Operations Al aqsa flood Vs Operation Iron Sword, nani ataibuka kidedea?

Operations Al aqsa flood Vs Operation Iron Sword, nani ataibuka kidedea?

Kweli??? Yaani unafikiri Wapalestina wamekurupuka tu na kurusha roketi 500 bila kujiandaa vizuri kuhusu majibu ya Israel - mpango huu hauwahusu Wapalestina tu kuna marafiki wao wanao wasaidia kwa kificho - na Israel hisipo kuwamakini sana vitahii inaweza kuwa balaa kubwa kwake licha ya kumiliki silaha za nuclear - wanajuaje kama Iran na wao hawana?? Ukiangalia pichakwa umakini shambulio hilo halikuwa la kawaida hata kidogo, nina uhakika roketi hizo zimeundwa Iran sio Palestina.
Kama zile roketi zimetengenezwa na Iran bhas hazifui dafu dhidi ya mifumo ya ulinzi ya Israel. Hamas Jana Tu walirusha zaidi ya roketi 7000 lakini madhara ya roketi si makubwa kivile,watu wengi wameuliwa na Himars waliobeba risasi ambao walivamia tamasha la muziki na kuanza kurusha hovyo risasi,miili ya watu 250 imepatikana hapo ambapo tamasha lilifanyika.
 
Ishmael ni mtoto wa house girl, na sio mtoto wa kurithi, Mungu alimwambia Ibrahim kuwa urithi wake utaenda kwa Isaka. sio hao watoto haramu.
Unajidanganya wewe mwenyewe!

MUNGU ANAMWAMBIA IBRAHIM ATAKAYEMLITHI ATATOKA KATIKA VIUNO VYAKE

Mwanzo 15:3
Abramu akasema, Tazama, hukunipa uzao, na mtu aliyezaliwa nyumbani mwangu ndiye mrithi wangu.
Mwanzo 15:4
Nalo neno la Bwana likamjia likinena, Huyu hatakurithi, bali atakayetoka katika viuno vyako ndiye atakayekurithi.

ISHMAEL NDIO MTOTO WA VIUNO WA IBRAHIM

Mwanzo 16:3
Sarai mkewe Abramu akamtwaa Hajiri Mmisri mjakazi wake, baada ya kukaa Abramu katika nchi ya Kanaani miaka kumi, akampa Abramu mumewe, awe mkewe.
Mwanzo 16:4
Basi akamwingilia Hajiri, naye akapata mimba. Naye alipoona ya kwamba amepata mimba, bibi yake alikuwa duni machoni pake.
 
Mpaka Sasa waisrael 600 wamepoteza maisha huku wapalestina zaidi ya 300 wameaga dunia. Kwahyo unaona hapo nguvu ya HAMAS. Propaganda Zina mwisho wake ni aibu na pigo kubwa Kwa vyombo vya ulinzi na usalama vya Israel.
Nikiwa mdogo kaka zangu waliniambia kwamba waisrael Wana akili kuliko binadamu yoyote, lakini Jana wameshindwa kung'amua kwamba HAMAS walirusha makombola kuwazuga Israel, wakati majeshi ya waisrael wanajibu Kwa makombola kumbe wenzao wanaingia Kwa miguu
Hatari sana.
 
Hatari sana.
Hii ni ngoma nzito, zamani tulizoea kuona wanajeshi waisrael wakitamalaki kwenye mitaa ya Gaza Leo HAMAS wapo kwenye miji ya Israel katika Mapambano. Na ni Kwa mara ya kwanza baada ya miaka mingi kuona waisrael wengi wakipoteza maisha. Sasa na Hezbollah wameshaanza mashambulizi kutokea upande wa Lebanon
 
Unajidanganya wewe mwenyewe!

MUNGU ANAMWAMBIA IBRAHIM ATAKAYEMLITHI ATATOKA KATIKA VIUNO VYAKE

Mwanzo 15:3
Abramu akasema, Tazama, hukunipa uzao, na mtu aliyezaliwa nyumbani mwangu ndiye mrithi wangu.
Mwanzo 15:4
Nalo neno la Bwana likamjia likinena, Huyu hatakurithi, bali atakayetoka katika viuno vyako ndiye atakayekurithi.

ISHMAEL NDIO MTOTO WA VIUNO WA IBRAHIM

Mwanzo 16:3
Sarai mkewe Abramu akamtwaa Hajiri Mmisri mjakazi wake, baada ya kukaa Abramu katika nchi ya Kanaani miaka kumi, akampa Abramu mumewe, awe mkewe.
Mwanzo 16:4
Basi akamwingilia Hajiri, naye akapata mimba. Naye alipoona ya kwamba amepata mimba, bibi yake alikuwa duni machoni pake.

Genesis 17:17-21 KJV​

Then Abraham fell upon his face, and laughed, and said in his heart, Shall a child be born unto him that is an hundred years old? and shall Sarah, that is ninety years old, bear?

And Abraham said unto God, O that Ishmael might live before thee! And God said, Sarah thy wife shall bear thee a son indeed; and thou shalt call his name Isaac: and I will establish my covenant with him for an everlasting covenant, and with his seed after him.

And as for Ishmael, I have heard thee: Behold, I have blessed him, and will make him fruitful, and will multiply him exceedingly; twelve princes shall he beget, and I will make him a great nation. But my covenant will I establish with Isaac, which Sarah shall bear unto thee at this set time in the next year.

sasa kama hujui, huyo Isaac ndiye baba yake na Yakobo aliyebadilishwa jina na kuitwa Israel. ndio hao wanaopigana leo, ndio warithi wa ile ardhi. urithi aliopewa mtoto wa kambo ishmael ni kuwa na falme 12 huko uarabuni,
 
Kama zile roketi zimetengenezwa na Iran bhas hazifui dafu dhidi ya mifumo ya ulinzi ya Israel. Hamas Jana Tu walirusha zaidi ya roketi 7000 lakini madhara ya roketi si makubwa kivile,watu wengi wameuliwa na Himars waliobeba risasi ambao walivamia tamasha la muziki na kuanza kurusha hovyo risasi,miili ya watu 250 imepatikana hapo ambapo tamasha lilifanyika.
Mkuu acha kujifariji maroketi hayo yameshababisha uharibifu mkubwa sana na video zipo kibao, hata leo waisrael wengi wame uawa kwa maroketi.
 
H
Ezbollah Bado hawajaingia vitani ila wanasema wanafutilia Kwa karibu kinachoendelea na wanaendelea kuwasiliana na viongozi wa HAMAS.
Kuhusu nani atashinda hakuna mshindi atakayepatikana zaidi ya kukaa chini na kuelewana, ila madhara makubwa ya vita ya tatatokea upande wa Palestine. Israel atatumia nguvu kubwa kurudisha majibu kwani unyago aliochezewa na HAMAS Leo Asubuhi ni aibu Kwenye uso wa Dunia.
Baada ya vita kuna military seniors wengi wa Israel watajiuzulu.
 
Kuna watu wanawatetea Ukraine na kuwaponda Wapalestina. Kuna mwingine anatetea Hamas walio mashariki ya kati anawaponda Wamasai wa Ngorongoro walio nchini mwake.
Pathetic!!
 
kama hauelewei, eneo looote hadi mfereji wa suez, hadi jordan hadi mpakani na syria, ni mali ya israel. hakuna eneo hata moja wapalestina wanaishi ambalo sio mali ya wayahudi, Mungu aliwapa urithi wa milele. ushahidi upo. read the Bible.
Upumbavu unao aminiwa na wapumbavu,toka lini mungu akatoe eneo la kuishi?
 
mood alikudanganya sana kwenye kitabu chenu, ila ukweli ndio huo. kama hutaki kajinyonge.
Kitabu kimeandikwa na wana wa Yakobo na aliowapa ahadi ya ardhi ni mungu wa Yakob. Swali, kama pale wapalestina sio kwao, wametokea wapi?
 
Genesis 17:17-21 KJV​

Then Abraham fell upon his face, and laughed, and said in his heart, Shall a child be born unto him that is an hundred years old? and shall Sarah, that is ninety years old, bear?

And Abraham said unto God, O that Ishmael might live before thee! And God said, Sarah thy wife shall bear thee a son indeed; and thou shalt call his name Isaac: and I will establish my covenant with him for an everlasting covenant, and with his seed after him.

And as for Ishmael, I have heard thee: Behold, I have blessed him, and will make him fruitful, and will multiply him exceedingly; twelve princes shall he beget, and I will make him a great nation. But my covenant will I establish with Isaac, which Sarah shall bear unto thee at this set time in the next year.

sasa kama hujui, huyo Isaac ndiye baba yake na Yakobo aliyebadilishwa jina na kuitwa Israel. ndio hao wanaopigana leo, ndio warithi wa ile ardhi. urithi aliopewa mtoto wa kambo ishmael ni kuwa na falme 12 huko uarabuni,
Hahahaaa!Je,hiyo Israel ipo nje ya Uarabuni?
Vipi kuhusu hili agano la Mungu kwa Ishmael linakusudia nini?.

Genesis 16:12

And he will be a wild man; his hand will be against every man, and every man's hand against him; and he shall dwell in the presence of all his brethren.

israel-and-arab-world.gif
 
Sababu ya kumpiga Iran ishapatikana.
Wenye magari wekeni gesi mapemaaa
 
pale walivunja jengo alilojenga suleiman, wakajenga msikiti. na msikiti ule unatakiwa kuvunjwa ili wayahudi wajenge hekalu lao lile lile. hadi ramani imeshatengenenzwa na kwasababu hamas wamesababisha justification, wayahudi sasa watafanya chochote bila upinzani wa dunia.
Al Aqsa lazima itavunjwa tu
 
Hamas na washirika wake wanapambana "guerilla war fare, mapambano ya mtaa kwa mtaa,
Hamas sio conventional armed forces, hawana combat maalum,wakati IDF, ni conventional armed, force, hapa itabidi Israel itumie special forces na vijana wa Mossad kuipiga hii Vita,
Kwa sababu Hamas wakipiga wanajificha maeneo ya watu, wananchi wa kawaida ndio watakaolipa ghsrsma kubwa,
Vijana wa Hamas waliiingia Israel kwa parachuti, miji ya mpakani na Gaza, vikosi vya Israel havikutegemea kabisa
Ni tofauti kabisa na Ukraine na Urusi.
 
Kama zile roketi zimetengenezwa na Iran bhas hazifui dafu dhidi ya mifumo ya ulinzi ya Israel. Hamas Jana Tu walirusha zaidi ya roketi 7000 lakini madhara ya roketi si makubwa kivile,watu wengi wameuliwa na Himars waliobeba risasi ambao walivamia tamasha la muziki na kuanza kurusha hovyo risasi,miili ya watu 250 imepatikana hapo ambapo tamasha lilifanyika.
Na walipoteka maeneo na kuanza pita mtaa kwa mtaa na kuua
 
Back
Top Bottom