Operations Al aqsa flood Vs Operation Iron Sword, nani ataibuka kidedea?

Operations Al aqsa flood Vs Operation Iron Sword, nani ataibuka kidedea?

Kitabu kimeandikwa na wana wa Yakobo na aliowapa ahadi ya ardhi ni mungu wa Yakob. Swali, kama pale wapalestina sio kwao, wametokea wapi?
walitokea misri na maeneo mengine ya waarabu, wakavamia baada ya wayahudi kuchukuliwa utumwani baabeli. umejenga nyumba yako, ukafungwa gerezani, watu wakavamia kwasababu wewe haupo, umetoka gerezani kurudi nyumbani kwako mtu amekaa na anasema na kwake na hatoki wewe ndio mvamizi. wakati yapo hadi mawe ya majengo uliyojengea wewe kabla haujaenda gerezani kama ushahidi.
 
kama hauelewei, eneo looote hadi mfereji wa suez, hadi jordan hadi mpakani na syria, ni mali ya israel. hakuna eneo hata moja wapalestina wanaishi ambalo sio mali ya wayahudi, Mungu aliwapa urithi wa milele. ushahidi upo. read the Bible.
ulikuwepo wakati mungu Ana wapa Hilo eneo?
Ulikuwepo wakati mungu anaiandika hiyo Bible?
He vipi Kama hiyo Bible iliandikwa na mwisraeli mmwenye?

There's no proof about tha niroho mbaya,chuki,ubinafsi,na kuto kutosheka ndivyo vinavyo tutesa wanadamu na tamaa zetu

Israel Niya mungu na parestina Niya mungu na hakuna mungu anaye shauri tusipende wenzetu,jirani zetu,mazingira yetu, na vyote vinavyo tuzunguka

Na Kama kweli Kuna mungu anaye itwa mungu was Israel na anawafundisha was Israel kufanya hivyo

Yaani kuuwa wengine ili wao waishi,kutemea mate wengine nakujiona wao Bora,kunyanyasa kwa Kila namna binadamu wenzao

Hakika huyo mungu atakuwa Ana Mambo yasiyo faa kwani so razima hayo yafanyike ndipo maisha yaendelee

Mwisho wasiku tupinge Vita Kama hizi
 
walitokea misri na maeneo mengine ya waarabu, wakavamia baada ya wayahudi kuchukuliwa utumwani baabeli. umejenga nyumba yako, ukafungwa gerezani, watu wakavamia kwasababu wewe haupo, umetoka gerezani kurudi nyumbani kwako mtu amekaa na anasema na kwake na hatoki wewe ndio mvamizi. wakati yapo hadi mawe ya majengo uliyojengea wewe kabla haujaenda gerezani kama ushahidi.
Hiyo histori umeitoa kichwani kwako au?
 
Mpaka Sasa waisrael 600 wamepoteza maisha huku wapalestina zaidi ya 300 wameaga dunia. Kwahyo unaona hapo nguvu ya HAMAS. Propaganda Zina mwisho wake ni aibu na pigo kubwa Kwa vyombo vya ulinzi na usalama vya Israel.
Nikiwa mdogo kaka zangu waliniambia kwamba waisrael Wana akili kuliko binadamu yoyote, lakini Jana wameshindwa kung'amua kwamba HAMAS walirusha makombola kuwazuga Israel, wakati majeshi ya waisrael wanajibu Kwa makombola kumbe wenzao wanaingia Kwa miguu
Achaaa propaganda malengo yanayoangushwa kila masaa unataka kusema ni 300 ?
 
Mungu wa Israel na baal siku zote Mungu wa Israel huwa anashinda kwa kishindo. hamas wanawaumiza tu raia wa palestina, ukiangalia kwenye video, israel hata amburance ni nyingi mitaani zinaokoa watu, palestina hata amburance huzioni, wanakufa kibudu.
Sema Marekani ndiyo huwa anashinda
 
Mimi ni mkristo, na siungi mkono unyanyasaji unaofanywa na Israel kwa wapalestina. Kila siku watoto wanauwawa hapo Palestina. Imefika muda kifo sio tishio tena kwao.

Haya wanayoyapitia Israel leo, wapalestina wanayapitia kila siku. Acha na wao waone uchungu wa kupoteza ndugu zao.

NB: Nimeshangaa kuona wale jamaa wanaopinga Russia kuivamia Ukraine, leo wako upande wa Israel ambae ni mvamizi wa ardhi ya Palestina. Mbinguni mtapasikia tu kenge wanafki nyinyi!
Kwanini umejitambulisha kama Mkristo!? Kwani ni vita kati ya Wakristo na dini nyingine?
Mpaka hapo ushajianika kuwa si Mkristo
 
Kusema eti ushahidi ni biblia, inaonyesha jinsi gani uwezo wako wa kufikiri ni mdogo kupitiliza. Yani uko serious kabisa, eti watu waliokaa sehemu vizazi kwa vizazi, wawapishe wale jamaa eti kwa ushahidi wa maandiko ya kwenye biblia? Au unatania?

Wewe kuiamini biblia haifanyi watu wengine pia wawe na ulazima wa kuifuata. Hao jamaa wenyewe unaosema ushahidi wao upo kwenye biblia, hawaiamini hiyo biblia. Na wamefikia hatua ya kuwatemea mate wakristo.

Hebu leta hoja yenye mashiko, na sio hizi hekaya!
Punguza ujinga wewe, hao Wayahudi ndo wenye biblia yao na kwao biblia ndo muongozo wa maisha yao ya kila siku. Kwao wanachopingana nacho ni Injili ya Yesu Kristo (Agano Jipya)
 
L
Kama zile roketi zimetengenezwa na Iran bhas hazifui dafu dhidi ya mifumo ya ulinzi ya Israel. Hamas Jana Tu walirusha zaidi ya roketi 7000 lakini madhara ya roketi si makubwa kivile,watu wengi wameuliwa na Himars waliobeba risasi ambao walivamia tamasha la muziki na kuanza kurusha hovyo risasi,miili ya watu 250 imepatikana hapo ambapo tamasha lilifanyika.
Logic yako hapo ni nini hata sikuelewi!!! Dos it really matter HAMAS wanatumia mbinu gani kijikomboa dhidi ya ukatiri na uonezi wa Waisrael wa miaka mingi dhidi ya Wapaletistina miaka wanawanyanganya aridhi yao na kubomoa makazi yao na kujenga makazi ya Waisrael wakitetewa na nchi za magharibi specifically the USA , wanavimba vichwa kweli kweli.

Kiongozi wa Uchina the late Mao Tse Tung aliwahi kusema kwamba it doesn't matter ni paka wa rangi gani cha muhimu awe na uwezo wa kuwakamata/ kuwaua panya, hivyo it doesnt matter Wapalestina watatumia mbinu gani kifikia malengo yao ya kujikomboa ,cha ajabu baadhi ya Waswahili wana support sana uonezi wa Waisrael dhidi ya Wapalestina baadhi ya Waswahili huu husio wanalichukulia jeshi au Serikali ya Israel kama ni Mungu watu hawawezi kuzidiwa akili na na Taifa lolote hapa Duniani, sasa jana kulitokea nini?? mbona walikuwa taken by suprise hawa amini kilichowasibu, pamoja na majisifu ya MOSSAD katika masuala ya ujasusi lakini mpango huu wa uvamizi wa Wapalestina haukuvuja hata kidogo, hii inanikumbisha mwaka 1973 Israel ilipo shambuliwa kwa kishitukizwa - tutasema mengi lakini inaelekea this time Wapalestina wamejipanga vilivyo, bila ya kijali Israel watajibu mapigo kwa kiwango gani.

Binafsi sikubaliani na maoniya baadhiya members wanao semakwamba hii inaweza kuwa ni an inside job ya Natenyahau ya kitafita kisingizio cha kuwamaliza Wapalestina sijui kwa nuclear bom au nini sijui the so called final solution kama aliyokuwa anapanga Aldolf Hitler kuhusu Jews in mid 1940s, Natenyahau hausiki chochote hapo amezidiwa akili basi au baadhi ya Majenerali kwenye jeshi la Israel walijua mapema mpango huu lakini wakakaaa kimya kumdhalilisha Natenyau ili aonekane hafahi.

All in all, Waisrael wamezidiwa akili na Wapalestina like it or not up2U.
 
Kama zile roketi zimetengenezwa na Iran bhas hazifui dafu dhidi ya mifumo ya ulinzi ya Israel. Hamas Jana Tu walirusha zaidi ya roketi 7000 lakini madhara ya roketi si makubwa kivile,watu wengi wameuliwa na Himars waliobeba risasi ambao walivamia tamasha la muziki na kuanza kurusha hovyo risasi,miili ya watu 250 imepatikana hapo ambapo tamasha lilifanyika.
Mambo mengine bwana! We unazungumzia roketi za size/ukubwa gani??

Inaingia akilini kweli kwamba siźeya roketis nilizo ziona jana zinaweza kurushwa 7000 kivile?
 
Andika in summary, hao jamaa huwa wanapigania nini ? ,nimewahi msikia Saddam Hussein anasema "Palestine is arab" mahakamani wakati anahukumiwa, aliongea kama vile kuna jambo fulani
 
Tuendelee kuliombea kwa kasi taifa teule[emoji23][emoji23]
Screenshot_20231009-205843.jpg
Screenshot_20231009-205822.jpg
 
permanides Cheki kumbukumbu zako vizuri. Palestina walikuwa ni marafiki wa J K Nyerere na wana ubalozi wao mpaka leo maeneo ya Upanga Dar es Slaam.

Iddi Amin alisaidiwa na Muamar Gadaffi kwa silaha na askari ili kuja kupigana na Tanzania. Bahati nzuri majeshi yetu shupavu yaliishinda Uganda ya Iddi Amin ma Gadaffi na kuwakamata mateka askari wa Libya.

Baada ya vita mwaka 1979, Nyerere aliwaachia mateka hao bila masharti
Rejea kwenye makabrasha yako kuhusu msimamo wa Palestina kwenye ile vita.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
kama hauelewei, eneo looote hadi mfereji wa suez, hadi jordan hadi mpakani na syria, ni mali ya israel. hakuna eneo hata moja wapalestina wanaishi ambalo sio mali ya wayahudi, Mungu aliwapa urithi wa milele. ushahidi upo. read the Bible.
Hii ndio comment ya kipumbavu kuwahi kuisoma tangu nijiunge Jamii forum
Lete ushahidi wa kihistoria, Biblia sio kitabu cha historia, kwenye maktaba kinakaa kabati moja na Nchi ya kusadikika

Hao wahayudi unaowatetea ni Ashkenazi Jews, wayahudi waliokimbia Ulaya na kuja kuanzisha "taifa lao" kwa mabavu Palestina baada ya kudanganywa na ahadi feki ya Mwingereza

Hakukua na Israel kabla ya 1945, kuna wayahudi walikua wakiishi Palestina kabla ya hapo (kama minority) na hawakuwahi kudai nchi ni yao mpaka itikadi ya Zionism ilipoundwa na kufadhiliwa na matajiri wa kiyahudi.

Ungesoma historia ungegundua hio nchi yao walitaka kuitengeneza Africa Mashariki, tushukuru hilo balaa lilipita.

Mungu aliwapa urithi? Mungu yupi?
 
Wewe umezungumza fact ila huyo chapwa24 amezungumza nadharia ambayo ni vitu vya kufikirika tu havina ushahidi.
 
Back
Top Bottom