haikuchukua hatua?? Kweli mbowe amtishie maisha lissu na serikali isione fursa ya kufuta upinzani rasmi hadi wamuachie tu na murder case alafu wamkamate kwa vikesi vya Uchochezi??

Hizi hoja zingekuwa na mashiko kama serikali ingekuwa imefanya uchunguzi na kukamata watuhumiwa ingejisafisha awe mbowe awe lowassa angekamatwa na ushahidi ila hii kusema mbowe kahusika ilihali serikali mpaka leo imeshindwa kumtambua muuaji haiingii akilini kabisa

Anyway naona habari za lisu kuruhusiwa zimeleta panic, akirudi je si ndio mtazimia kabisa kwa jinsi mlivyojaa chuki na husda
 
By Staff Reporters, Dar es Salaam and Nairobi GMT 22:15
Days after the Opposition Chief Whip in Tanzania, Tundu Lissu escaped assassination attempt, new evidence has come into limelight exposing a massive plot to end his life on internal power struggles.
Local newspapers in Dar es Salaam that were also accessed in Nairobi, cited impeccable sources within the main opposition party, Chadema, narrating the ordeal of how Lissu’s premature interest on party’s top leadership post and ultimately nomination as Chadema’s presidential candidate hastened his own peril. Mr. Lissu is now recovering in a Belgium hospital.
“The main reason for what happened to Mr. Lissu’s life, I can confide, is directly linked to his own political interests. Top party leaders were openly unhappy with what was about to happen; ultimately they chose to thwart his ambitions,” said a member of the Opposition who fled to the ruling party, CM, couple of days ago.
Lissu in a hospital bed. Mr. Mbowe has never visited him since he was transfered to the Belgium
The MP, Mwita Mwikwambe, revealed the top-notch secret addressing in a public rally in the on-going Parliamentary by-elections. He explicitly, cited how the Chadema National Chairman, Freeman Mbowe, became furious having learnt that several MPs were on Lissu’s front.
Mr. Mbowe the Tanzanian Opposition Leader
“He (Mr. Mbowe) threatened on my live in front a dozen party officials for my decision to support Mr. Lissu. He promised to deal with me and everybody on our chain. Two weeks later, Lissu was lying on a hospital bed fighting for his life from over 30 bullet wounds,” added Mr. Mwikwambe.

Duh kampeni ya ccm sasa imevuka mipaka ya nchi baada ya kuona waliobaki hawanunuliki sasa wanajaribu kuwagonganisha vichwa.
 
Nina uhakika asilimia 2000% kwamba kama ikitokea upinzani wakafanyiana hujuma, njama za mauaji, hiyo kitu itatumiwa vizuri sana na serikali ya CCM kuumaliza upinzani, maana watakuwa wamejikaanga kwa mafuta yao wenyewe. Njaa ya CCM ya Magufuli kufuta upinzani inajulikana. Na mbona CHADEMA walishasema siku nyingi kwamba kama kuna tuhuma kwamba sisi tunahusika na shambulio la Lissu, basi ni nafasi nzuri kuhakikisha hilo kwa kuleta wapelelezi wa kimataifa waje waufumue ukweli. lakini serikali imeminya kimya. kwa hiyo hizi propaganda zinaletwa hapa eti kwa kutokana na "impeccable sources", ni upuuzi mtupu!
 
This is utter nonsense.... Kama huyo mwikabe alitishiwa maisha na Mbowe ni lini ameshtaki polisi mbowe akamatwe ila amesubiri mwaka mzima tena baada ya kuhama ndio anayasema haya???

Kuhusu mbowe kumuua lissu haiingii akilini sababu lissu alishasema kuna gari linamfuatilia na akaonyesha hadi message ya kumtishia maisha kwanini serikali haikuchukua hatua?? Kweli mbowe amtishie maisha lissu na serikali isione fursa ya kufuta upinzani rasmi hadi wamuachie tu na murder case alafu wamkamate kwa vikesi vya Uchochezi??

Hizi hoja zingekuwa na mashiko kama serikali ingekuwa imefanya uchunguzi na kukamata watuhumiwa ingejisafisha awe mbowe awe lowassa angekamatwa na ushahidi ila hii kusema mbowe kahusika ilihali serikali mpaka leo imeshindwa kumtambua muuaji haiingii akilini kabisa

Anyway naona habari za lisu kuruhusiwa zimeleta panic, akirudi je si ndio mtazimia kabisa kwa jinsi mlivyojaa chuki na husda
Uchambuzi wa siasa hauitaki kuongozwa na hisia. Wacha kwanza habari yote itoke na wachambuzi wafanye kazi yao. Hata hivyo, kwa uelewa wa kisayansi, Lissu siyo presidential material kwa sasa wala hana uwezo wa kumtisha incumbent president yeyote. Lissu is mere cantankerous political personality basi. Katika mazingira ya kisiasa pasipokuwa na ugomvi, sahau kumwona Lissu aki-fair. Sasa huyo atakuwa kiongozi wa taifa gani ambaye visibility yake sharti agombane na wenzake/mataifa mengine? Tunatakiwa kupima mambo ya kisiasa kwa kutumia zana za uchambuzi za kisayansi.
 
By Staff Reporters, Dar es Salaam and Nairobi GMT 22:15
Days after the Opposition Chief Whip in Tanzania, Tundu Lissu escaped assassination attempt, new evidence has come into limelight exposing a massive plot to end his life on internal power struggles.
Local newspapers in Dar es Salaam that were also accessed in Nairobi, cited impeccable sources within the main opposition party, Chadema, narrating the ordeal of how Lissu’s premature interest on party’s top leadership post and ultimately nomination as Chadema’s presidential candidate hastened his own peril. Mr. Lissu is now recovering in a Belgium hospital.
“The main reason for what happened to Mr. Lissu’s life, I can confide, is directly linked to his own political interests. Top party leaders were openly unhappy with what was about to happen; ultimately they chose to thwart his ambitions,” said a member of the Opposition who fled to the ruling party, CM, couple of days ago.
Lissu in a hospital bed. Mr. Mbowe has never visited him since he was transfered to the Belgium
The MP, Mwita Mwikwambe, revealed the top-notch secret addressing in a public rally in the on-going Parliamentary by-elections. He explicitly, cited how the Chadema National Chairman, Freeman Mbowe, became furious having learnt that several MPs were on Lissu’s front.
Mr. Mbowe the Tanzanian Opposition Leader
“He (Mr. Mbowe) threatened on my live in front a dozen party officials for my decision to support Mr. Lissu. He promised to deal with me and everybody on our chain. Two weeks later, Lissu was lying on a hospital bed fighting for his life from over 30 bullet wounds,” added Mr. Mwikwambe.
Mr. Mbowe has consistently resisted Lissu’s driver from meeting investigators on medical reasons. He has also never visited the MP in hospital since he was transferred from Nairobi to Belgium.
Several top Chadema officials have neither denied nor confirmed the allegations as everyone reached for comment kept the distance.
*Filed from Dar es Salaam, additional reporting by Phil Nathan-Africa Analysis based in Nairobi, Kenya.
CC BAK, Mwanahabari Huru Salary Slip na wengine wote, tulishawaambia mnajipiga risasi wenyewe then mnasingizia, sasa mbivu na mbichi hizo hapo
 
Imeandikwa ki English ili kills uzito.Chadema kweli Mafioso mpaka wakapenya kwa waziri kuondoa CCTV,wakahamisha walinzi wrote na wkakopa pesa kwa mbunge wa ccm ili wampeleke nrb.Mbowe ndani ya ndrge kashikilia drip,kweli Wachaga nomaaaas
 
Uchambuzi wa siasa hauitaki kuongozwa na hisia. Wacha kwanza habari yote itoke na wachambuzi wafanye kazi yao. Hata hivyo, kwa uelewa wa kisayansi, Lissu siyo presidential material kwa sasa wala hana uwezo wa kumtisha incumbent president yeyote. Lissu is mere cantankerous political personality basi. Katika mazingira ya kisiasa pasipokuwa na ugomvi, sahau kumwona Lissu aki-fair. Sasa huyo atakuwa kiongozi wa taifa gani ambaye visibility yake sharti agombane na wenzake/mataifa mengine? Tunatakiwa kupima mambo ya kisiasa kwa kutumia zana za uchambuzi za kisayansi.
Presidential material huwa yukoje mrefu mfupi mnene mwembamba ama?? Rais anahitaji tu kuwa na akili timamu, uwezo wa kuongoza, vision na maarifa hayo ya emotional ni shida ndogo tu zinazoweza kutatuliwa maana bado ni kijana.... Kma ni presidential material mnaangalia mbona hao wanasheria walimuona anafaa kuwa kiongozi?? Mbona magufuli hana upresidential material na leo hii ni Rais??

Kuhusu lissu kuwa tishio hajawahi kutaka kuwa tishio ila ukweli usemwe lissu anauwezo mkubwa sana wa kujenga hoja akiwemo bungeni critique zake ni za kisomi kama utakumbuka alivyochambua muswada wa gesi, mahakama ya mafisadi na mpango wa taifa wa miaka 5 utaelewa kwenye siasa zetu hizi ana ushawishi sana na hata akipewa debate na mwenyekiti wa CCM utaiona tofauti yao kwenye reasoning.

Tuwe wakweli tu tukiachana na experience ya kuwa waziri ni kipi ambacho magufuli anamzidi lisu??
 
This is utter nonsense.... Kama huyo mwikabe alitishiwa maisha na Mbowe ni lini ameshtaki polisi mbowe akamatwe ila amesubiri mwaka mzima tena baada ya kuhama ndio anayasema haya???

Kuhusu mbowe kumuua lissu haiingii akilini sababu lissu alishasema kuna gari linamfuatilia na akaonyesha hadi message ya kumtishia maisha kwanini serikali haikuchukua hatua?? Kweli mbowe amtishie maisha lissu na serikali isione fursa ya kufuta upinzani rasmi hadi wamuachie tu na murder case alafu wamkamate kwa vikesi vya Uchochezi??

Hizi hoja zingekuwa na mashiko kama serikali ingekuwa imefanya uchunguzi na kukamata watuhumiwa ingejisafisha awe mbowe awe lowassa angekamatwa na ushahidi ila hii kusema mbowe kahusika ilihali serikali mpaka leo imeshindwa kumtambua muuaji haiingii akilini kabisa

Anyway naona habari za lisu kuruhusiwa zimeleta panic, akirudi je si ndio mtazimia kabisa kwa jinsi mlivyojaa chuki na husda
Subirini dawa iwaingie. Mlidhani hayatajulikana. Yako wazi kweupeeee kila mtu atayashangaaa. Hata kwa Wangwe mlinifanya ni selikari kumbe ni nyie wenyewe. Sisi wajanja tulishawashtukia miaka sasa. Wauwaji wakubwa.
 
Lissu kachanganyikiwa na madawa ya maumivu wanayomchoma na haswa hiyo codaine.
Kwako ni furaha sana chief, au sio. Tambua kuwa watesi wake kamwe hawataachwa hvi hvi, nawe unaeshabikia maumivu ya binadam mwenzio nawe pia huna tofauti na watesi wake, kamwe hutaachwa hvi hvi utavuna tuuu, muda utaongea.
 
One of the very stupid articles ever witnessed in our very respected forum. Admin, for the sake of the respect of our forum please take off this crap.
 
Back
Top Bottom