Operations Al aqsa flood Vs Operation Iron Sword, nani ataibuka kidedea?

SNAP J

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2013
Posts
7,117
Reaction score
8,096
Mpaka muda huu sidhani kama kuna ambaye hajajua kinachoendelea huko Mashariki ya kati between Israel and Palestine.

Kwa upande wa Palestine, mapema leo asubuhi wameanzisha peration maalum ijulikanayo kama 'operation Al aqsa' inayojumisha makundi ya wanamgambo wa Hamas na Hesbola yenye lengo la kukomboa maeneo ya Palestina ambayo yanakaliwa kimabavu na Israel, like ukanda wa Gaza.

Katika kujibu mashambulio hayo mabaya zaidi kutokea Israel tangu miongo kadhaa iliyopita, waziri mkuu wa Israel ametangaza rasmi ya kuwa nchi yao ipo vitani na 'operation Iron sword' tayari imesha anza.

Vyombo vya habari vya Israel vimeripoti waisraeli 100 wameshauwawa na wanajeshi w 57 wametekwa, wakati kwa upande wa wapestina, watu wapatao 120 wameuwawa. Inasemekana jumla ya majeruhi imefikia elfu 1000 so far.

Je, ni operesheni ipi itaibuka kidedea?? maana hali inazidi kuwa mbaya kila dakika inapokata.
 
Mungu wa Israel na baal siku zote Mungu wa Israel huwa anashinda kwa kishindo. hamas wanawaumiza tu raia wa palestina, ukiangalia kwenye video, israel hata amburance ni nyingi mitaani zinaokoa watu, palestina hata amburance huzioni, wanakufa kibudu.
 
Mpaka muda huu sidhani kama kuna ambaye hajajua kinachoendelea huko Mashariki ya kati between Israel and Palestine.

Kwa upande wa Palestine, mapema leo asubuhi wameanzisha peration maalum ijulikanayo kama 'operation Al aqsa' inayojumisha makundi ya wanamgambo wa Hamas na Hesbola yenye lengo la kukomboa maeneo ya Palestina ambayo yanakaliwa kimabavu na Israel, like ukanda wa Gaza.

Katika kujibu mashambulio hayo mabaya zaidi kutokea Israel tangu miongo kadhaa iliyopita, waziri mkuu wa Israel ametangaza rasmi ya kuwa nchi yao ipo vitani na 'operation Iron sword' tayari imesha anza.

Vyombo vya habari vya Israel vimeripoti waisraeli 100 wameshauwawa na wanajeshi w 57 wametekwa, wakati kwa upande wa wapestina, watu wapatao 120 wameuwawa. Inasemekana jumla ya majeruhi imefikia elfu 1000 so far.

Je, ni operesheni ipi itaibuka kidedea?? maana hali inazidi kuwa mbaya kila dakika inapokata.
IMG-20231007-WA0105.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Israel ni nchi
Palestine ni "makazi"...
Ndo maana unasema wapalestina. Husemi nchi ya Palestina...

Siku zote wapalestina wanaumia....
Hata wanapopambana wanajaribu kupunguza maumivu..
magari mengi yanachomeka palestina aisee, na kwa upande mwingine, wanajeshi wa israel waliokuwa wamejisahau kwakweli wamesambaratishwa vibaya mno.nadhani hii itawafanya wawe macho zaidi miaka ijayo lisije kujirudia tena.
 
Mpaka muda huu sidhani kama kuna ambaye hajajua kinachoendelea huko Mashariki ya kati between Israel and Palestine.

Kwa upande wa Palestine, mapema leo asubuhi wameanzisha peration maalum ijulikanayo kama 'operation Al aqsa' inayojumisha makundi ya wanamgambo wa Hamas na Hesbola yenye lengo la kukomboa maeneo ya Palestina ambayo yanakaliwa kimabavu na Israel, like ukanda wa Gaza.

Katika kujibu mashambulio hayo mabaya zaidi kutokea Israel tangu miongo kadhaa iliyopita, waziri mkuu wa Israel ametangaza rasmi ya kuwa nchi yao ipo vitani na 'operation Iron sword' tayari imesha anza.

Vyombo vya habari vya Israel vimeripoti waisraeli 100 wameshauwawa na wanajeshi w 57 wametekwa, wakati kwa upande wa wapestina, watu wapatao 120 wameuwawa. Inasemekana jumla ya majeruhi imefikia elfu 1000 so far.

Je, ni operesheni ipi itaibuka kidedea?? maana hali inazidi kuwa mbaya kila dakika inapokata.

Naona unashabikia vita kama mpira wa Simba na Yanga! Kweli tuna kazi kubwa sana hasa kichwa kama hicho kinapoielemea shingo!
 
Mimi ni mkristo, na siungi mkono unyanyasaji unaofanywa na Israel kwa wapalestina. Kila siku watoto wanauwawa hapo Palestina. Imefika muda kifo sio tishio tena kwao.

Haya wanayoyapitia Israel leo, wapalestina wanayapitia kila siku. Acha na wao waone uchungu wa kupoteza ndugu zao.

NB: Nimeshangaa kuona wale jamaa wanaopinga Russia kuivamia Ukraine, leo wako upande wa Israel ambae ni mvamizi wa ardhi ya Palestina. Mbinguni mtapasikia tu kenge wanafki nyinyi!
 
kama hauelewei, eneo looote hadi mfereji wa suez, hadi jordan hadi mpakani na syria, ni mali ya israel. hakuna eneo hata moja wapalestina wanaishi ambalo sio mali ya wayahudi, Mungu aliwapa urithi wa milele. ushahidi upo. read the Bible.
 
Israel ni nchi
Palestine ni "makazi"...
Ndo maana unasema wapalestina. Husemi nchi ya Palestina...

Siku zote wapalestina wanaumia....
Hata wanapopambana wanajaribu kupunguza maumivu..
wsnajiumiza wao wenyewe
 
Mimi ni mkristo, na siungi mkono unyanyasaji unaofanywa na Israel kwa wapalestina. Kila siku watoto wanauwawa hapo Palestina. Imefika muda kifo sio tishio tena kwao.

Haya wanayoyapitia Israel leo, wapalestina wanayapitia kila siku. Acha na wao waone uchungu wa kupoteza ndugu zao.

NB: Nimeshangaa kuona wale jamaa wanaopinga Russia kuivamia Ukraine, leo wako upande wa Israel ambae ni mvamizi wa ardhi ya Palestina. Mbinguni mtapasikia tu kenge wanafki nyinyi!
Israel na Palestine siyo jamii za kikristo
 
Imeshakuwa mechi hio...mods futeni hii kitu kama ambavyo mlikuwa mnafuta za kibiti na msumbiji
 
kama hauelewei, eneo looote hadi mfereji wa suez, hadi jordan hadi mpakani na syria, ni mali ya israel. hakuna eneo hata moja wapalestina wanaishi ambalo sio mali ya wayahudi, Mungu aliwapa urithi wa milele. ushahidi upo. read the Bible.
Unaangaika na watu ambao wanakuona nyani tu Waafrika tuache kushobokea Wazungu(najua utasema Waisrael sio wazungu)
 
kama hauelewei, eneo looote hadi mfereji wa suez, hadi jordan hadi mpakani na syria, ni mali ya israel. hakuna eneo hata moja wapalestina wanaishi ambalo sio mali ya wayahudi, Mungu aliwapa urithi wa milele. ushahidi upo. read the Bible.
Kwamba iyo biblia kaandika nani sasa hadi uitumie km ushahidi wa kuaminika?

Sent from my Redmi 8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom