Mimi ni mkristo, na siungi mkono unyanyasaji unaofanywa na Israel kwa wapalestina. Kila siku watoto wanauwawa hapo Palestina. Imefika muda kifo sio tishio tena kwao.
Haya wanayoyapitia Israel leo, wapalestina wanayapitia kila siku. Acha na wao waone uchungu wa kupoteza ndugu zao.
NB: Nimeshangaa kuona wale jamaa wanaopinga Russia kuivamia Ukraine, leo wako upande wa Israel ambae ni mvamizi wa ardhi ya Palestina. Mbinguni mtapasikia tu kenge wanafki nyinyi!
Hili Tatizo ni La ki-deen Allah ameagiza!;
[emoji116][emoji116]
Mungu wa deen ya Wayahudi Amewaagiza Wayaishi haya ili wafaulu!
[emoji116][emoji116]
Deuteronomy 19:20-21
[20]Na watakaosalia watasikia na kuogopa, wasifanye tena uovu mfano wa huo katikati yako.
[21]Wala jicho lako lisiwe na huruma; uzima kwa uzima, jicho kwa jicho, jino kwa jino, mkono kwa
mkono, mguu kwa mguu.
Mungu wa deen Hamas Amewaagiza adui yao mkubwa Sio shetani Ilaha Ushuzi! ili wafaulu lazima wayaishi haha!
[emoji116][emoji116]
۞ لَتَجِدَنَّ أَشَدَّ النَّاسِ عَدَاوَةً لِّلَّذِينَ آمَنُوا الْيَهُودَ وَالَّذِينَ أَشْرَكُوا ۖ وَلَتَجِدَنَّ أَقْرَبَهُم مَّوَدَّةً لِّلَّذِينَ آمَنُوا الَّذِينَ قَالُوا إِنَّا نَصَارَىٰ ۚ ذَٰلِكَ بِأَنَّ مِنْهُمْ قِسِّيسِينَ وَرُهْبَانًا وَأَنَّهُمْ لَا يَسْتَكْبِرُونَ
[ AL - MAIDA - 82 ]
Hakika utawakuta walio shadidi kuliko watu wote katika uadui kwa walio amini ni Mayahudi na washirikina. Na utawakuta walio karibu mno kwa mapenzi ni wale wanao sema: Sisi ni Wakristo. Hayo ni kwa sababu wapo miongoni mwao wasomi na wacha Mungu, na kwa sababu wao hawafanyi kiburi.
Huwezi ukawasuluhuhisha kisiasa!; watakuona unawatakia waende jehannam Kwa usafiri!
Sent from my vivo Y67 using
JamiiForums mobile app