Operations Al aqsa flood Vs Operation Iron Sword, nani ataibuka kidedea?

Hakuna ataeamka kidedea.

Naamini hii ni mipango ya Israel na Mossad ili kuwamaliza wapelestina.

Hii haina tofauti na September 11. Ni mipango ya Mossad.
Kwamba Israel ndio kateka majeshi na raia wake, wanawake kwa watoto na kuwapeleka Gaza?

Binafsi mimi sina upande kati Palestinians na Israeli, ninachohitaji ni amani kwa wote kama ni makosa yalishafanyika, hivyo tusiangaike na kitu ambacho hakitawezekana kabisa.

Palestinians for now bora wangeangalia utaratibu tu wa kuishi kwa amani na Israeli, wao wawili waamue kukaa chini meza moja wafute tofauti za enzi za mababu huko, wachague kuishi pamoja kama raia wa nchi moja.

Lakini najua itakuwa ngumu kwa Palestinians kukubali hili wazo, coz wanapelekeshwa na mataifa jirani ya kiislam na ndio hawataki wawe na umoja na atimaye waishi pamoja, hivyo naona hali itaendelea kuwa mbaya zaidi na pengine unyakuzi wa maeneo mengine
 
Ww nadhani sio mfuatiliaji wa taarifa za kimataifa kipindi unaona kimyaa hakuna vita lakini ujue israel anafanya mauaji kila siku ndani ya maeneo ya palestine anaua mpk wanafunzi anaingia mpk maeneo ya ibada anawashambulia wa palestine yaani kwa kifupi israel ndio haitaki amani kwa kuamini yy ana jeshi bora anaweza kufanya lolote huku bwanake USA akiwa pembeni akimpa support hiki alichofaniiwa yy watu 100+ kuuwawa sio idadi kubwa kama ambayo israel wamefanya ndani ya palestine tangu mwaka huu uanze.
 
kama hauelewei, eneo looote hadi mfereji wa suez, hadi jordan hadi mpakani na syria, ni mali ya israel. hakuna eneo hata moja wapalestina wanaishi ambalo sio mali ya wayahudi, Mungu aliwapa urithi wa milele. ushahidi upo. read the Bible.
Wapalestina hawaiamini wala kuitambua Bible
 
Sasa Ukristo umeingiaje kwenye hivyo vita? IQ kama yako ndio inatufanya wakristo tuonekane wajinga na tunajikomba komba kwa Waisrael.
Kwa nini Wakristo wengi wanaweka bendera ya Israel makanisani na kwenye magari yao??
 
ukienda leo pale israel, kuna makaburi ya Daud, Absalom, Suleiman, ukuta wa hekalu ambalo mfalme wa israel suleiman ambaye hata ninyi kwenye kitabu chenu yupo alijenga. hao walikuwa ni waisrael na hilo ni eneo lao.
Na Wapalestini nao wanasema Msikiti wa Al Aqsa wa Jerusalem una historia na dini yao.
 
Ww nadhani sio mfuatiliaji wa taarifa za kimataifa kipindi unaona kimyaa hakuna vita lakini ujue israel anafanya mauaji kila siku ndani ya maeneo ya palestine anaua mpk wanafunzi anaingia mpk maeneo ya ibada anawashambulia wa palestine yaani kwa kifupi israel ndio haitaki amani kwa kuamini yy ana jeshi bora anaweza kufanya lolote huku bwanake USA akiwa pembeni akimpa support hiki alichofaniiwa yy watu 100+ kuuwawa sio idadi kubwa kama ambayo israel wamefanya ndani ya palestine tangu mwaka huu uanze.
Shangilieni mkila nguruwe, kwamba kuua wazee na wanawake na watoto ndio kurejesha ardhi na kufuta Israel, akili matope haya ya waislam wapumabavu
 
Hakuna ataeamka kidedea.

Naamini hii ni mipango ya Israel na Mossad ili kuwamaliza wapelestina.

Hii haina tofauti na September 11. Ni mipango ya Mossad.
Wamefanya hivyo kupata sapoti ya wananchi wa Israelna dunia.
 
Ww nadhani sio mfuatiliaji wa taarifa za kimataifa kipindi unaona kimyaa hakuna vita lakini ujue israel anafanya mauaji kila siku ndani ya maeneo ya palestine anaua mpk wanafunzi anaingia mpk maeneo ya ibada anawashambulia wa palestine yaani kwa kifupi israel ndio haitaki amani kwa kuamini yy ana jeshi bora anaweza kufanya lolote huku bwanake USA akiwa pembeni akimpa support hiki alichofaniiwa yy watu 100+ kuuwawa sio idadi kubwa kama ambayo israel wamefanya ndani ya palestine tangu mwaka huu uanze.
Hawa Ndio wanataka AMANI?? [emoji101][emoji101]
Kwa hiyo Unataka Israel ITULIE NA KUSUBIRI KUFUTWA DUNIANI EEH?!
ref!; Kauli mbiu ya Israel!
[emoji116][emoji116]
Mungu wa deen ya Wayahudi Amewaagiza Wayaishi haya ili wafaulu!
[emoji116][emoji116]
Deuteronomy 19:20-21
[20]Na watakaosalia watasikia na kuogopa, wasifanye tena uovu mfano wa huo katikati yako.

[21]Wala jicho lako lisiwe na huruma; uzima kwa uzima, jicho kwa jicho, jino kwa jino, mkono kwa
mkono, mguu kwa mguu.
Screenshot_20231008_091522.jpg

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
 
kama hauelewei, eneo looote hadi mfereji wa suez, hadi jordan hadi mpakani na syria, ni mali ya israel. hakuna eneo hata moja wapalestina wanaishi ambalo sio mali ya wayahudi, Mungu aliwapa urithi wa milele. ushahidi upo. read the Bible.
Hahahaa!Una ujinga mwingi kichwani wewe.Ibrahim ndiye aliyepewa eneo lote toka mto Nile hadi mto Eupharat ili kuwa urithi kwa vizazi vyake.Ibrahim alipata watoto wawili mwanzo Ishmael na Isaka na baadae alioa mke mwingine aliyeitwa Getula na alimzalia mtoto pia.
Sasa ni ujinga kuamini kwamba ni watoto tu wa mjukuu mmoja Yakobo ndiyo wakabidhiwe eneo lote peke yao.
 
Vifo vingi sana vitatokea. Hususan Palestina ataumia sana kwa sababu wanapambana dhidi ya teknolojia ya kisasa zaidi na mighty army
Unadhani Palestina ana ubavu wa kukabikiana na Israel? Sidhani. Lakini kama janga la jana limefanikiwa, nyuma ujue kuna kitu.
Ukraine ina uwezo wa kuikabiri Russia? Wamekanusha lakini mwisho wa siku ni wazi nani anapigana na Mrusi. Sasa, hawa jamaa wana support kubwa tofauti na unavyofikikia wewe.
Sawa,hata wasiposhinda hiyo vita,lakini Israel imeshaumia tena sana. Mpaka wakae sawa kama awali,si kesho wala keshokutwa. Nanhapa utaona,ngazi za uongozi zinaenda kukipata cha moto hasa jeshini
 
Back
Top Bottom