Kitchener
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 13,833
- 27,738
hata waarabu wanakuoneni ninyi manyani tu. au hujui hilo?Unaangaika na watu ambao wanakuona nyani tu Waafrika tuache kushobokea Wazungu(najua utasema Waisrael sio wazungu)
hata waarabu wanakuoneni ninyi manyani tu. au hujui hilo?Unaangaika na watu ambao wanakuona nyani tu Waafrika tuache kushobokea Wazungu(najua utasema Waisrael sio wazungu)
Ezbollah Bado hawajaingia vitani ila wanasema wanafutilia Kwa karibu kinachoendelea na wanaendelea kuwasiliana na viongozi wa HAMAS.Mpaka muda huu sidhani kama kuna ambaye hajajua kinachoendelea huko Mashariki ya kati between Israel and Palestine.
Kwa upande wa Palestine, mapema leo asubuhi wameanzisha peration maalum ijulikanayo kama 'operation Al aqsa' inayojumisha makundi ya wanamgambo wa Hamas na Hesbola yenye lengo la kukomboa maeneo ya Palestina ambayo yanakaliwa kimabavu na Israel, like ukanda wa Gaza.
Katika kujibu mashambulio hayo mabaya zaidi kutokea Israel tangu miongo kadhaa iliyopita, waziri mkuu wa Israel ametangaza rasmi ya kuwa nchi yao ipo vitani na 'operation Iron sword' tayari imesha anza.
Vyombo vya habari vya Israel vimeripoti waisraeli 100 wameshauwawa na wanajeshi w 57 wametekwa, wakati kwa upande wa wapestina, watu wapatao 120 wameuwawa. Inasemekana jumla ya majeruhi imefikia elfu 1000 so far.
Je, ni operesheni ipi itaibuka kidedea?? maana hali inazidi kuwa mbaya kila dakika inapokata.
wsnajiumiza wao wenyewe
Si ndio hapo. Jamaa yupo Bonyokwa analeta ushabiki kwenye maisha ya watu. Pumbavu na jinga kabisa huyo jamaa.Vita sio jambo la kushangilia
Mimi ni mkristo, na siungi mkono unyanyasaji unaofanywa na Israel kwa wapalestina. Kila siku watoto wanauwawa hapo Palestina. Imefika muda kifo sio tishio tena kwao.
Haya wanayoyapitia Israel leo, wapalestina wanayapitia kila siku. Acha na wao waone uchungu wa kupoteza ndugu zao.
NB: Nimeshangaa kuona wale jamaa wanaopinga Russia kuivamia Ukraine, leo wako upande wa Israel ambae ni mvamizi wa ardhi ya Palestina. Mbinguni mtapasikia tu kenge wanafki nyinyi!
Kusema eti ushahidi ni biblia, inaonyesha jinsi gani uwezo wako wa kufikiri ni mdogo kupitiliza. Yani uko serious kabisa, eti watu waliokaa sehemu vizazi kwa vizazi, wawapishe wale jamaa eti kwa ushahidi wa maandiko ya kwenye biblia? Au unatania?kama hauelewei, eneo looote hadi mfereji wa suez, hadi jordan hadi mpakani na syria, ni mali ya israel. hakuna eneo hata moja wapalestina wanaishi ambalo sio mali ya wayahudi, Mungu aliwapa urithi wa milele. ushahidi upo. read the Bible.
Ukristo wako unahusiana nn na vita ya Israel na PalestinaMimi ni mkristo, na siungi mkono unyanyasaji unaofanywa na Israel kwa wapalestina. Kila siku watoto wanauwawa hapo Palestina. Imefika muda kifo sio tishio tena kwao.
Haya wanayoyapitia Israel leo, wapalestina wanayapitia kila siku. Acha na wao waone uchungu wa kupoteza ndugu zao.
NB: Nimeshangaa kuona wale jamaa wanaopinga Russia kuivamia Ukraine, leo wako upande wa Israel ambae ni mvamizi wa ardhi ya Palestina. Mbinguni mtapasikia tu kenge wanafki nyinyi!
Sasa Ukristo umeingiaje kwenye hivyo vita? IQ kama yako ndio inatufanya wakristo tuonekane wajinga na tunajikomba komba kwa Waisrael.Mimi ni mkristo, na siungi mkono unyanyasaji unaofanywa na Israel kwa wapalestina. Kila siku watoto wanauwawa hapo Palestina. Imefika muda kifo sio tishio tena kwao.
Haya wanayoyapitia Israel leo, wapalestina wanayapitia kila siku. Acha na wao waone uchungu wa kupoteza ndugu zao.
NB: Nimeshangaa kuona wale jamaa wanaopinga Russia kuivamia Ukraine, leo wako upande wa Israel ambae ni mvamizi wa ardhi ya Palestina. Mbinguni mtapasikia tu kenge wanafki nyinyi!
ukienda leo pale israel, kuna makaburi ya Daud, Absalom, Suleiman, ukuta wa hekalu ambalo mfalme wa israel suleiman ambaye hata ninyi kwenye kitabu chenu yupo alijenga. hao walikuwa ni waisrael na hilo ni eneo lao.Kusema eti ushahidi ni biblia, inaonyesha jinsi gani uwezo wako wa kufikiri ni mdogo kupitiliza. Yani uko serious kabisa, eti watu waliokaa sehemu vizazi kwa vizazi, wawapishe wale jamaa eti kwa ushahidi wa maandiko ya kwenye biblia? Au unatania?
Wewe kuiamini biblia haifanyi watu wengine pia wawe na ulazima wa kuifuata. Hao jamaa wenyewe unaosema ushahidi wao upo kwenye biblia, hawaiamini hiyo biblia. Na wamefikia hatua ya kuwatemea mate wakristo.
Hebu leta hoja yenye mashiko, na sio hizi hekaya!
Unafahamu kama wamasai kwa imani yao ya asili wanaamini ng'ombe wooooooote waliopo duniani wamepewa wao kuwamiliki na kuwasimamia.kama hauelewei, eneo looote hadi mfereji wa suez, hadi jordan hadi mpakani na syria, ni mali ya israel. hakuna eneo hata moja wapalestina wanaishi ambalo sio mali ya wayahudi, Mungu aliwapa urithi wa milele. ushahidi upo. read the Bible.
hapo ndio pazuri. mwisho wa iran unakaribia.[emoji1130]Irani imetangaza kutoa full sapoti kwa opesheni Al aqsa Palestine.
Hayo yamesemwa na generali Yahya Safavi- na mshauri mkuu kwa kiongozi mkuu wa kidini wa Irani
"We support the commendable operation of Al-Aqsa Storm.View attachment 2774694
Sipendi Vita Ila kuna kitu hakipo Sawa Israelila kwa upande mwingine, hamas walijiandaa sana, kwasababu nikiangalia hapa video, wamerusha rocket hadi AShkelon ambako ni mbali sana toka Gaza. magari mengi ya wayahudi yanaungua mitaani. though kule kuna zima moto wanazima, na kuna bima za magari watarecover kila kitu hadi nyumba zilizobomolewa. upande wa hamas kule, ukipoteza umepoteza.
kitu gani? mtu anarusha rocket 7,000 nyumbani kwako, ukimpiga kerubu mtu kama wewe anakuja anasema kuna kitu hakipo sawa? akili au matope.Sipendi Vita Ila kuna kitu hakipo Sawa Israel