Opposition Power Woes Now Linked to MP Lissu’s Assassination Plot

Wewe nae unausikiza uvumi uliovumishwa na makamanda uchwara.
Hata hub ni uvumi anaovumishwa na wauaji kutumia ma journalists wa nje. Hainiingii akilini, Mbowe angekuwa ana husika hata kwa asilimia 25 was hizi ungekuwa tumesha msahau kwani CCM Mbowe kama Mbowe ni mtu wanayemuhitaji zaidi kuliko CHADEMA yenyewe kama chama kwanza hana bei.
Wamejitahidi kwenye madawa wameshindwa, wamevinja Bilicanas, wameharibu green house lakini wapi na hili pia hawatafanikiwa mwenyewe yupo na dereva yupo imekula kwao
 
....linahonga wahariri...
Hivi ni mhariri gani mwenye kichwa cha wendawazimu atakubali kuhongwa na serikali wakati anajua hiyo ni 'suicide mission'!? Maana serikali ndiyo inawatafuta watoa na wala rushwa ili iwafunze adabu! Hii haiingii akilini, jaribu kuleta nyingine.
 
Tofauti kati ya CUF na Chadema ni kubwa Cuf wao hupambana kwa visomo na dua na njia za uchawi,Chadema kwa upande mwingine wao assassinarions.

Wapinzani wanatakiwa kuelewa siasa sio chuki,wapige siasa za sera ili wananchi warudishe imani.
Inamaana serikali iko holiday? Yaani watu wanaua halafu haichukui hatua wao kazi yao ni kuwaambia ma journalists? Mbona wauaji wa Msuya wamehukumiwa? Inamaana serikali inamuogopa Mbowe kiasi hicho mpaka wasimlamate?
 
By Staff Reporters, Dar es Salaam and Nairobi GMT 22:15

Days after the Opposition Chief Whip in Tanzania, Tundu Lissu escaped assassination attempt, new evidence has come into limelight exposing a massive plot to end his life on internal power struggles.

Local newspapers in Dar es Salaam that were also accessed in Nairobi, cited impeccable sources within the main opposition party, Chadema, narrating the ordeal of how Lissu’s premature interest on party’s top leadership post and ultimately nomination as Chadema’s presidential candidate hastened his own peril. Mr. Lissu is now recovering in a Belgium hospital.

“The main reason for what happened to Mr. Lissu’s life, I can confide, is directly linked to his own political interests. Top party leaders were openly unhappy with what was about to happen; ultimately they chose to thwart his ambitions,” said a member of the Opposition who fled to the ruling party, CM, couple of days ago.

Lissu in a hospital bed. Mr. Mbowe has never visited him since he was transfered to the BelgiumThe MP, Mwita Mwikwambe, revealed the top-notch secret addressing in a public rally in the on-going Parliamentary by-elections. He explicitly, cited how the Chadema National Chairman, Freeman Mbowe, became furious having learnt that several MPs were on Lissu’s front.

Mr. Mbowe the Tanzanian Opposition Leader“He (Mr. Mbowe) threatened on my live in front a dozen party officials for my decision to support Mr. Lissu. He promised to deal with me and everybody on our chain. Two weeks later, Lissu was lying on a hospital bed fighting for his life from over 30 bullet wounds,” added Mr. Mwikwambe.

Mr. Mbowe has consistently resisted Lissu’s driver from meeting investigators on medical reasons. He has also never visited the MP in hospital since he was transferred from Nairobi to Belgium.

Several top Chadema officials have neither denied nor confirmed the allegations as everyone reached for comment kept the distance.

*Filed from Dar es Salaam, additional reporting by Phil Nathan-Africa Analysis based in Nairobi, Kenya.
First class holy crap. Cha maana wenye akili tunajua ni jitihada ya awamu ya pili juu ya maisha na TEL. Mungu yule yule hajaenda likizo
 
This is utter nonsense.... Kama huyo mwikabe alitishiwa maisha na Mbowe ni lini ameshtaki polisi mbowe akamatwe ila amesubiri mwaka mzima tena baada ya kuhama ndio anayasema haya???

Kuhusu mbowe kumuua lissu haiingii akilini sababu lissu alishasema kuna gari linamfuatilia na akaonyesha hadi message ya kumtishia maisha kwanini serikali haikuchukua hatua?? Kweli mbowe amtishie maisha lissu na serikali isione fursa ya kufuta upinzani rasmi hadi wamuachie tu na murder case alafu wamkamate kwa vikesi vya Uchochezi??

Hizi hoja zingekuwa na mashiko kama serikali ingekuwa imefanya uchunguzi na kukamata watuhumiwa ingejisafisha awe mbowe awe lowassa angekamatwa na ushahidi ila hii kusema mbowe kahusika ilihali serikali mpaka leo imeshindwa kumtambua muuaji haiingii akilini kabisa

Anyway naona habari za lisu kuruhusiwa zimeleta panic, akirudi je si ndio mtazimia kabisa kwa jinsi mlivyojaa chuki na husda
wanaweweseka na mamlaka yao wanayaona kama vile nguo ya kubana , waacheni wabwabwaje mamaaeee!
 
Inamaana serikali iko holiday? Yaani watu wanaua halafu haichukui hatua wao kazi yao ni kuwaambia ma journalists? Mbona wauaji wa Msuya wamehukumiwa? Inamaana serikali inamuogopa Mbowe kiasi hicho mpaka wasimlamate?
Ndugu wa chadema wakiuwana chukua jembe ukalime..ukiwaingilia wanakuzushia wewe.
 
Nina uhakika asilimia 2000% kwamba kama ikitokea upinzani wakafanyiana hujuma, njama za mauaji, hiyo kitu itatumiwa vizuri sana na serikali ya CCM kuumaliza upinzani, maana watakuwa wamejikaanga kwa mafuta yao wenyewe. Njaa ya CCM ya Magufuli kufuta upinzani inajulikana. Na mbona CHADEMA walishasema siku nyingi kwamba kama kuna tuhuma kwamba sisi tunahusika na shambulio la Lissu, basi ni nafasi nzuri kuhakikisha hilo kwa kuleta wapelelezi wa kimataifa waje waufumue ukweli. lakini serikali imeminya kimya. kwa hiyo hizi propaganda zinaletwa hapa eti kwa kutokana na "impeccable sources", ni upuuzi mtupu!
hayo ni mapumbavu tu mbona upelelezi yamegwaya eti!
dunderheads hayo!
 
Shetani lililopanga huu unyama ndio liakuwa linahonga wahariri kuandika hizi habari za kipropaganda na uzushi.

Tuna genge la majitu ya hovyo sana!!
Hebu tujiulize tu maswali mepesi, ni kwanini serikali imeshindwa kukitatua kitendawili hiki kwa kuruhusu wachunguzi wa kutoka nje ya nchi waje wakate mzizi wa fitina??

Swali la pili, ni kwa vipi Jeshi la Polisi liwazuie watu waliokuwa wanasympathize, kuvalia T/Shirt zao za PRAY FOR LISSU, kama hayakuwa maagizo toka kwa Jiwe mwenyewe??
 
Subirini dawa iwaingie. Mlidhani hayatajulikana. Yako wazi kweupeeee kila mtu atayashangaaa. Hata kwa Wangwe mlinifanya ni selikari kumbe ni nyie wenyewe. Sisi wajanja tulishawashtukia miaka sasa. Wauwaji wakubwa.
Mimi nadhani wewe ndiye uliye wazi na siyo wazi tu bali uchi. Serikali iyajue haya yote hata mipango ya mazishi ya Tundu Lisu leo unatoa harufu kwenye viungo visivyohusika. Ndiyo CCM
 
Uchambuzi wa siasa hauitaki kuongozwa na hisia. Wacha kwanza habari yote itoke na wachambuzi wafanye kazi yao. Hata hivyo, kwa uelewa wa kisayansi, Lissu siyo presidential material kwa sasa wala hana uwezo wa kumtisha incumbent president yeyote. Lissu is mere cantankerous political personality basi. Katika mazingira ya kisiasa pasipokuwa na ugomvi, sahau kumwona Lissu aki-fair. Sasa huyo atakuwa kiongozi wa taifa gani ambaye visibility yake sharti agombane na wenzake/mataifa mengine? Tunatakiwa kupima mambo ya kisiasa kwa kutumia zana za uchambuzi za kisayansi.
Hivi wewe unasema Lissu anapenda kugombana, je ni Rais gani katika historia ya nchi yetu ambaye amependa kugombana na upinzani hadi kukupyupyu, zaidi ya huyu Jiwe??
 
Duh kampeni ya ccm sasa imevuka mipaka ya nchi baada ya kuona waliobaki hawanunuliki sasa wanajaribu kuwagonganisha vichwa.
Labda wameona ikitokea Kenya itakubalika zaidi.

Hata kama ni kweli. Vyombo vyetu vya usalama viko wapi mpaka wanazidiwa na journalists wa Kenya!!
 
Hebu tujiulize tu maswali mepesi, ni kwanini serikali imeshindwa kukitatua kitendawili hiki kwa kuruhusu wachunguzi wa kutoka nje ya nchi waje wakate mzizi wa fitina??

Swali la pili, ni kwa vipi Jeshi la Polisi liwazuie watu waliokuwa wanasympathize, kuvalia T/Shirt zao za PRAY FOR LISSU, kama hayakuwa maagizo toka kwa Jiwe mwenyewe??
Kwa hiyo hadi wachunguzi huru mliwaandaa!
 
Ni ujinga kabisa hii habari. Jitihada za Mbowe kuokoa maisha ya Lisu zinajulikana. Na hukuna jitihada za hao wengine kumtibu. Hii habari ni ya mtu anayeta
 
By Staff Reporters, Dar es Salaam and Nairobi GMT 22:15
Days after the Opposition Chief Whip in Tanzania, Tundu Lissu escaped assassination attempt, new evidence has come into limelight exposing a massive plot to end his life on internal power struggles.
.

Hapo kwenye nyekundu kunaifanya hii habari iwe na utata. Hivi ni days au months tokea hili tukio litokee?
 
By Staff Reporters, Dar es Salaam and Nairobi GMT 22:15

Days after the Opposition Chief Whip in Tanzania, Tundu Lissu escaped assassination attempt, new evidence has come into limelight exposing a massive plot to end his life on internal power struggles.

Local newspapers in Dar es Salaam that were also accessed in Nairobi, cited impeccable sources within the main opposition party, Chadema, narrating the ordeal of how Lissu’s premature interest on party’s top leadership post and ultimately nomination as Chadema’s presidential candidate hastened his own peril. Mr. Lissu is now recovering in a Belgium hospital.

“The main reason for what happened to Mr. Lissu’s life, I can confide, is directly linked to his own political interests. Top party leaders were openly unhappy with what was about to happen; ultimately they chose to thwart his ambitions,” said a member of the Opposition who fled to the ruling party, CM, couple of days ago.

Lissu in a hospital bed. Mr. Mbowe has never visited him since he was transfered to the BelgiumThe MP, Mwita Mwikwambe, revealed the top-notch secret addressing in a public rally in the on-going Parliamentary by-elections. He explicitly, cited how the Chadema National Chairman, Freeman Mbowe, became furious having learnt that several MPs were on Lissu’s front.

Mr. Mbowe the Tanzanian Opposition Leader“He (Mr. Mbowe) threatened on my live in front a dozen party officials for my decision to support Mr. Lissu. He promised to deal with me and everybody on our chain. Two weeks later, Lissu was lying on a hospital bed fighting for his life from over 30 bullet wounds,” added Mr. Mwikwambe.

Mr. Mbowe has consistently resisted Lissu’s driver from meeting investigators on medical reasons. He has also never visited the MP in hospital since he was transferred from Nairobi to Belgium.

Several top Chadema officials have neither denied nor confirmed the allegations as everyone reached for comment kept the distance.

*Filed from Dar es Salaam, additional reporting by Phil Nathan-Africa Analysis based in Nairobi, Kenya.
Wow, a well written and thought provoking article.
 
Back
Top Bottom