impongo
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 8,838
- 7,891
Walifungua CCTV camera kwa kaleman na mbowe ndiye amiri jeshi mkuu amezuia uchunguzi wa shambulizi la lisu lisichunguzwe na vyombo vya dola.Viongozi wa Chadema ni wakatili.
Walifungua CCTV camera kwa kaleman na mbowe ndiye amiri jeshi mkuu amezuia uchunguzi wa shambulizi la lisu lisichunguzwe na vyombo vya dola.Viongozi wa Chadema ni wakatili.
Wewe nae unausikiza uvumi uliovumishwa na makamanda uchwara.Walifungua CCTV camera kwa kaleman na mbowe ndiye amiri jeshi mkuu amezuia uchunguzi wa shambulizi la lisu lisichunguzwe na vyombo vya dola.
mbona hukusema haya wakati genge la majitu ya hovyo na wahariri waliokuwa wanahongwa na Lowasaaaa hukusema..??? genge likiwa sio la upande wenu mnapanicShetani lililopanga huu unyama ndio liakuwa linahonga wahariri kuandika hizi habari za kipropaganda na uzushi.
Tuna genge la majitu ya hovyo sana!!
hahahah makamanda wakijitoa tu status yao inabadilika na kuwa makamanda uchwara...Wewe nae unausikiza uvumi uliovumishwa na makamanda uchwara.
Mbowe ni amiri jeshi mkuu amezuia vyombo vya dola kuchunguza unyama huu kama kuna taifa la wajinga basi ni hili hivi kweli kuna asiyefahamu waliofanya jaribio la mauaji ya lisu?Viongozi wa CHADEMA ndio wanaozui uchunguzi huru?
Sasa mbona serikal hiyo hiyo tena yenye dola haiwakamati na kiwafungulia kesi?Subirini dawa iwaingie. Mlidhani hayatajulikana. Yako wazi kweupeeee kila mtu atayashangaaa. Hata kwa Wangwe mlinifanya ni selikari kumbe ni nyie wenyewe. Sisi wajanja tulishawashtukia miaka sasa. Wauwaji wakubwa.
Lakini mbona huyu aliepo sasa hivi yeye ni kugombana na watu, kutoa kauli chonganishi ndo mambo yake na ni kiongozi wa taifa?Uchambuzi wa siasa hauitaki kuongozwa na hisia. Wacha kwanza habari yote itoke na wachambuzi wafanye kazi yao. Hata hivyo, kwa uelewa wa kisayansi, Lissu siyo presidential material kwa sasa wala hana uwezo wa kumtisha incumbent president yeyote. Lissu is mere cantankerous political personality basi. Katika mazingira ya kisiasa pasipokuwa na ugomvi, sahau kumwona Lissu aki-fair. Sasa huyo atakuwa kiongozi wa taifa gani ambaye visibility yake sharti agombane na wenzake/mataifa mengine? Tunatakiwa kupima mambo ya kisiasa kwa kutumia zana za uchambuzi za kisayansi.
Tofauti kati ya CUF na Chadema ni kubwa Cuf wao hupambana kwa visomo na dua na njia za uchawi,Chadema kwa upande mwingine wao assassinarions.Mbowe ni amiri jeshi mkuu amezuia
Wewe ulimuona Magufuli akizitoa?!Ile camera nani kaitoa?
Nani aliyejua kuwa imetolewa kwa mara ya kwanza?is he not the part of the plan?Ile camera nani kaitoa?
Sky Eclat unadhani MTU anayeweza piga mke mpaka analazwa hoi hospital, ambaye anampa vitu zaidi ya miaka 20, anampikia kila siku na ametunzia watoto mpaka wamekuwa atakuwa na roho ya huruma kwa wampingao?Lakini hawapigi wake zao mpaka kulazwa hospitali
Hayo ni maelezo ya yule shoga wa kikurya Mwaikabe na mwenzake Musiba sasa ajabu nini?CC BAK, Mwanahabari Huru Salary Slip na wengine wote, tulishawaambia mnajipiga risasi wenyewe then mnasingizia, sasa mbivu na mbichi hizo hapo
Lissu amemtaja aliyekuwa na ratiba nzima ya mazishi yaleRIP CHACHA WANGWE
Huyu aliye andika si mwamdishi kama waandishi wengine? Sasa kwa vile akiandika kwa kiingereza basi Mbowe anahusika. Mwenyewe muhusika na dereva wake wamewaona wauaji hao ndiyo wasema kweli. Pia kwa nini serikali anakataa uchunguzi huru ? Hapa jiwe hachomoki niwatumie wengine walete msaada kama hii kwa kifaransa bado jiwe na mwanaye ni first suspect.Kwako ni furaha sana chief, au sio. Tambua kuwa watesi wake kamwe hawataachwa hvi hvi, nawe unaeshabikia maumivu ya binadam mwenzio nawe pia huna tofauti na watesi wake, kamwe hutaachwa hvi hvi utavuna tuuu, muda utaongea.
Kwa hiyo nyie sio wajanja ni wapumbavu msio stahili kupewa dhamana ya kuongoza dola.Subirini dawa iwaingie. Mlidhani hayatajulikana. Yako wazi kweupeeee kila mtu atayashangaaa. Hata kwa Wangwe mlinifanya ni selikari kumbe ni nyie wenyewe. Sisi wajanja tulishawashtukia miaka sasa. Wauwaji wakubwa.
Hakika "Wonders Never End." Mhusika na mhanga wa tukio yuko hai. Hajafa wala hakufa. Upuuzi wa kifikra unatoka wapi? Tumwamini MWITA au LISSU? Kama ni Lissu kasema hivyo basi tumwamini yeye. Kitengo cha propaganda hakiko makini na hivyo mtapata taabu sana kupika taarifa za uongo zionekane za ukweli. Nawahurumia sana wana LumumbaBy Staff Reporters, Dar es Salaam and Nairobi GMT 22:15
Days after the Opposition Chief Whip in Tanzania, Tundu Lissu escaped assassination attempt, new evidence has come into limelight exposing a massive plot to end his life on internal power struggles.
Local newspapers in Dar es Salaam that were also accessed in Nairobi, cited impeccable sources within the main opposition party, Chadema, narrating the ordeal of how Lissu’s premature interest on party’s top leadership post and ultimately nomination as Chadema’s presidential candidate hastened his own peril. Mr. Lissu is now recovering in a Belgium hospital.
“The main reason for what happened to Mr. Lissu’s life, I can confide, is directly linked to his own political interests. Top party leaders were openly unhappy with what was about to happen; ultimately they chose to thwart his ambitions,” said a member of the Opposition who fled to the ruling party, CM, couple of days ago.
Lissu in a hospital bed. Mr. Mbowe has never visited him since he was transfered to the BelgiumThe MP, Mwita Mwikwambe, revealed the top-notch secret addressing in a public rally in the on-going Parliamentary by-elections. He explicitly, cited how the Chadema National Chairman, Freeman Mbowe, became furious having learnt that several MPs were on Lissu’s front.
Mr. Mbowe the Tanzanian Opposition Leader“He (Mr. Mbowe) threatened on my live in front a dozen party officials for my decision to support Mr. Lissu. He promised to deal with me and everybody on our chain. Two weeks later, Lissu was lying on a hospital bed fighting for his life from over 30 bullet wounds,” added Mr. Mwikwambe.
Mr. Mbowe has consistently resisted Lissu’s driver from meeting investigators on medical reasons. He has also never visited the MP in hospital since he was transferred from Nairobi to Belgium.
Several top Chadema officials have neither denied nor confirmed the allegations as everyone reached for comment kept the distance.
*Filed from Dar es Salaam, additional reporting by Phil Nathan-Africa Analysis based in Nairobi, Kenya.