Mimi si kikongwe kama wewe,ila nchii hii ni kongwe kuliko mimi. Unazungumzia Kalenga na Chalinze?Ulifanya comparison katika chaguzi zilizofanyika katika majimbo hayo 2010?Kuna chochote Cdm walichoongeza baada ya Hapo?
Uchaguzi Serikali za Mitaa umedhihirisha mafanikio ya Operation za awali. La sivyo zisingetokea vurugu zilizosababishwa na kuapisha kwa Lazima kwa wana ccm ambao hawakushinda.
Hebu Ongelea mlivyobebwa na Wakurugenzi wa Halmashauri mbalimbali katika chaguzi hizo!
Kukubaliana na Mapingamizi mliyoweka ccm ila yale ya Upinzani yaliminywa, unasemaje kuhusu hilo?
Mapingamizi 5000, hayo ni kwa Halmashauri ya Meru tu, halafu yanatangazwa wakati hamna muda wa Rufaa,unasemaje kuhusu hilo?